Half american
JF-Expert Member
- Sep 21, 2018
- 38,283
- 97,793
Hiyo ni kwa anaeamini imani unayoamini na sio kwa kila mtu.ghost/spirit/soul, mwili ndio unaokufa ila roho yako haifi utapumzika kuzimu kwanza ukisubiri hukumu uende mbinguni au jehanamu kutokana na matendo yako uliyotenda ukiwa hai kimwili. Kwanza omba toba usamehewe dhambi zako kabla hujafa
Hana jibu la maana.Faida ya kuzikwa kwa heshima ya dini ni nini? Nani ananufaika? Waombolezaji au marehemu?
Una D mbili nikimaanisha Dini mbili.Pande zote nazijua vzuri mno ni pipa na mfuniko tu🤣🤣🤣 d mbili ninazo na zaidi🤣🤣🤔
sawa, sasa tutamzikaje mtu ambaye haendi kanisani/msikitini na pia haamini miungu ya kwao?Hiyo ni kwa anaeamini imani unayoamini na sio kwa kila mtu.
Anazikwa kawaida.sawa, sasa tutamzikaje mtu ambaye haendi kanisani/msikitini na pia haamini miungu ya kwao?
R.I.PMwaka huu mwezi wa nne aisee, miparangano tu ya kimaisha mkuu.
Gettin' closer to God in a tight situation - Prodigy
marehemu husitiriwa kwa heshima hata kama haoni na hasikii. Huwezi kumzika ndugu yako kinyama ndio maana siku hizi kuna mazishi ya bajeti kubwa na ghali. Marehemu anazikwa kwa gharama kubwaUkizikwa kwa heshima nini kiataongezeka kwenye kifo chako
Hujajibu swali au hujalielewa?marehemu husitiriwa kwa heshima hata kama haoni na hasikii. Huwezi kumzika ndugu yako kinyama ndio maana siku hizi kuna mazishi ya bajeti kubwa na ghali. Marehemu anazikwa kwa gharama kubwa
ukizikwa kwa heshima itaonesha ulikuwa mnyoofu na uliishi vizuri na watu ndio maana wanakuzika kwa heshima zoteHujajibu swali au hujalielewa?
Huyo mchungaji sijui katekista atakuwa kanjanja na akili hana.Kuna makanisa yameanzisha utaratibu wa kuteka misiba ya walioacha kwenda kanisani na kuifanya jukwaa la kuhubiria injili kwa wahudhuriaji wa misiba hiyo. Kama atahubiri mchungaji/katekista katika msiba wa muumini wake aliyeacha kwenda kanisani atasema marehemu alifia dhambini na mungu amuweke panapomstahili.
Hapa tu panawafanya watu wawaone wa ajabu,and well nimekuona wa ajabu kweli kweli.Ukishakunywa wanzuki na gongo unaandika ujinga tu. Hongera kwa kuonesha uchi wa akili yako.
Haibadilishi ukweli, Mungu wa walokole ananguvu kuliko miungu yoyote ile chini duniani na juu mbinguni.
Nimemshuhudia kwa macho yangu akitenda mambo ya ajabu huyu Yesu.
Tumia tu lugha nzuri masta hupungukiwi kitu hapa unatukana mpaka waliokuleta duniani that ain't fair bruh.Hawa wajinga wa dini nawajua vizuri sana uzuri mmoja mama yangu ni muislamu na mzee ni mkristo 🤔
Nmesha edit naomba ufute hii replyTumia tu lugha nzuri masta hupungukiwi kitu hapa unatukana mpaka waliokuleta duniani that ain't fair bruh.
Ni jambo dogo sana lakini ni kubwa pia