Lini kutakuwa na Mashindano ya kusoma Biblia kama ilivyokuwa Quran?

Lini kutakuwa na Mashindano ya kusoma Biblia kama ilivyokuwa Quran?

Lini Mashindano ya kusoma Biblia? kama ilivyokuwa Quran?

au ni vigumu kuihifidhali?
Wadau wanaosoma biblia hebu watwambie. Hichi kitabu kinahifadhika ?
Surah Al-Mumtahanah (60:8) emphasizes treating non-Muslims with fairness and kindness:

“Allah does not forbid you from those who do not fight you because of religion and do not expel you from your homes – from being righteous toward them and acting justly toward them.”
 
Lini Mashindano ya kusoma Biblia? kama ilivyokuwa Quran?

Au ni vigumu kuihifidhali?

Wadau wanaosoma biblia hebu watwambie.

Hichi kitabu kinahifadhika?
Mfahamu kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein AS muanzilishi wa madhehebu ya Shia ambaye hakunyonyeshwa na mama yake Fatima kwasababu babu yake Mtume Muhammad alikataa Pindi tu alipozaliwa akamtwaa na kumnyonyesha kwa ulimi wake .

Imam Hussein kwa muda wa miaka miwili hakunyonya titi la mama yake bali alinyonya ulimi wa mtume. Ndio maana kipenzi chetu cha dhati anatukuzwa.
 
Back
Top Bottom