Mwamuzi wa Tanzania
JF-Expert Member
- Apr 7, 2020
- 15,486
- 45,256
Ndio maana nikasema kuwa kila dhehebu lina kipaumbele chakeitasomwa bibilia ipi? zipo zaidi ya 100 hivi sasa. itasomwa ya Mchungaji gani?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Ndio maana nikasema kuwa kila dhehebu lina kipaumbele chakeitasomwa bibilia ipi? zipo zaidi ya 100 hivi sasa. itasomwa ya Mchungaji gani?
Siku tu maleria ikitoweka.Lini Mashindano ya kusoma Biblia? kama ilivyokuwa Quran?
Au ni vigumu kuihifidhali?
Wadau wanaosoma biblia hebu watwambie.
Hichi kitabu kinahifadhika?
Kwa hiyo ni mpambano dhidi ya malaria kwanza?Siku tu maleria ikitoweka.
Huuu nao ni ulongooo Kama ule wa kufufua wafuMfahamu kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein AS ambaye hakunyonyeshwa na mama yake Fatima kwasababu babu yake Mtume Muhammad alikataa Pindi tu alipozaliwa akamtwaa na kumnyonyesha kwa ulimi wake .
Imam Hussein kwa muda wa miaka miwili hakunyonya titi la mama yake bali alinyonya ulimi wa mtume. Ndio maana kipenzi chetu cha dhati anatukuzwa.
mbona mtu anaibeba mkononi kiurahisi? na sijaona Lori limebeba biblia?Quran ni kitabu kimoja Biblia ni vitabu 66. Kwa hiyo mtu kukariri Quran ninsawa nanaliyekariri mathayo yote au zaburi
kwani mashindano huwa vipi?Mnashindana ili iweje?
Kwasabu hatupigwi denda na kunyonywa ndimi na MudiSwali. Bibilia kwanini mgumu kuihifadhi?
Mstari mmoja tu wa biblia kuubeba kichwani kwa maana yake ni sawa na mtu kubeba library nzima.mbona mtu anaibeba mkononi kiurahisi? na sijaona Lori limebeba biblia?
Mlivukuwa washindani. mngaliweza kuihifadhi biblia kila siku kungalikuwa na mashindanoYaani huu uzi ni kama swala amcheke simba kwanini hali majani anakula swala.
Wakati majani yapo kila sehemu yamejaa mungu ametuwekea duniani hatuitaji kulima ni yanajiotea tu mungu anamwagilia...halafu hatuhitaji kuyawinda/yanapatikana kirahisi...Simba kula kwake mpaka awinde ajifiche kwenye majanai ahangaike apigwe na mbogo/tembo mda mwingine, kwanini ale kwa shida hivyo????
wakati mda huo simba anawaza kwanini ahangaike kula nyasi nyingi ili apate calories chache (herbivores wanaakula mda mda wote) wakati anaweza kusubiria mafala akina swala na nyati yale nyasi ili mimi nikila limoja mli mmoja ni sawa na kula nyasi siku 3😁
Labda tuanze na biblia iliyoandikwa kifaransaLini Mashindano ya kusoma Biblia? kama ilivyokuwa Quran?
Au ni vigumu kuihifidhali?
Wadau wanaosoma biblia hebu watwambie.
Hichi kitabu kinahifadhika?
Muddy alikuwa ana mambo ya ajabu sana.Mfahamu kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein AS ambaye hakunyonyeshwa na mama yake Fatima kwasababu babu yake Mtume Muhammad alikataa Pindi tu alipozaliwa akamtwaa na kumnyonyesha kwa ulimi wake .
Imam Hussein kwa muda wa miaka miwili hakunyonya titi la mama yake bali alinyonya ulimi wa mtume. Ndio maana kipenzi chetu cha dhati anatukuzwa.
ndio mnavyowadnganya watoMstari mmoja tu wa biblia kuubeba kichwani kwa maana yake ni sawa na mtu kubeba library nzima.
Kuna kafiri alikuwa na akili hizo, juzi aliingia katika uislam akasema dar. kumbe wachungaji wanatupotosha?Muddy alikuwa ana mambo ya ajabu sana.
We fikiria yeye alimuoa Aysha Bint Abu Bakr(6 years old) akiwa na miaka 53, hakuna mtu aliyempinga, ila yeye mtoto wa kike Fatima wakina Abu Bakr walivotaka wamuoe akakataa, akasema Fatima bado mdogo, wakati yeye alimuoa Aysha wakati bado anacheza na midoli.
Naskia mshindi anaenda straight peponikwani mashindano huwa vipi?
Padri si analipwa? tena mshahara mnono. angalikuwa halipwi wote wangalikimbia makanisaElimu, Elimu, Elimu
Ndugu zetu hili swala tunalichukulia poa ila lina msingi mkubwa. Haya yote tunayoona hapa ni kiashiria kuna mahali ELIMU haijatumika sawasawa. Padre anayekula elimu ya Theology na Falsafa kwa zaidi ya miaka saba aje kuwaongoza waumini wake hawezi kuwa sawa na mhifadhi katika kutoa kile alichonacho kwenda kwa waumini wake. Sasa watu wanataka kuwela mashindano 😹
BTW, Elimu ndio ilikua vipaumbele vitatu vya marehemu Edward Lowassa katika uchaguzi mkuu wa uraisi mwaka 2015
Nielimishe na mm mkuu, natamani sana kuujua ukweli.Kuna kafiri alikuwa na akili hizo, juzi aliingia katika uislam akasema dar. kumbe wachungaji wanatupotosha?