Lini kutakuwa na Mashindano ya kusoma Biblia kama ilivyokuwa Quran?

MAISHA YA WASIOKUWA WAISLAM WAKIFA​

Maelezo ya Adhabu ya Moto​

*a. * Moto Mkali na Mwenye Uchungu:

  • Sura ya An-Nisa (4:56): "Hakika wale wanaokataa Ishara Zetu, Tutawaingiza kwenye Moto. Kila mara ngozi zao zitakapoiva, Tutazibadilisha ngozi zao kwa ngozi nyingine ili wateseke. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye Hekima, Mwenye Uwezo."
  • Sura ya Al-Mulk (67:6-7): "Kwa wale waliokataa kwa Mola wao, watakuwa na adhabu ya moto wa milele, na itazidi kwa maumivu. Ikiwa watakua hawana maelezo, watakuta moto unazidi kuwa na nguvu."
*b. * Adhabu ya Milele:

  • Sura ya Al-Baqarah (2:81): "Kama vile moto utaendelea kuwaka, adhabu yao itakuwa ya milele. Hawatakuwa na msamaha wala kuondolewa adhabu yao."
*c. * Matukio ya Moto wa Jahannam:

  • Sura ya Al-Humazah (104:4-6): "Hapana! Ataingia kwenye moto wa Jahannam. Na wewe, utachoma moto huo."

*2. * Sababu za Kuingia Moto​

*a. * Kukataa Imani na Mwenyezi Mungu:

  • Sura ya Al-Bayyina (98:6): "Hakika wale waliokataa kutoka miongoni mwa watu wa Kitabu na washirikina, watakuwa katika moto wa Jahannam, watakaoishi milele ndani yake."
*b. * Kufanya Uovu na Kosa:

  • Sura ya Al-Ma'arij (70:15-16): "Hapana! Kwa hakika, adhabu ya moto wa Jahannam itawaandama wale wanaofanya dhambi na makosa."

*3. * Maelezo ya Tafauti ya Moto wa Jahannam​

*a. * Moto wa Watu na Malaika:

  • Sura ya Al-Anfal (8:50): "Ikiwa ungeweza kuona vile malaika wanavyopokea roho za wale wanaokataa kwa nguvu na kuwatupa kwenye moto."
*b. * Vikosi vya Moto:

  • Sura ya Az-Zumar (39:71): "Na wale wanaokataa wataingizwa kwenye moto kwa vikosi. Na kila kikosi kitachukua nafasi
 
ngano hizo kutokea kitabu cha majini
 
Swali. Bibilia kwanini mgumu kuihifadhi?
Usiudharau uwezo wa ubongo wa binadamu....Biblia sio ngumu kuihifadhi...actually, ukiamua kuweka dedication ukaanza kukaririshwa dictionary kuanzia una miaka 6 mpaka kuwa mtu mzima.
Ungekuwa saivi umeikariri dictionary yote kuanzia herufi ya kwanza mpaka dibaji na historia ya waandishi (wahifadhi) wake.

Ni kwamba wakristo hawafanyi hivyo kwenye biblia kwakuwa hawaamini biblia ni Mungu au roho ya Mungu kama waislam wanavyoiamini Quran.
Wanaamini Mungu ni Baba mwana na roho mtakatifu fullstop. BIBLIA ni maandishi tu ya watu waliopata kufunuliwa na Mungu kuhusu uwepo wake ambapo hata leo mkristo yeyote akiweka dedication akaamua kumtafuta mungu na kusli kwa jina la yesu anaweza kufunuliwa mengi na Mungu kuliko hata hao waandishi wa biblia kina Nabii Nabii Daniel, Nabii Nerehmia, Mathayo,Paulo na wengineo. Kwahyo Mungu ni roho sio kitaabu. Na yesu ndiye neno la Mungu. Yohana anasema Na yeye neno akafanyika kuwa mtu. Hapo mwanzo palikuwapo neno na neno alikuwa Mungu.

ila kwa waislam Quran ni sawa na neno la mungu. Quran ni sawa na Mungu.
Sio maneno ya nabii muhamad, muhamad nayeye aliambiwa na malaika Gabriel ambaye aliambiwa na Mungu.
Kwahyo Quran imeshuka direct kutoka kwa Mungu. Quran haijaumbwa. Kwasababu Mungu hajaumbwa na neno lake ni la milele kwahyo hata neno lake (Quran) ni la milele.
Quran is uncreated word of God..
Kwahyo kila kilichoandikwa kwenye kitabu cha Mungu kinaapply muda wote for all generations since the creation of the universe till the end of the universe.

Wakristo hupinga Hili kwa kupondea madhaifu ya hiki kitabu Quran kwa kusema ni kitabu tu kama dictionary...na waislam hubishana kwa kukitetea kukipa uungu.

Waislam nao hubisha uungu wa huyu binadamu aitwaye YESU na kusema alikuwa nabii tu kama manabii wengine kama nabii Adam, navbii Yona(Yunus),naabii Yusufu, Mussa, Suleman, Daudi na wengine. Infact Muhamad ni mkubwa kuliko hata Yesu maana yeye ndiye mwenye sifa pekee ya kuwa final prophet. Yani katika manabii wote hakuna mwenye sifa ya kuwa final prophet. Kwahyo nabii mkubwa atakuwa wa mwisho (muhamad) akifatiwa na nabii mwenye sifa ya kuwa wa kwnazaa (Adam), kisha Yesu, kisha Mussa.

Kwahyo Debate haitakiwi kuwa kati ya Biblia na quran which is better..inatakiwa iwe kati ya Quran na Jesus....which is greatly closer to representing God on Earth?????
 
MAISHA YA WASIOKUWA WAISLAM WAKIFA​

Maelezo ya Adhabu ya Moto​

*a. * Moto Mkali na Mwenye Uchungu:

  • Sura ya An-Nisa (4:56): "Hakika wale wanaokataa Ishara Zetu, Tutawaingiza kwenye Moto. Kila mara ngozi zao zitakapoiva, Tutazibadilisha ngozi zao kwa ngozi nyingine ili wateseke. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye Hekima, Mwenye Uwezo."
  • Sura ya Al-Mulk (67:6-7): "Kwa wale waliokataa kwa Mola wao, watakuwa na adhabu ya moto wa milele, na itazidi kwa maumivu. Ikiwa watakua hawana maelezo, watakuta moto unazidi kuwa na nguvu."
*b. * Adhabu ya Milele:

  • Sura ya Al-Baqarah (2:81): "Kama vile moto utaendelea kuwaka, adhabu yao itakuwa ya milele. Hawatakuwa na msamaha wala kuondolewa adhabu yao."
*c. * Matukio ya Moto wa Jahannam:

  • Sura ya Al-Humazah (104:4-6): "Hapana! Ataingia kwenye moto wa Jahannam. Na wewe, utachoma moto huo."

*2. * Sababu za Kuingia Moto​

*a. * Kukataa Imani na Mwenyezi Mungu:

  • Sura ya Al-Bayyina (98:6): "Hakika wale waliokataa kutoka miongoni mwa watu wa Kitabu na washirikina, watakuwa katika moto wa Jahannam, watakaoishi milele ndani yake."
*b. * Kufanya Uovu na Kosa:

  • Sura ya Al-Ma'arij (70:15-16): "Hapana! Kwa hakika, adhabu ya moto wa Jahannam itawaandama wale wanaofanya dhambi na makosa."

*3. * Maelezo ya Tafauti ya Moto wa Jahannam​

*a. * Moto wa Watu na Malaika:

  • Sura ya Al-Anfal (8:50): "Ikiwa ungeweza kuona vile malaika wanavyopokea roho za wale wanaokataa kwa nguvu na kuwatupa kwenye moto."
*b. * Vikosi vya Moto:

  • Sura ya Az-Zumar (39:71): "Na wale wanaokataa wataingizwa kwenye moto kwa vikosi. Na kila kikosi kitachukua nafasi
Hadithi hizo ndiyo zinasema?🤔
 
Waebrania 8
10 Maana hili ndilo agano nitakaloagana na nyumba ya Israeli Baada ya siku zile, asema Bwana; Nitawapa sheria zangu katika nia zao, Na katika mioyo yao nitaziandika; Nami nitakuwa Mungu kwao, Nao watakuwa watu wangu.

Hiyo ndiyo sababu huwezi kukuta biblia inawekewa mashindano ya kuhifadhi.
 
Lini Mashindano ya kusoma Biblia? kama ilivyokuwa Quran?

Au ni vigumu kuihifidhali?

Wadau wanaosoma biblia hebu watwambie.

Hichi kitabu kinahifadhika?
Wakristo wanaijua kuihifadhi Biblia hata washindane?
Waislam wapo vizuri mnoo. Sisi maneno tu na kuwalaumu
 
Unashauri waanze upya kufundishwa kwa kunyukwa viboko vingi kama mifugo hadi wakariri/wahifadhi?
Wakristo hakuna viboko mtu anatakiwa kuelewa Biblia sio kukariri Biblia ndio maana walimu wafundisha Biblia hawana viboko vya kuchapa watoto kama Maustaadhi wa kiislamu ambao wako tayari kuua hata mtoto hadi ahifadhi na kukariri Kuruani atake asitake
 
Nini lengo la kuhifadhi hio? Mana hakuna haja kushindana kukariri na kuhifadhi bila kinachohifadhiwa kuwa na faida dhahiri kwa mhusika...hasa reflection yake ktk maisha ya kawaida. Ila wao wanajua..wakiristo pengibe wana utaratibu wao ila sio mashindano
 
Back
Top Bottom