Lini kutakuwa na Mashindano ya kusoma Biblia kama ilivyokuwa Quran?

Lini kutakuwa na Mashindano ya kusoma Biblia kama ilivyokuwa Quran?

Mfahamu kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein AS ambaye hakunyonyeshwa na mama yake Fatima kwasababu babu yake Mtume Muhammad alikataa Pindi tu alipozaliwa akamtwaa na kumnyonyesha kwa ulimi wake .

Imam Hussein kwa muda wa miaka miwili hakunyonya titi la mama yake bali alinyonya ulimi wa mtume. Ndio maana kipenzi chetu cha dhati anatukuzwa.
Hii ni kweli? Toka andiko lipi?
 
Huu nao ni uchokozi.🤣🤣🤣🤣🙏
 
Gwaja anatembea jukwa zimaa. Pengine hata bibilia inafika mwezi hajaigusa
Sahivi ukiwa mchekeshaji tu unakua mchungaji unaweza kuanza kuchekesha kwanzia mwanzo wa ibada hadi mwisho bila kufungua biblia na waumini wakaridhika jpili ijayo wanaongezeka wengine kuja kuchekeshwa sasa kuihifadhi biblia kichwani tutaweza kweli?
 
Huu nao ni uchokozi.🤣🤣🤣🤣🙏
Siyo uchokozi ni kweli. Baba yake Imam Hussein Ali alikuwa ni binamu yake Mudi na mke wake Fatima alikuwa bint yake Mudi. Kaka yake Hussein Hassan alipozaliwa mtume Muhammad hakumkubali kivile. Lakini Hussain alipozaliwa Mudi alikuwepo na akawaambia naam huyu ndo mwenyewe Allah kamtuma kamwe hatanyonyeshwa bali ni mimi nitamnyonyesha kwa ulimi wangu. Na kwaanzia hapo Hussein akawa alinyonya ulimi wa mudi kwa miaka miwili hadi kufikia kula.

Ndo maana kipenzi chetu cha dhati anatukuzwa.

Aendelee tu kupewa qauli thabeet hamna namna.

Mcheki hapo chini mwamba akimuaga mke wake kwa mara ya mwisho kabla ya umauti kuutetea nakuulinda uislamu. Kupitia yeye tumepewa Tawfiq(the ability and opportunity to succeed) ndo maana tuna uhuru wa kuhifadhi na kukariri Quran kwa ufasaha ni kwasababu ya juhud za kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein Ibn Ali A.S the grandson of the prophet.

il_794xN.2160374853_o00v.jpg
 
Lini Mashindano ya kusoma Biblia? kama ilivyokuwa Quran?

Au ni vigumu kuihifidhali?

Wadau wanaosoma biblia hebu watwambie.

Hichi kitabu kinahifadhika?
Wakristu huwa hawakariri. Wewe endeleeni na mifumo yenu ya mwarabu ndio maana kwenye shule za kawaida pepa mnadunda kwa sababu mwarabu kawaambia kusoma ni kukariri kwa viboko na sii kuelewa
 
Mfahamu kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein AS ambaye hakunyonyeshwa na mama yake Fatima kwasababu babu yake Mtume Muhammad alikataa Pindi tu alipozaliwa akamtwaa na kumnyonyesha kwa ulimi wake .

Imam Hussein kwa muda wa miaka miwili hakunyonya titi la mama yake bali alinyonya ulimi wa mtume. Ndio maana kipenzi chetu cha dhati anatukuzwa.

Malaria 2 hii imekaaje kaaje? Alipigaje pigaje hapo Mudi?
 
Katika maisha hutakiwi kufanya kitu kama wanavyofanya wengine.
Wazo zuri ila hatupaswi kufanya kwakuwa Waislamu wanafanya.
Vijana wengi wamechanganyikiwa na maisha baada ya kuishi kwa kuiga au kujilinganisha kimaendeleo na wenye rika zao.
Wakristo wana madhehebu mengi na kila dhehebu lina kipaumbele chake.
Quran inakaririwa Biblia inatakiwa uielewe.
Mapadri waliokariri Biblia ndio wanalewa mpaka wanaokotwa barabarani
 
Surah Al-Hujurat (49:13):

"Enyi watu! Hakika Sisi tumekuumbeni kutokana na mwanaume na mwanamke, na tukakufanyeni mataifa na makabila ili mjue (kwa kujua kwamba nyote ni sawa mbele ya Mwenyezi Mungu). Hakika mwenyezi Mungu ni mwenye kujua na mwenye uwezo."
Mbora ni Yule mchamungu

Katika maisha hutakiwi kufanya kitu kama wanavyofanya wengine.
Wazo zuri ila hatupaswi kufanya kwakuwa Waislamu wanafanya.
Vijana wengi wamechanganyikiwa na maisha baada ya kuishi kwa kuiga au kujilinganisha kimaendeleo na wenye rika yake.
Wakristo wana madhehebu mengi na kila dhehebu lina kipaumbele chake.
Quran inakaririwa Biblia inatakiwa uielewe.
Mapadri waliokariri Biblia ndio wanalewa mpaka wanaokotwa barabarani
itasomwa bibilia ipi? zipo zaidi ya 100 hivi sasa. itasomwa ya Mchungaji gani?
 
Back
Top Bottom