Lini kutakuwa na Mashindano ya kusoma Biblia kama ilivyokuwa Quran?

Lini kutakuwa na Mashindano ya kusoma Biblia kama ilivyokuwa Quran?

Kuhifadhika(biblia)nadhani inahifadhika kabatini,mezani,kwenye mikoba nk.Au unaeleza kuhusu kukariri kichwani?
Tuseme labda kuikariri biblia yote kichwani, inawezekana?

Maana Quran inahifadhika yote kichwani na ni kipaji kikubwa mtu kuhifadhi maelfu ya maneno kichwani bila kukosea.
 
Nielimishe na mm mkuu, natamani sana kuujua ukweli.

Me and you tufungue uzi mpya kabisa, let's debate kuhusu hizi dini mbili.
Jawabu rahisi. mfate padri wako kimya kimya halafu muulize ukweli kati ya uislam na dini nyengine. kama ameisoma kweli bibilia atakupa ukweli, atakwambia usimwambia mtu tu
 
Kwa hiyo wewe una uhakika wa kuwalala mabikira 72 na mito ya pombe?
Allah anijaalie.

yakula na Vinywaji vya Kupendeza

  • Sura ya Al-Insan (76:14):"Na juu yao kutakuwa na kivuli cha bustani za mitende, ambapo yataandaliwa matunda na vinywaji."
  • Sura ya Ar-Rahman (55:68):"Katika miamba ya Peponi kuna matunda na vinywaji vya aina mbalimbali."
 
Akujaalie tena kwa hiyo huna uhakika? kwa hiyo ukifa sasa hivi hujui unaenda wapi?
 
Mfahamu kipenzi chetu cha dhati Imaam Hussein AS ambaye hakunyonyeshwa na mama yake Fatima kwasababu babu yake Mtume Muhammad alikataa Pindi tu alipozaliwa akamtwaa na kumnyonyesha kwa ulimi wake .

Imam Hussein kwa muda wa miaka miwili hakunyonya titi la mama yake bali alinyonya ulimi wa mtume. Ndio maana kipenzi chetu cha dhati anatukuzwa.
dah
 
Back
Top Bottom