-ArkadHill
JF-Expert Member
- Nov 1, 2023
- 845
- 1,501
Mimi ni Muislam nasisitiza Waislam mjikite kwenye Qur'an na muavche uchokozi kwa dini au imani zingine.Lini Mashindano ya kusoma Biblia? kama ilivyokuwa Quran?
Au ni vigumu kuihifidhali?
Wadau wanaosoma biblia hebu watwambie.
Hichi kitabu kinahifadhika?
Disrespectful who? Or to which?Kufanananisha Quran na Yesu, that's very disrespectful?
Ulishaona waislam wanaenda kujazana kwa hao masheikh wa Instagram?na pia muda wa kwenda kwa Sheikh Sharif Majini na Sheikh Abdulrazak, Sheikh kipoozeo,
Kukariri/kuhifadhi ni njia ya kwanza muhimu sana ktk kujifunza kitu chochote duniani, ingawa pekee haijitoshelezi ktk mchakato wa kujifunza. Kuna vitu kama mantiki(logic) kudadisi(curiosity) kulinganisha/kuhusianishaYA NINI SASA? NI UPUUZI. NI KUSOMA AU KUKARIRI? MI SIJAONA WAKISOMA. NIMEONA WAKIKARIRI.
So this is the excuse?is this a meaningful reason?then if that is the case you should atleast know a quarter of it and not not leaving everything to the pastor/fake modern prophetsThe Bible (including the New and Old Testament) is longer than the Qur'an. The Bible is roughly 800,000 words, the Qur'an is about one tenth of that (around 80,000 words).
Did I answer your question??
KWANI KUSOMA KUNAKUWAJE?WANASOMA KUTOKEA KICHWANI AU ULITAKA WASOME KAMA GAZETI?YA NINI SASA? NI UPUUZI. NI KUSOMA AU KUKARIRI? MI SIJAONA WAKISOMA. NIMEONA WAKIKARIRI.
Wachungaji wa siku hizi na wasanii wa cheka tu hawana utofauti kwenye maudhui na watu wanapeleka sadakaSahivi ukiwa mchekeshaji tu unakua mchungaji unaweza kuanza kuchekesha kwanzia mwanzo wa ibada hadi mwisho bila kufungua biblia na waumini wakaridhika jpili ijayo wanaongezeka wengine kuja kuchekeshwa sasa kuihifadhi biblia kichwani tutaweza kweli?
Sifa sio kuifadhi kichwanii... Sifa ni kuyaishi na kuyafuata yalio AndikwaLini Mashindano ya kusoma Biblia? kama ilivyokuwa Quran?
Au ni vigumu kuihifidhali?
Wadau wanaosoma biblia hebu watwambie.
Hichi kitabu kinahifadhika?
Kukariri/kuhifadhi ni njia ya kwanza muhimu sana ktk kujifunza kitu chochote duniani, ingawa pekee haijitoshelezi ktk mchakato wa kujifunza. Kuna vitu kama mantiki(logic) kudadisi(curiosity) kulinganisha/kuhusianisha
na ndio maana mara nyingi kama sio mara zote utaona haya mashindano yanahusisha watoto . Na ndio maana watoto wengi wenye uwezo mkubwa wa kuhifadhi wakipata access wanakuja kuwa wasomi wazuri ukubwani
Tatizo la biblia kutohifadhika;
1. Biblia ni kubwa takriban mara 5 ya Quran ukihesabu mistari utaona Biblia Ina mistari takriban 30,000 wakati Quran Ina mistari takriban 6,000 Ingawa kiimani ni jambo lisiloshindikana
2, Biblia haina sole/single universal text ambayo wakristo wote duniani wa madhehebu yote wanaweza wakakutana kuitumia word to word kama ilivyo Quran kwa waislamu
3. Meaningful Poetry
Ukiangalia Quran yote kwa ukaribu utaona mtiririko wa maneno yenye vina na mizani ambao haujapoteza maana iliyokusudiwa. Ni kitu kigumu sana kwa wandashi kubalansi matakwa ya kishairi bila kupoteza kusudio la unachotaka kukisistiza, kwenye Quran hicho kimewezekana. Kwa ushairi uliyopo kwenye Quran umeifanya iweze kuhifadhika ki urahisi ingawa Biblia nayo Ina baadhi ya sura (Hesabu/Psalms)ambazo zina vionjo vya mashairi ila sidhani kama Inafika hata robo ya Biblia
4. Lugha ya kutatamausha ( isiyo muruwa) kwa kadamnasi
Biblia imesheheni mistari yenye kuogofya kusomwa mbele ya watu wengi hususan watoto wadogo
Kwa mfano pale Daud anapohitaji mahari ya magovi na mistari mwingine kama hiyo
5. Uislam kwa nguvu zote unasistiza usomaji na uhifadhi wa Quran wakati wakristo hawana muamko huo au wako NEUTRAL ktk kuhifadhi
6. Frequency & Consistency
Kama kwa uchache unasoma au unasikiliza somo moja Kila siku mara 5 Hivyo ndivyo kwa Waislamu maana wao huswali mara tano kwa siku na Kila wanaposali lazima wasome Quran
Hapo huyo kijana bado hajatenga muda wa kuhifadhi Quran
Unafundishia tuisheni wapi nije nipate elimu ya kiingereza mkuu?So this is the excuse?is this a meaningful reason?then if that is the case you should atleast know a quarter of it and not not leaving everything to the pastor/fake modern prophets
Mimi sio Mwalimu wa kiingereza ila ukitaka nikuelekeze kidogo ninachokifahamu karibu tutaelekezanaUnafundishia tuisheni wapi nije nipate elimu ya kiingereza mkuu?
quran ipo ktk kiarab so wanashindana kusoma kiarabu ila biblia inasomwa na yeyote hata km hujui kiingereza ila ipo biblia katika lugha yakoLini Mashindano ya kusoma Biblia? kama ilivyokuwa Quran?
Au ni vigumu kuihifidhali?
Wadau wanaosoma biblia hebu watwambie.
Hichi kitabu kinahifadhika?
angalia masheikh wa kiislama hata la saba wengi hawajafika , ndio maana wanatumiwa na ccmuSahivi ukiwa mchekeshaji tu unakua mchungaji unaweza kuanza kuchekesha kwanzia mwanzo wa ibada hadi mwisho bila kufungua biblia na waumini wakaridhika jpili ijayo wanaongezeka wengine kuja kuchekeshwa sasa kuihifadhi biblia kichwani tutaweza kweli?
Waislam kibao wanajazana kibao hadi pomoni hao wale ni wanyama?Ulishaona waislam wanaenda kujazana kwa hao masheikh wa Instagram?
Itakuwa mnafundishwa ujinga sana huko madrasa.Yaani unawezaje kulinganisha vitabu sabini na mbili na kijitabu kimoja cha bwana Waraqah ibn Nawful?Imepangika sana, ndio maana mtoto wa miaka 6 anaweza kuihfadhi
Brother we know the bible and our aim as Christians is to understand the bible not to memorise it, there is no profit in memorising something that you don't understand.So this is the excuse?is this a meaningful reason?then if that is the case you should atleast know a quarter of it and not not leaving everything to the pastor/fake modern prophets
If you dont memorise then how can you practice the guidance given by your God in your real life?Brother we know the bible and our aim as Christians is to understand the bible not to memorise it, there is no profit in memorising something that you don't understand.
Yes we memorise some verses but not the whole thing because the bible is too big, the bible is not a book, it's a library of books, so it's not easy to memorise it, I already told you the bible is 10x longer than the Quran.
Speaking about fake Prophets your muhammad is nonetheless.