Lini kutakuwa na Mashindano ya kusoma Biblia kama ilivyokuwa Quran?

Mkuu bora tu ungekaa kimya. Huwa mnaanza kutafuta chokochoko kisha mkizidiwa mnaanza kusema mnaonewa mwisho wa siku mnaanza kuporomosha matusi.

Hiyo dini uliyonayo ulizaliwa ukaikuta na utakufa utaicha pia ni vyema ukawa na kiasi na utumie nguvu kubwa kuboresha maisha yako kipindi cha uhai wako hapa duniani usije ukapita kama upepo.
 
Lini Mashindano ya kusoma Biblia? kama ilivyokuwa Quran?

Au ni vigumu kuihifidhali?

Wadau wanaosoma biblia hebu watwambie.

Hichi kitabu kinahifadhika?
Mimi ni Muislam nasisitiza Waislam mjikite kwenye Qur'an na muavche uchokozi kwa dini au imani zingine.

Wao kama hawashindani au swanashindana kwa siri kuhusu dini na imani zao unajuaje? Kwanini wewe Muislam utake washindane kwa kusoma kitabu chao? Labda ungesema waje wajifunze Wur'an washindane kuisoma Wur'an.

Nasema hivyo nikizingatoia kwa mba Wur'an haijaja kwa ajili ya Waislam pekee, Qur'an ni mwongozo kwa wacha Mungu, bila kujali ni wa imani au dini ipi. Wakati inashushwa Qur'an Waislam walikua wachache sana, walipoisoma na kuisikiliza Qur'an na mwongozo yake ndio makundi kwa makundi yakaukubali Uislam. Sidhani kama bwana Mtume Muhammad aliwahi hata siku moja kuilinganisha Qur'an na vitabu vya imani zingine. Nakumbuka kisa kimoja, walimwendea Wayahudi na kumwabia kama ni Mtume wa Mwenyezi Mungu basi ahkumu kesi yao, nae akawasikiliza kewsi yao akawaambia si hukumu yake ipo kwenye kigtabu chenu, kaifateni hio hukumu.

Unaona hapo hakuwahukumu kwa kuitumia Qur'an kwa sababu ambazo kila mleta hadithi anasema za kwake, lakini ukweli unabaki kua ukweloi na Waislam msiwe wachokozi, onesheni Uislam qwenu mnaofundisho na Qur'an kwa kuiishi Qur'an.

Mimi nadhani mashindano ya Qur'an kqa sasa yamekua ni namna fulani ya watu kuyafanya kama "shoe businee", sijui waandaaji wnategemea kuchuma thabwabu tu au kuchuma na mali pia? Sina uhakika.

Naipenda sana Qur'an.
 
YA NINI SASA? NI UPUUZI. NI KUSOMA AU KUKARIRI? MI SIJAONA WAKISOMA. NIMEONA WAKIKARIRI.
Kukariri/kuhifadhi ni njia ya kwanza muhimu sana ktk kujifunza kitu chochote duniani, ingawa pekee haijitoshelezi ktk mchakato wa kujifunza. Kuna vitu kama mantiki(logic) kudadisi(curiosity) kulinganisha/kuhusianisha
na ndio maana mara nyingi kama sio mara zote utaona haya mashindano yanahusisha watoto . Na ndio maana watoto wengi wenye uwezo mkubwa wa kuhifadhi wakipata access wanakuja kuwa wasomi wazuri ukubwani

Tatizo la biblia kutohifadhika;

1. Biblia ni kubwa takriban mara 5 ya Quran ukihesabu mistari utaona Biblia Ina mistari takriban 30,000 wakati Quran Ina mistari takriban 6,000 Ingawa kiimani ni jambo lisiloshindikana

2, Biblia haina sole/single universal text ambayo wakristo wote duniani wa madhehebu yote wanaweza wakakutana kuitumia word to word kama ilivyo Quran kwa waislamu

3. Meaningful Poetry
Ukiangalia Quran yote kwa ukaribu utaona mtiririko wa maneno yenye vina na mizani ambao haujapoteza maana iliyokusudiwa. Ni kitu kigumu sana kwa wandashi kubalansi matakwa ya kishairi bila kupoteza kusudio la unachotaka kukisistiza, kwenye Quran hicho kimewezekana. Kwa ushairi uliyopo kwenye Quran umeifanya iweze kuhifadhika ki urahisi ingawa Biblia nayo Ina baadhi ya sura (Hesabu/Psalms)ambazo zina vionjo vya mashairi ila sidhani kama Inafika hata robo ya Biblia

4. Lugha ya kutatamausha ( isiyo muruwa) kwa kadamnasi
Biblia imesheheni mistari yenye kuogofya kusomwa mbele ya watu wengi hususan watoto wadogo
Kwa mfano pale Daud anapohitaji mahari ya magovi na mistari mwingine kama hiyo

5. Uislam kwa nguvu zote unasistiza usomaji na uhifadhi wa Quran wakati wakristo hawana muamko huo au wako NEUTRAL ktk kuhifadhi

6. Frequency & Consistency
Kama kwa uchache unasoma au unasikiliza somo moja Kila siku mara 5 Hivyo ndivyo kwa Waislamu maana wao huswali mara tano kwa siku na Kila wanaposali lazima wasome Quran
Hapo huyo kijana bado hajatenga muda wa kuhifadhi Quran
 
Attachments

The Bible (including the New and Old Testament) is longer than the Qur'an. The Bible is roughly 800,000 words, the Qur'an is about one tenth of that (around 80,000 words).
Did I answer your question??
So this is the excuse?is this a meaningful reason?then if that is the case you should atleast know a quarter of it and not not leaving everything to the pastor/fake modern prophets
 
Sahivi ukiwa mchekeshaji tu unakua mchungaji unaweza kuanza kuchekesha kwanzia mwanzo wa ibada hadi mwisho bila kufungua biblia na waumini wakaridhika jpili ijayo wanaongezeka wengine kuja kuchekeshwa sasa kuihifadhi biblia kichwani tutaweza kweli?
Wachungaji wa siku hizi na wasanii wa cheka tu hawana utofauti kwenye maudhui na watu wanapeleka sadaka
 
Kukariri/kuhifadhi ni njia ya kwanza muhimu sana ktk kujifunza kitu chochote duniani, ingawa pekee haijitoshelezi ktk mchakato wa kujifunza. Kuna vitu kama mantiki(logic) kudadisi(curiosity) kulinganisha/kuhusianisha
na ndio maana mara nyingi kama sio mara zote utaona haya mashindano yanahusisha watoto . Na ndio maana watoto wengi wenye uwezo mkubwa wa kuhifadhi wakipata access wanakuja kuwa wasomi wazuri ukubwani

Tatizo la biblia kutohifadhika;

1. Biblia ni kubwa takriban mara 5 ya Quran ukihesabu mistari utaona Biblia Ina mistari takriban 30,000 wakati Quran Ina mistari takriban 6,000 Ingawa kiimani ni jambo lisiloshindikana

2, Biblia haina sole/single universal text ambayo wakristo wote duniani wa madhehebu yote wanaweza wakakutana kuitumia word to word kama ilivyo Quran kwa waislamu

3. Meaningful Poetry
Ukiangalia Quran yote kwa ukaribu utaona mtiririko wa maneno yenye vina na mizani ambao haujapoteza maana iliyokusudiwa. Ni kitu kigumu sana kwa wandashi kubalansi matakwa ya kishairi bila kupoteza kusudio la unachotaka kukisistiza, kwenye Quran hicho kimewezekana. Kwa ushairi uliyopo kwenye Quran umeifanya iweze kuhifadhika ki urahisi ingawa Biblia nayo Ina baadhi ya sura (Hesabu/Psalms)ambazo zina vionjo vya mashairi ila sidhani kama Inafika hata robo ya Biblia

4. Lugha ya kutatamausha ( isiyo muruwa) kwa kadamnasi
Biblia imesheheni mistari yenye kuogofya kusomwa mbele ya watu wengi hususan watoto wadogo
Kwa mfano pale Daud anapohitaji mahari ya magovi na mistari mwingine kama hiyo

5. Uislam kwa nguvu zote unasistiza usomaji na uhifadhi wa Quran wakati wakristo hawana muamko huo au wako NEUTRAL ktk kuhifadhi

6. Frequency & Consistency
Kama kwa uchache unasoma au unasikiliza somo moja Kila siku mara 5 Hivyo ndivyo kwa Waislamu maana wao huswali mara tano kwa siku na Kila wanaposali lazima wasome Quran
Hapo huyo kijana bado hajatenga muda wa kuhifadhi Quran

Biblia watu wana ielwa siyo kukariri. Halafu huo utoto wa kuimbishana haupo . Kuna watu wana kariri nyimbo za kikongo hata maana hawajui.
 
So this is the excuse?is this a meaningful reason?then if that is the case you should atleast know a quarter of it and not not leaving everything to the pastor/fake modern prophets
Unafundishia tuisheni wapi nije nipate elimu ya kiingereza mkuu?
 
Lini Mashindano ya kusoma Biblia? kama ilivyokuwa Quran?

Au ni vigumu kuihifidhali?

Wadau wanaosoma biblia hebu watwambie.

Hichi kitabu kinahifadhika?
quran ipo ktk kiarab so wanashindana kusoma kiarabu ila biblia inasomwa na yeyote hata km hujui kiingereza ila ipo biblia katika lugha yako

NB : Biblia sio kitabu cha kupromote lugha ya taifa moja km ilivyo kiarabu inapromote lugha ya kiarabu ambayo kiasilia ni SAUDIA ARABIA
 
Sahivi ukiwa mchekeshaji tu unakua mchungaji unaweza kuanza kuchekesha kwanzia mwanzo wa ibada hadi mwisho bila kufungua biblia na waumini wakaridhika jpili ijayo wanaongezeka wengine kuja kuchekeshwa sasa kuihifadhi biblia kichwani tutaweza kweli?
angalia masheikh wa kiislama hata la saba wengi hawajafika , ndio maana wanatumiwa na ccmu
 
Imepangika sana, ndio maana mtoto wa miaka 6 anaweza kuihfadhi
Itakuwa mnafundishwa ujinga sana huko madrasa.Yaani unawezaje kulinganisha vitabu sabini na mbili na kijitabu kimoja cha bwana Waraqah ibn Nawful?
 
So this is the excuse?is this a meaningful reason?then if that is the case you should atleast know a quarter of it and not not leaving everything to the pastor/fake modern prophets
Brother we know the bible and our aim as Christians is to understand the bible not to memorise it, there is no profit in memorising something that you don't understand.

Yes we memorise some verses but not the whole thing because the bible is too big, the bible is not a book, it's a library of books, so it's not easy to memorise it, I already told you the bible is 10x longer than the Quran.

Speaking about fake Prophets your muhammad is nonetheless.
 
If you dont memorise then how can you practice the guidance given by your God in your real life?
That means you use it only on Sunday when you meet with your Pastor otherwise you dont mind it you live anyhow as per your personal decisions and assumptions.
 
Back
Top Bottom