Lini Mashindano ya kusoma Biblia? kama ilivyokuwa Quran?
Au ni vigumu kuihifidhali?
Wadau wanaosoma biblia hebu watwambie.
Hichi kitabu kinahifadhika?
Yanasaidia nini? Dini, zinafubaza akili, wezi, mafisadi wote kwenye jamii,ni wakristo na wa Islam,
Tumatakiwa kuwa na mashindano ya sayansi, robotics, electronics, chips, AI nk,
Wamarekani wanajitambulisha kama judeo Christianity society, lakini wana hii sherehe Halloween, kila mwaka,
Wenzetu wana practice dini zao, ila wanatumia sayansi kujenga nchi, sio Dua na Sala, swala,
Emir wa Qatar, ndio brain iliyobuni program ya kukuza nchi, na uchumi, kwao, Arabs, na islamic, ni identity tu, kama ilivyo Buddhism, kwa wa Hindi, inapokuja swala la kujenga uchumi, diplomacy, Mambo ya dini yanawekwa pembeni, huwezi kusikia eti Qatar wameweka sheria ya kufuga ndevu kwa wanaume kama Kenge wa kabur Afghanistan wanavyofanya,