Lini kutakuwa na Mashindano ya kusoma Biblia kama ilivyokuwa Quran?

Lini kutakuwa na Mashindano ya kusoma Biblia kama ilivyokuwa Quran?

MAISHA YA WASIOKUWA WAISLAM WAKIFA​

Maelezo ya Adhabu ya Moto​

*a. * Moto Mkali na Mwenye Uchungu:

  • Sura ya An-Nisa (4:56): "Hakika wale wanaokataa Ishara Zetu, Tutawaingiza kwenye Moto. Kila mara ngozi zao zitakapoiva, Tutazibadilisha ngozi zao kwa ngozi nyingine ili wateseke. Hakika Mwenyezi Mungu ni Mwenye Hekima, Mwenye Uwezo."
  • Sura ya Al-Mulk (67:6-7): "Kwa wale waliokataa kwa Mola wao, watakuwa na adhabu ya moto wa milele, na itazidi kwa maumivu. Ikiwa watakua hawana maelezo, watakuta moto unazidi kuwa na nguvu."
*b. * Adhabu ya Milele:

  • Sura ya Al-Baqarah (2:81): "Kama vile moto utaendelea kuwaka, adhabu yao itakuwa ya milele. Hawatakuwa na msamaha wala kuondolewa adhabu yao."
*c. * Matukio ya Moto wa Jahannam:

  • Sura ya Al-Humazah (104:4-6): "Hapana! Ataingia kwenye moto wa Jahannam. Na wewe, utachoma moto huo."

*2. * Sababu za Kuingia Moto​

*a. * Kukataa Imani na Mwenyezi Mungu:

  • Sura ya Al-Bayyina (98:6): "Hakika wale waliokataa kutoka miongoni mwa watu wa Kitabu na washirikina, watakuwa katika moto wa Jahannam, watakaoishi milele ndani yake."
*b. * Kufanya Uovu na Kosa:

  • Sura ya Al-Ma'arij (70:15-16): "Hapana! Kwa hakika, adhabu ya moto wa Jahannam itawaandama wale wanaofanya dhambi na makosa."

*3. * Maelezo ya Tafauti ya Moto wa Jahannam​

*a. * Moto wa Watu na Malaika:

  • Sura ya Al-Anfal (8:50): "Ikiwa ungeweza kuona vile malaika wanavyopokea roho za wale wanaokataa kwa nguvu na kuwatupa kwenye moto."
*b. * Vikosi vya Moto:

  • Sura ya Az-Zumar (39:71): "Na wale wanaokataa wataingizwa kwenye moto kwa vikosi. Na kila kikosi kitachukua nafasi
Huyo mwenyez Mungu wako atakua anavuta bangi na kunywa gongo.
 
Kwenye sikukuu za watoto,watoto huwa wanakaririshwa mistari ya Biblia na huwa wanaambiwa waiseme mbele ya waumini watu wazima kwa zamu,siyo kwa kushindana ila ni katika hali ya kujifunza,.
 
Not fair because you will give me the traslations that you are taught by your fake pastors while I know my own taught by my senior Islamic Leaders/lecturers then how will we reach the conclusion?
In Christianity nobody's translation is superior to another's translation, the bible teaches us that god has given every man the ability to read to read his word and understand it with the help of the holy ghost. I can tell you one thing about me, I don't listen to pastors or these prophets your talking about, my understanding of the Bible is based on the bible(the bible explains itself) and my understanding of the quran is based on the quran and the hadiths(and the actions of your muhammad), so you don't have any excuses, I can even quote from today's popular Islamic scholars.

A word of advice, if you depend on Islamic scholars for interpretation I feel sorry for you, I have watched many of their debates and some of them don't even know what they're talking about, there arguments are very shallow and can't answer most difficult questions about Allah.
 
Hilo tu ndio umeona?
Nimeyaona mengi hizo ni typing errors muda haunitoshi kuandika kwa kuremba mwandiko unakuta nakujibu huku natembea barabarani au nakujibu huku akili yangu ipo kwenye kazi nyingine sasa unataka nihamishe akili yangu yote kwenye kuandika comments za JF.
 
You can not argue the Islamic scholars by watching on your TV,you should engage and criticise them physically after that come here again to proud.
 
Attachments

  • Screenshot_20240901_212002_Chrome.jpg
    Screenshot_20240901_212002_Chrome.jpg
    301.7 KB · Views: 1
Lini Mashindano ya kusoma Biblia? kama ilivyokuwa Quran?

Au ni vigumu kuihifidhali?

Wadau wanaosoma biblia hebu watwambie.

Hichi kitabu kinahifadhika?

hahahahaha

Biblia ipo katika lugha karibia zote duniani, yeyote anayejua kusoma akitaka kusoma atasoma. Hakuna haja ya kushindana.

Biblia husomwa ili imsaidie mtu kuelewa yampasayo kuelewa na sio kushindana.

WASHINDI UTAWAONA MBINGUNI KAMA UKIFIKA 😅
 
You can not argue the Islamic scholars by watching on your TV,you should engage and criticise them physically after that come here again to proud.
What part you didn't understand brother, I didn't say I argue with them, I just said I watch their debates like for example Dr Zakir Naik, who you guys always say he is the best but I've seen him tremble multiple times, one day he even said masterbation is legal(not sin) in islam😅

These are the guys you're rooting for?
 
Nimeyaona mengi hizo ni typing errors muda haunitoshi kuandika kwa kuremba mwandiko unakuta nakujibu huku natembea barabarani au nakujibu huku akili yangu ipo kwenye kazi nyingine sasa unataka nihamishe akili yangu yote kwenye kuandika comments za JF.
Ulitakiwa kujibu hivyo toka mwanzo. Kukosolewa haimanishi hujui.
 
Lini Mashindano ya kusoma Biblia? kama ilivyokuwa Quran?

Au ni vigumu kuihifidhali?

Wadau wanaosoma biblia hebu watwambie.

Hichi kitabu kinahifadhika?
Biblia ni kitabu kitakatifu na ni cha kukisoma na kukielewa na sio kukikalili.
 
What part you didn't understand brother, I didn't say I argue with them, I just said I watch their debates like for example Dr Zakir Naik, who you guys always say he is the best but I've seen him tremble multiple times, one day he even said masterbation is legal(not sin) in islam😅

These are the guys you're rooting for?
Then argue with him by facts not by your feelings, if I ask you why do you think musterbation is not legal?Assume I am Dr. Zakir,now give me the answer
 
Makinika tu utaliona kosa ulilofanya.
Translations sio traslations
Ndio maana nikakwambia muda haunitoshi huwa natype ndani ya sekunde 30 niwe nishamaliza kuandika na kusend so herufi moja kuskip ni jambo la kawaida
 
What part you didn't understand brother, I didn't say I argue with them, I just said I watch their debates like for example Dr Zakir Naik, who you guys always say he is the best but I've seen him tremble multiple times, one day he even said masterbation is legal(not sin) in islam😅

These are the guys you're rooting for?
Dr. Zakir Naik is not only a “Psycho". Being the creator of "Psychos" makes him more dangerous than a "Psycho". Ask yourself which is more dangerous, a nuclear bomb or a nuclear bomb creator.

Zakir Naik was the creator of the most psychopaths in the 20th and 21st centuries. He created or converted numerous individuals to Wahabism, which is merely a disguised form of psychosis. Wahabism is a mental illness that cannot be detected through specific medical tests. Only a wise can identify these ps ychos.
 
Ndio maana nikakwambia muda haunitoshi huwa natype ndani ya sekunde 30 niwe nishamaliza kuandika na kusend so herufi moja kuskip ni jambo la kawaida
Najua hilo ila tatizo unaporekebishwa unajibu kejeri as if unaonewa.
 
Then argue with him by facts not by your feelings, if I ask you why do you think musterbation is not legal?Assume I am Dr. Zakir,now give me the answer
Dr Zakir explained it in relation to the quran, so the main point here is that if what Dr Zakir said was TRUE that means that Allah instructed you guys to masturbate if circumstances aren't favourable(which is very weird as we know how unnatural masturbation is), second point is that if what Dr Zakir said is FALSE, well that means your acclaimed Islmaic scholar ain't for shit.

If you want me to prove how wrong masturbation is I would be very much obliged, but remember if I'm right that means your Allah has lied to you and he is false God created by Muhammad's imaginations.
 
Back
Top Bottom