Lini Wakenya watazinduka na kuitazama Tanzania kama kioo badala ya kuendelea kuiona kama adui?

Watanzania wangapi wametorokea Kenya kwani, mmoja tu, yule mwingine hakuwa anajaribu kutoroka
 
There's nuthn wrong with ccm government, get over it wakenya, ccm sio kanu, wala magufuli sio moi, mbona kwenu mna matatizo makubwa ya kisiasa kutushinda.
Your problems are much more worse for a national unity, than ours.
 
so be it, so please tell your fellow tz we dont have anything to learn from you and we dont expect you to learn from us or like us. we are not complaining whether we are americans puppet,Europeans puppet or Chinese puppet
You're nobody buddy, currently jubilee hutuma watu wao kujifunza uongozi from ccm.
Sasa usiseme we don't have anything to learn from Tz. Talk abt your self
 
You're nobody buddy, currently jubilee hutuma watu wao kujifunza uongozi from ccm.
Sasa usiseme we don't have anything to learn from Tz. Talk abt your self
una kichaa wewe..uongozi gani uko tz mpaka wakenya waje kubench mark uko?nani alikuja funzwa uongozi uko?
 
There's nuthn wrong with ccm government, get over it wakenya, ccm sio kanu, wala magufuli sio moi, mbona kwenu mna matatizo makubwa ya kisiasa kutushinda.
Your problems are much more worse for a national unity, than ours.
of course you will say that...in your eyes ccm is perfect but to mine,its bulllshit..in my eyes jubilee is better than ccm despite our challenges. its clear we willl never agree,,so plz kila mtu akae na mashida yake na hatuezi kuiga tz kwa lolote
 
Umetaja haya yote... Sasa na wewe ni yapi unadhani Tz inapaswa kuiga kutoka Kenya?
 
May be you read that in New York Times
 
Wanaotorokea Kenya ni mafisadi wanaoshirikiana na mafisadi wa Kenya!
 
Kwa hiyo unataka Kenya wawaige kuficha information/kuzuia upatikanaji wa taarifa?! Huoni hata aibu umeweza kutaja idadi ya Kenya ukashindwa ya hapo kwenu!!
So, mradi uliokuwa unaumaanisha ni huo wa umeme, kwa nini hukuutaja katika uzi wako toka mwanzo upate mrejesho? Anyway, nimetaja na mingine hapo, endelea kuielezea na hiyo...wakati wewe unajipambanua kwa "fly-over" wenzako walishakuwa nazo, unajimwambafai na ndege mwenzako shirika lake ni moja kati ya mashirika makubwa barani Africa....na mwisho ukweli mchungu ni kuwa "Kenya is the most economically developed & transparent nation in East Africa" kwa sasa.
 

Aha haaa, kwa hiyo Kenya kuna uwazi!!?
Haya tuambie hela mliyokopa kwa ajili ya uviko ilienda wapi?
Bado hamjawajibu wabunge wenu.
 
Tatizo lako ni ugeni na uchanga wa kuchangia mada, katika hilo ninakusamehe bure. Ukisoma vizuri uzi wangu, utagundua kwamba nimeorodhesha maeneo ya msingi ambayo Tanzania inafanya vizuri lakini Kenya inafanya vibaya, ndio maeneo nilipendekeza Kenya kuiga Tanzania katika hayo, wewe unazungumzia flyovers, hivi kwa akili yako Flyover ni tatizo la msingi kwa Kenya au Tanzania?
 
pingli-nywee Mfano chaguzi mbili zilizopita za Kenya unaweza elezea ni vipi Uhuru alishinda na nini kilitokea kwa wapinzani?
Kwani kuliendaje? Uchaguzi wa 2013, tume mpya na huru ya uchaguzi, IEBC, ilifanya kazi nzuri na uchaguzi uliisha bila malumbano. 2017 wapinzani wakapinga matokeo, wakawasilisha kesi yao mahakamani, uchaguzi wa urais ukabatilishwa. Ukarudiwa tena, upinzani wakapinga matokeo tena, mgombea wa upinzani akajiapisha. Baadaye wakafanya handshake na rais na sasa hivi bado yupo Kenya, bila tundu hata moja la risasi, wakiketi pamoja kupanga na kujadili masuala ya taifa la Kenya. Sasa tuna nini cha kujifunza kutoka kwenu, wakati bunge lenu sasa hivi ni la chama kimoja? Huku aliyekuwa mgombea wenu wa urais kutoka chama cha upinzani akiwa ukimbizini kule Ubelgiji?
 
Haya ndio unataka tujifunze, kutumia mamlaka vibaya dhidi ya wananchi wanyonge

Wewe ndio wale wajinga wanaosoma vichwa vya habari na kujiona mmemaliza kila kitu yaani.

"Inadaiwa kuwa, kuanzia Agosti mwaka huu mfanyabiashara huyo amekuwa akinunua mahindi kwa bei ya juu ya shilingi 75,000 kwa gunia moja na kuyauza kwa bei ya chini shilingi 45000 kitendo kilichowavutia wakulima wengi pamoja na wafanyabiashara mbalimbali kutoka Mikoa mbalimbali hapa nchini ambao walifika katika kijiji cha Mkako kwa lengo la kuyauza mahindi yao na wengine kuyanunua mahindi na kuyapeleka kuyauza Mikoa ya Kaskazini na nje ya Nchi.

Ameeleza kuwa, ilipofika mwanzoni mwa mwezi Oktoba mwaka huu, biashara hiyo ilianza kuleta dosari, mashaka na taharuki kubwa kwa wakulima na wafanyabiashara waliokuwa wamepeleka mahindi yao kuyauza kwa mfanyabishara Njako na ndipo malalamiko kutoka kwa wafanyabiashara na wakulima ambao walimlalamikia Njako kushindwa kuwalipa fedha walizo peleka kuyauza mahindi yao na wengine walilalamika kuwa walimpatia fedha ili awapatie mahindi bila mafanikio."
 
Hahahaha, unachekesha sana, tatizo lenu wakenya wa kawaida hawathamini Kenya, zaidi ya watu 67 walipigwa risasi na kuuliwa katika uchaguzi wenu 2017, bado unasema bila tundu la risasi, hao sio watu kwasababu sio wanasiasa?.

Kenyanapaswa kuiga Tanzania katika kufanya uchaguzi wa amani bila kumwaga damu. Tundu Lissu ameamua kuondoka kwa kuhofia usalama wake, hajafukuzwa kama Miguna Miguna. Mahakama imetaka arudishwe lakini serikali yenu imegoma, hiyo ni demokrasia gani?, hiyo katiba yenu inasaidiaje kupunguza vifo kipindi cha uchaguzi?
 
Pesa kidogo unajikuta umekuwa role model kwa nchi nyingine. Tuache upumbavu tukomae kuongeza thaman ya pesa yetu na demokrasia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…