Lini Wakenya watazinduka na kuitazama Tanzania kama kioo badala ya kuendelea kuiona kama adui?

Kwhyo pia hata wauguzi bongo kufa zii siku hizi kisa hamna corona[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwel jiwe ni jembe, manake tangia corona kwake iishe israil amepiga stop
Kwhyo pia hata wauguzi bongo kufa zii siku hizi kisa hamna corona[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Kwel jiwe ni jembe, manake tangia corona kwake iishe israil amepiga stop
Hahahaha, wacha kutapatapa, hao wahudumu wa Afya Kenya wanalalamika bado unaona ni wapuuzi?, kweli ukabila ni ugonjwa usiokua na dawa, kwahiyo hata watu wanaokufa kufa huko Ethiopia kutokana na vita vinavyoendelea unaweza kutumia "reasoning" hiyohiyo?. Punguza ukabila kidogo ili uweze kufikiria vizuri.
 
pesa kidogo unajikuta umekuwa role model kwa nchi nyingine
tuache upumbavu tukomae kuongeza thaman ya pesa yetu na demokrasia
Wacha kuzungumza maeneo ambayo huna elimu nayo ya kutosha, hamani ya pesa ina uhusiano gani na gharama za maisha ya wananchi wa kawaida? Kati ya Kenya na Japan ambao pesa zao zinalingana, mbona ni mbingu na Ardhi katika standard of living?

Kuhusu demokrasia, kati ya Kenya na Tanzania, nchi ipi ambayo serikali yake inaua raia wake hovyo kila mwaka?, ukiambiwa kati ya kuzuiliwa kutoa maoni, au uruhusiwe kutoa maoni lakini baadae unauliwa kwa kutoa maoni, kipi bora?
 
Naomba unijibu swali langu... Ni yapi unadhani nchi yako ya Tanzania inaweza kujifunza toka nchi ya Kenya?
 
Etiopia imeingiaje hapa, kwn kabla vita ethiopia watu ilikua hawafi[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hyo idadi ya watu wanaotajwa wanakufa na corona mbona kitambo watu kenyatta na makadara walikua wanaenda wengi tu hta zaidi ya hao kwa siku.

Kwhyo usiseme bongo watu hawafi jomba[emoji1787]
Hampimi watu sisi tunapima, hampimi maiti sisi tunapima ila pale pa kufa mbona watu watakufa tu..au labda utuhakikishie tangia corona itoweke bongo watu hawafi mahospitalini[emoji1787][emoji1787]
 
Si hta kw jiwe polisi waliuwa watu au unapinga
 
Na wewe ukaige kutokuiba kura na mahakama huru na uhuru wa kujieleza
 
Na wewe ukaige kutokuiba kura na mahakama huru na uhuru wa kujieleza
Uhuru wa kujieleza upi tena?
Huko mitandaoni mnatukana serikali mnavyotaka na hamkamatwi, unataka uhuru upi tena?

Na mlivyo na akili finyu mnafikiri kumtukana kiongozi matusi ndio uhuru wa kujieleza! Dunderhead you
 
una kichaa wewe..uongozi gani uko tz mpaka wakenya waje kubench mark uko?nani alikuja funzwa uongozi uko?
Soma hapo kijana, mkiambiwa ccm babalao, mnabishana.
 
Kenya ni shamba la mzungu na genge la Kenyatta, wengine wote ni watumwa tu hiyo nchi n'a wenyewe wanajua ni vile hawana cha kufanya.
 
pingli-nywee swali umeulizwa (chaguzi mbili za Kenya ziliishaje na je wapinzani waliishia wapi). Umeongea juu juu tu WAPI

Swali jipywa kwako
haya NAMBIE MIGUNA YUPO wapi na kwa nini?
NA kwa nini RAILA ana Muunga mkono Uhuru?
Je kisa gani kilimuondoa uhai Rojo yule wa Mombasa?
Kwa nini yule mtaalamu wa IT wa tume ya uchaguzi ya Kenya kidole chake kilikatwa naye akauwawa kama chokoraa
 
Embu nambie na huyu mbabe wa Amnesty Renee Ngamau kwa nini alikamatwa?

Ukimaliza ilo nambie kwa nini EFF cha South Africa hakiungwi mkono na wazungu na taasisi zao?
 
Hivi vioo vingine labda ni vya MBAO. Tanzania iwe kioo kwa Kenya kwenye uchaguzi?
 
Uchaguzi uliopita ulikuwa na matatizo gani mkuu? Usipende kuchukulia speculations kuwa ukweli.
Jina lako linaakisi mengi mkuu. Lets close this chapter, uchaguzi umeshapita na tumeambiwa 'umeshapita' tusonge mbele, sasa sisi ni nani tuendelee kuuongelea?
 
Haya ndio mnataka tuige 😂😂

"Mwaka huu hakuna raha kwa sababu hata mimi sipati raha kwa mke wangu"- JPM Nov 16,2020
 
Tumia akili vizuri sio lazima kila kitu hadi ufafanuliwe Kama mtoto mdogo, nimebainisha maeneo ambayo Kenya inapaswa kuiga Tanzania, wacha kujitia uchizi.
Mbona langu unalikwepa Mkuu? Ni yapi Tz inapaswa kuiga toka Kenya? Usione haya wewe bainisha tu.
 
"Hey! Look at me! I am a GREAT person! Emulate me!"

These words are the most obvious symptoms of a weak underachiever with low self-esteem and inferiority complex.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…