Wewe sio Mmarekani
Plus huishi America
Hujawahi fika America for godsakes....
Haupo kwenye investigation team,haujakwenda mahakamani hukumu ikatolewa ikawa declared on the records kwamba indeed wameiba kura kdhaa wa kadhaa na alieiba ni so and so...
Then upo hapo Mburahati unanyeshewa mvua kwenye vibanda kuinama,kwa bahati mbaya kuna kasalio ka bando in your phone by accident,eti unaielewesha US kuna mtu kaiba kura with 100% uncertainity as if una ushahidi
Kwendraaah huko....
Tupo hapa duniani kujifunza kutoka kwenye mataifa yenye walao ahueni zaidi ya mengine,Marekani ina ahueni,sio perfect ila ina ahueni....sio sawa na mauchafu yenu ya TZ au China au North Korea,Burundi na uchafu wa Uganda huko
Kafie huko FBI wa Mburahati