Lini Wananchi walishirikishwa kukabidhi chuo cha TANESCO kwa Waislam?

Ocean road na ikulu ni madrasa,madrasa si Mali ya mtu ni ya waislam,acha kuhara
 
Umesema vizuri.
Everything should be open.
Mikataka ya kanisa na serikali yote iwe wazi na fedha wanazopewa zisitishwe, Tanesco wapewe majengo yao na MoU kati ya serikali na kanisa ufutwe.
Tatizo nyie chuo mlipaswa bure lakini Mou ya Kanisa na serikali mambo ya hospital za Kanisa mnazozitegemea hawawezi kufuta maana serikali haina hospital za maana zaidi ya zahanati
 
Hivi ikitokea hicho chuo (ambacho kiko mahututi mpaka muda huu naandika hapa) kikarejeshwa kwa hao Tanesco! Hivi mtakuwa na chuo kingine kweli?

Maana mna chuo kimoja tu, lakini bado kinawatoa kamasi kwenye uendeshaji wake.
Chuo Kiko mahututi!?..pole,kwa akili zako waisywanashindwa kufyatua tofali na kujenga chuo!?..Tena watu watasoma Bure wakiamua,hiyo kazi ya shule na hospital wameiachia serikali,hawafanyi biashara ya huduma
 
Udini huu mnaouleta utawatokea mapuani maana Kuna upande huwa haukwepeshi hata sekunde na nyie mnaelewa mnaamua kujizima data.
 
Tatizo nyie chuo mlipaswa bure lakini Mou ya Kanisa na serikali mambo ya hospital za Kanisa mnazozitegemea hawawezi kufuta maana serikali haina hospital za maana zaidi ya zahanati
Inawezekana upo sahihi.
Lakini kwa vile hizo bil za huo MoU ni sehemu ya kodi yangu ni vema uwrkwe wazi ili nami nifaham nani aliusaini na kikomo chake ni lini?
 
Hata kukiendesha wameshindwa!!
 
Rejesheni chuo cha umma.
Huna ujualo. Unadhani chuo kimetolewa kwa kupenda? Waswahili wanasema sura zimeumbwa na haya na ukila na kipofu usimshike mkono...wewe ma bilioni ya kila mwaka ni sawa na majengo ya kile chuo? Bil 36 kwa mwaka mmoja tu ni zaidi ya gharama za yale majengo ya chuo
 
Faizaaaaa unaitwa hukuu🤣🤣

FaizaFoxy
 
Chuo hicho Mkapa alikitoa baada ya Masheikh kumkaba mashati kuhusu kanisa kupewa mabilioni ya ruzuku kila mwaka. Kwa aibu Mkapa akawapa Waislamu hicho chuo. Lakini pamoja na hayo, Thamani ya hicho chuo ukilingasha na mabilioni ambayo kanisa limepewa kila mwaka tangu mwaka 1992 mpaka leo ni sawa na kulinganisha kichuguu na mlima kilimanjaro.
 
Ok, naona sasa ni kumtandika mjinga kwa namna anavyokuja[emoji1787][emoji1787]

Twende sawa heshima iwepo.
 
Nilipoona wapenda nogwa wanakomalia MOU ya TEC, no kajua tu mjuaji Mmoja lazima akumbushie hii kitu.

Ila hii ishu ya MOU kama haiko standardized wajitahidi iwe standard Kwa wote.
Waislamu hawako organized
Ukiwapa ruzuku watatandikana bakora..
 
Tukubaliane yafuatayo.

1. Kwa kuwa serikali imerudisha shule za kanisa ilizotaifaisha kipindi cha azimio la Arusha irudishe pia shule za wadau wengine inazozishikilia mpaka sasa

2. Kwa kuwa serikali inatoa mabilioni ya hela kwa Kanisa kila mwaka kuendesha biashara zake za hospitali, serikali iache na Pia ichukue majengo yake ya Tanesco iliyowapa Waislamu. Na serikali ianze kujenga hospitali zake nchi nzima badala ya kuachia sovereignty ya kuhudumia wananchi kwa Kanisa

3. Serikali irudsihe ardhi zote za Waislamu ambazo zilitolewa na Waislamu makumi ya miaka iliyopita kama WAKFU zilizomo katika maeneo prime katikati ya JIji la Dar es salaam na kwingineko, Mfano mzuri ni pale Bamaga kulipokuwepo na chuo cha Posta na Simu zamani.
 
Kwani baraza la mawaziri....jeshi tiss washauri na wazee hawamshauri mama wa nchi ? Aachane na wajomba zakr ??
 
Wenzetu hawa wanasumbuliwa na inferiority complex kila mahali wanaona wanaonewa.
 
Mama Samia ametuletea vitu vya ajabu awamu hii.. anatuaibisha wanawake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…