Lini Wananchi walishirikishwa kukabidhi chuo cha TANESCO kwa Waislam?

Lini Wananchi walishirikishwa kukabidhi chuo cha TANESCO kwa Waislam?

Kampuni ya Masri ndio hiyo Arab Contractors nimeitaja hapo.

Hatujawahi kuleta udini wala kuhoji, leo tunahoji mkataba wa kipumbavu uliojaa rushwa kuna mazezeta yanajificha kwenye dini.

Stupid. ( in Samia voice)
Sema wenzetu wapo kupigania udini badala ya mkataba, mkataba ni mbovu wao kisa dini wanasema wakristo wadini
 
Sioni mwisho mzuri!Mimi Mkristo niliyetoka Koo za kiislamu naona kiza mbeleni.
 
Mzee naomba nionyeshe uzi huo
 
Rais wa awamu ya tatu mkristo Mkatoliki alikabidhi chuo cha umma (TANESCO) kwa WaIslam bila kupata baraka za wananchi.

Ndugu zetu WaIslam hawana utaratibu wa kujenga vyuo kwaajili ya elimu dunia,wamewejeza zaidi elimu ahera.

Kwakuwa chuo bado kipo na utaratibu wa kuwakadhi haukupata baraka za wananchi ni muhimu sasa chuo kikarejeshwa katika miliki ya umma.
sawasawa mwana sukuma gang....mama samia tunae Mpaka 2030
 
Hicho chuo kilikabidhiwa kupoza vuguvugu la Makataba wa Serikali na Kanisa ambao Kila Mwezi Kanisa lina vuna Bil 36 kutoka serikalini.

Mkapa akaonja joto la Waislaam,akaamua kuwapa chuo kama seheku ya kuonesha wote wananufaika.
Lakini haitoshi,nami nashauri Serikali ichukue chuo chake ili waislaam wajichange wajenge chakwao.

Kadhalika Serikali ivunje mkataba na Makanisa ili Hizo Bil 36 kwa mwezi zitumike kubitesha huduma za jamii za serikali.

Hapo hakutakuwa na Malalamiko
tusiishie hapo shule, vyuo na hospital zote zilizotaifishwa na serikali zirudi Kwa wenyewe waliozijenga.
 
Asante mkuu, kumbe ndo huyu ambaye udini umemkaa na anaonekana awam za utawala wa kiislam
 
Mpo tayari kurudisha ocean road hospital na ikulu zirudi kuwa madrasa!?..kitaifisha shule ilikua danganya toto ya kudhibiti waislam wasiwe na elimu ili wakachujwe shule za serikali
Kuna kitu labda hukielewi, Waislamu ndio matajili wa Tanzania lakini siyo waislamu nyinyi wa Mwembe Yanga na kwa Mtoro.

Kama ulikuwa hujui sasa nakujuza,
• Agha Khan hospital ni Mali ya Waislamu.

Diamond trust bank ni Mali ya Waislamu.

Diamond schools ni Mali ya waislamu.

Sasa hata leo hii hizo Mali za hao waislamu zirudishwe wewe mwislamu wa Kimanzichana wala hazikuhusu, wapo wenyewe wenye majina yao kama Kalimjee.

Ujinga uliowajaa kichwani sijui ni lini utawatoka labda mjifunze kula nguruwe itawasaidia maana kama kusoma tunasoma wote shule hizi hizi sasa swali ni kwa nini kila siku moja wajinga ni nyinyi tu?
 
safi kabisa, serikali iseme kifungu kipi cha katiba kilitumika kuwapa hayo majengo.Hakuna dini inayotakiwa kuonewa huruma kila mtu ashinde mechi zake na master wake(mkoloni wake)
 
Rais wa awamu ya tatu mkristo Mkatoliki alikabidhi chuo cha umma (TANESCO) kwa WaIslam bila kupata baraka za wananchi.

Ndugu zetu WaIslam hawana utaratibu wa kujenga vyuo kwaajili ya elimu dunia,wamewejeza zaidi elimu ahera.

Kwakuwa chuo bado kipo na utaratibu wa kuwakadhi haukupata baraka za wananchi ni muhimu sasa chuo kikarejeshwa katika miliki ya umma.
Una maanisha Chuo cha Kislamu Morogoro kilinyang'anya mali ya Tanesco?
 
Tena kirudishwe serikalini haraka sana.

Na taasisi zote za kidini iwe marufuku kupewa chochote na serikali.

Na makanisa matatu yaliyopo forodhani Dar yarudishe kwa serikali.
 
Chuo kirudishwe na Mou ifutwe na hatutaki matamko ya wakwepa kodi wanaoingiza vitu kwa mgongo wa dini.

Hao TEC na Mou yao vifutwe vyote na taasisi zote hata mkifuta BAKWATA pia sawa ,hatuendeshwi na taasisi wala kufungamana na siasa kama ni dini huko msikitini na kanisan.
 
Tena kirudishwe serikalini haraka sana.

Na taasisi zote za kidini iwe marufuku kupewa chochote na serikali.

Na makanisa matatu yaliyopo forodhani Dar yarudishe kwa serikali.
Njoo hapa Catholic Reatreat Centre - Kisiju tule mvinyo bora kabisa na "pork tenderloin".
 
Sisi ni damu moja imani tofauti, hili limkataba lisitupasue au ilikuwa njama ya kutusambaratisha? Lisitusumbue
 
Rais wa awamu ya tatu mkristo Mkatoliki alikabidhi chuo cha umma (TANESCO) kwa WaIslam bila kupata baraka za wananchi.

Ndugu zetu WaIslam hawana utaratibu wa kujenga vyuo kwaajili ya elimu dunia,wamewejeza zaidi elimu ahera.

Kwakuwa chuo bado kipo na utaratibu wa kuwakadhi haukupata baraka za wananchi ni muhimu sasa chuo kikarejeshwa katika miliki ya umma.
Umesema vizuri.
Everything should be open.
Mikataka ya kanisa na serikali yote iwe wazi na fedha wanazopewa zisitishwe, Tanesco wapewe majengo yao na MoU kati ya serikali na kanisa ufutwe.
 
Naunga mkono hoja

Bora umelileta hili hapa maana wao wamekomaa na MOU ya Serikali na Kanisa wakati Kanisa limesaidia serikali upande WA hospital sio bure lakini wao wamepewa malibya umma bure kabisa hiyo haikubaliki
 
Back
Top Bottom