TUJITEGEMEE
JF-Expert Member
- Nov 6, 2010
- 25,225
- 25,488
Yule wa Asubuhi nadhani kaibiwa akaunti yake!! Mmiliki halali wa akaunti hawezi kuwaza namna Ile!Na Ile ya asubuhi umeipinga au ilikufurahisha Kwa vile walisemwa wakristo?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yule wa Asubuhi nadhani kaibiwa akaunti yake!! Mmiliki halali wa akaunti hawezi kuwaza namna Ile!Na Ile ya asubuhi umeipinga au ilikufurahisha Kwa vile walisemwa wakristo?
Kabisa, hizi mada aina hii zinatugawa tuTunakoelekea siko
Sema wenzetu wapo kupigania udini badala ya mkataba, mkataba ni mbovu wao kisa dini wanasema wakristo wadiniKampuni ya Masri ndio hiyo Arab Contractors nimeitaja hapo.
Hatujawahi kuleta udini wala kuhoji, leo tunahoji mkataba wa kipumbavu uliojaa rushwa kuna mazezeta yanajificha kwenye dini.
Stupid. ( in Samia voice)
Mzee naomba nionyeshe uzi huoYule wa Asubuhi nadhani kaibiwa akaunti yake!! Mmiliki halali wa akaunti hawezi kuwaza namna Ile!
Mzee naomba nionyeshe uzi huo
sawasawa mwana sukuma gang....mama samia tunae Mpaka 2030Rais wa awamu ya tatu mkristo Mkatoliki alikabidhi chuo cha umma (TANESCO) kwa WaIslam bila kupata baraka za wananchi.
Ndugu zetu WaIslam hawana utaratibu wa kujenga vyuo kwaajili ya elimu dunia,wamewejeza zaidi elimu ahera.
Kwakuwa chuo bado kipo na utaratibu wa kuwakadhi haukupata baraka za wananchi ni muhimu sasa chuo kikarejeshwa katika miliki ya umma.
tusiishie hapo shule, vyuo na hospital zote zilizotaifishwa na serikali zirudi Kwa wenyewe waliozijenga.Hicho chuo kilikabidhiwa kupoza vuguvugu la Makataba wa Serikali na Kanisa ambao Kila Mwezi Kanisa lina vuna Bil 36 kutoka serikalini.
Mkapa akaonja joto la Waislaam,akaamua kuwapa chuo kama seheku ya kuonesha wote wananufaika.
Lakini haitoshi,nami nashauri Serikali ichukue chuo chake ili waislaam wajichange wajenge chakwao.
Kadhalika Serikali ivunje mkataba na Makanisa ili Hizo Bil 36 kwa mwezi zitumike kubitesha huduma za jamii za serikali.
Hapo hakutakuwa na Malalamiko
Ila ndiyo kipo kimya kama hakipo . Waumini wenyewe hawasomi hapo wanejazana kwenye Christians universities sijui shida ni nini.Bora hata wamepewa ili kufuta ujinga.
Asante mkuu, kumbe ndo huyu ambaye udini umemkaa na anaonekana awam za utawala wa kiislamLini wananchi walishirikishwa mkataba kati ya TEC na Serikali, hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC ambazo hazifanyiwi ukaguzi
Wanaukumbi. Tunaitaka Serikali ya Tanzania ifute waraka na mkataba haramu kati ya TEC ma Serikali ya Tanzania ambapo Serikali hutoa 36 billion kwa mwezi kuwapa TEC ambazo hazifanyiwi ukaguzi. Fedha hizi hupewa tanzaniaepisco1 kama ruzuku kwa ajili ya Hospitali zao lakini ukweli pesa hizo...www.jamiiforums.com
Kuna kitu labda hukielewi, Waislamu ndio matajili wa Tanzania lakini siyo waislamu nyinyi wa Mwembe Yanga na kwa Mtoro.Mpo tayari kurudisha ocean road hospital na ikulu zirudi kuwa madrasa!?..kitaifisha shule ilikua danganya toto ya kudhibiti waislam wasiwe na elimu ili wakachujwe shule za serikali
Una maanisha Chuo cha Kislamu Morogoro kilinyang'anya mali ya Tanesco?Rais wa awamu ya tatu mkristo Mkatoliki alikabidhi chuo cha umma (TANESCO) kwa WaIslam bila kupata baraka za wananchi.
Ndugu zetu WaIslam hawana utaratibu wa kujenga vyuo kwaajili ya elimu dunia,wamewejeza zaidi elimu ahera.
Kwakuwa chuo bado kipo na utaratibu wa kuwakadhi haukupata baraka za wananchi ni muhimu sasa chuo kikarejeshwa katika miliki ya umma.
Njoo hapa Catholic Reatreat Centre - Kisiju tule mvinyo bora kabisa na "pork tenderloin".Tena kirudishwe serikalini haraka sana.
Na taasisi zote za kidini iwe marufuku kupewa chochote na serikali.
Na makanisa matatu yaliyopo forodhani Dar yarudishe kwa serikali.
Umesema vizuri.Rais wa awamu ya tatu mkristo Mkatoliki alikabidhi chuo cha umma (TANESCO) kwa WaIslam bila kupata baraka za wananchi.