Lini Wananchi walishirikishwa kukabidhi chuo cha TANESCO kwa Waislam?

Naona umewashika wafuasi wa Putin pabaya🤔
 

Dp world wamepata baraka za wananchi??
 
Ujinga uliowajaa kichwani sijui ni lini utawatoka labda mjifunze kula nguruwe itawasaidia maana kama kusoma tunasoma wote shule hizi hizi sasa swali ni kwa nini kila siku moja wajinga ni nyinyi tu?
😂😂😂🤣🤣🤣🤣 Nimecheka hadi nimepaliwa na mate inamankusweke 🤣
 
Kichaa Ritzaz amekimbia na nguo zenu, mnatoka nduki kumkimbiza nawaangalia tu!!

Ni BUSARA kubaki majini.

Ni hayo tu!!!

Mkataba FAKE na BATILI ufutwe haraka 🙏🙏🙏
 
Mbombo ngafu
Bongo wasomi ndo wana udini kuliko sisi tusiosoma
mnasakana kimya kimya
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…