GENTAMYCINE
JF-Expert Member
- Jul 13, 2013
- 60,660
- 121,325
Nipo kwenye sekta ya ujenzi hivyo kwa pesa hio unaweza Jenga nyumba nzuri so haba.kwa vile tayari una uwanjaSababu...?
Nasimamia pale pale kua ni bora kujenga haijarishi ni maeneo gani(sababu maendeleo yatakuja tu no matter what),nyumba za kununua zinamengi mabaya, ya kiroho(mshana jr aje kusema chochote),hata watu wabaya wanaweza kukusumbua pia maana pengine wanaijua vizuri ramani ya nyumba ulio nunua.naomba niishie hapaAsante kwa Ushauri wako wa Kitaalam Mkuu. Nina Kajiswali kadogo tena hapa hivi kwa Kiasi hicho hicho cha Pesa ipi bora Kununua Nyumba iliyoko maeneo ya Mjini na Kulikochangamka au uende Ukajenge zako mbali huko mfano wa Vikindu au Mapinga ambako kuja Mjini ni lazima uwe na Tsh 10,000?
Mikocheni mpaka masaki watu wana nunua mijengo leo kesho!Nasimamia pale pale kua ni bora kujenga haijarishi ni maeneo gani(sababu maendeleo yatakuja tu no matter what),nyumba za kununua zinamengi mabaya, ya kiroho(mshana jr aje kusema chochote),hata watu wabaya wanaweza kukusumbua pia maana pengine wanaijua vizuri ramani ya nyumba ulio nunua.naomba niishie hapa
Jenga mpya usinunueJe, ipi ni sahihi ukiwa na hela yako kama Tsh. Milioni 40, ununue nyumba mbalimbali zinazotangazwa mitandaoni na magazetini au kwa hiyo hiyo Tsh. Milioni 40 uliyonayo umtafute fundi na akujengee nyumba yako katika uwanja ambao tayari unao siku nyingi?
Leo GENTAMYCINE nitakuwa ni msomaji zaidi wa comments zenu hapa ili basi siku moja huko mbeleni kama Mwenyezi Mungu atanibariki na kimaajabu nikaipata hii pesa (Tsh. Milioni 40) niweze kuwa na nyumba kutokana na ushauri wenu na maelekezo yenu ya kitaalam ambayo mtayatoa hapa.
kula bata.. kula bata.. duniani tunapitaJe, ipi ni sahihi ukiwa na hela yako kama Tsh. Milioni 40, ununue nyumba mbalimbali zinazotangazwa mitandaoni na magazetini au kwa hiyo hiyo Tsh. Milioni 40 uliyonayo umtafute fundi na akujengee nyumba yako katika uwanja ambao tayari unao siku nyingi?
Leo GENTAMYCINE nitakuwa ni msomaji zaidi wa comments zenu hapa ili basi siku moja huko mbeleni kama Mwenyezi Mungu atanibariki na kimaajabu nikaipata hii pesa (Tsh. Milioni 40) niweze kuwa na nyumba kutokana na ushauri wenu na maelekezo yenu ya kitaalam ambayo mtayatoa hapa.