Lipi bora kati ya kununua nyumba iliyojengwa au kujenga yako mwenyewe?

Lipi bora kati ya kununua nyumba iliyojengwa au kujenga yako mwenyewe?

Je, ipi ni sahihi ukiwa na hela yako kama Tsh. Milioni 40, ununue nyumba mbalimbali zinazotangazwa mitandaoni na magazetini au kwa hiyo hiyo Tsh. Milioni 40 uliyonayo umtafute fundi na akujengee nyumba yako katika uwanja ambao tayari unao siku nyingi?

Leo GENTAMYCINE nitakuwa ni msomaji zaidi wa comments zenu hapa ili basi siku moja huko mbeleni kama Mwenyezi Mungu atanibariki na kimaajabu nikaipata hii pesa (Tsh. Milioni 40) niweze kuwa na nyumba kutokana na ushauri wenu na maelekezo yenu ya kitaalam ambayo mtayatoa hapa.
Jenga kama wewe una elimu au uzoefu na ujenzi. Lakini kama huna. Nunua nyumba.
 
Back
Top Bottom