Mkweche II
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 4,160
- 5,793
πππππππSikujui in person ila kwa Kuandika Kwako tu hivi haya Maoni yako unaonekana ni Mtu Mwerevu ( Kipanga ) sana. Asante Mkuu na Nimekuelewa mno.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
πππππππSikujui in person ila kwa Kuandika Kwako tu hivi haya Maoni yako unaonekana ni Mtu Mwerevu ( Kipanga ) sana. Asante Mkuu na Nimekuelewa mno.
KabisaJenga yako mkuu,Bongo ushirikina mwingi,utanunua nyumba na majini yake
Nalog off
Mkuu kwani qualified surveyors hakuna huko wa kuiangalia nyumba ilivyo?Kuna mtu alinunua nyumba kwa tsh mil100+ kwa nje imepigwa rangi imefanyiwa pimping moja matata kumbe ilijengwa kwa matofali ya udongo ambapo kiuhalisia ile nyumba thamani yake ilikuwa haifiki hata mil30.
Madalali kwa kweli mbingu hawataiona!
Mkuu kwani qualified surveyors hakuna huko wa kuiangalia nyumba ilivyo?
Bora nimpe hela mtaalamu aniangalizie kila kitu hata zile joint
Watu wengi hawana maarifa ndio maana unakuta mtu anakopa au kapata hela za haraka anaenda moja kwa moja kwa dalaliNi wangapi hununua nyumba kwa kuwatumia hao surveyors...?
Kwa mazoea wengi wakishakuwa na pesa, akihitaji nyumba hata muda au wazo la kumtafuta surveyor anatoa wapi...?
Dalali akishampamba anatoa hela tu!
Hasa ulipotajiwa ushirikina!Nimecheka sana Mkuu.
Maagano yanavunjwaJenga mpya usinunue
Kuna nyumba zimejengwa na katika ardhi husika Kuna maagano ya kiroho yaliyofanyika kupitia mmiliki wa awali wa nyumba yanaweza kukutesa na kuisambaratisha familia
Hili swali lako majibu yake sio rahisi au sio majibu ya direct kwamba kujenga ni Bora kuliko kununua au kinyume chake.Je, ipi ni sahihi ukiwa na hela yako kama Tsh. Milioni 40, ununue nyumba mbalimbali zinazotangazwa mitandaoni na magazetini au kwa hiyo hiyo Tsh. Milioni 40 uliyonayo umtafute fundi na akujengee nyumba yako katika uwanja ambao tayari unao siku nyingi?
Leo GENTAMYCINE nitakuwa ni msomaji zaidi wa comments zenu hapa ili basi siku moja huko mbeleni kama Mwenyezi Mungu atanibariki na kimaajabu nikaipata hii pesa (Tsh. Milioni 40) niweze kuwa na nyumba kutokana na ushauri wenu na maelekezo yenu ya kitaalam ambayo mtayatoa hapa.
Eleza mkuuUnaweza kununua nyumba ya mpemba. (Sina Nia mbaya lakini kwa uzoefu wangu tu)