Lipi ni bora, kuwa muhuni yani nitoke nje ya ndoa au kuachana na huyu mwanamke?

Tukisema vijana msioe wanawake wenye watoto hamsikii,ona sasa .
 
Sikuwa naamini kwamba kila single mother n mjinga au mshenzi ila ninaiman HUYU niliye nae ni mpumbavu tu na kutokujitambua,japo nahisi s wooote wapo hvyooo
Endelea kuamini sio wote Hadi upigwe mpaka utoke damu kwa masikio.
Wewe unadhani aliyemzalisha na kumuacha Ni mpumbavu? Lazima alipigwa na kitu kizito kisichokua na ncha ndio akaona Bora nusu Shari.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…