Lipi ni bora, kuwa muhuni yani nitoke nje ya ndoa au kuachana na huyu mwanamke?

Achananae huyo,. Hawezi kuacha ndo tabia yake. Wanawake kama hao wanaudhi sana. Yani naumia kama ni Mimi. Ukishindwa kumuacha tafadhali usije hapa kutueleza habari za huyo KE siku nyingine.
 
Very true!!! Mtu unamuhudumia alafu analeta dharau. Achana nae alafu hao wenzake watasepa Kwa spid 220 km/saa wamwache solemba
 
mkubwa hapo.ukiendelea.kuzubaa itakula.kwako.mwisho.ujilaum.uone dunia.chungu
kiufup yeye ashaamua maisha.yake.kitambo.toka mara.ya kwanza ulpoona yey tayar alshaamua.sasa jns unavofanya kumbebabeba itakula kwako eiza ufe au uwe chiz au ata ulemavu ama unyimwe maji na hao watu.wake mana wanawake wengne majin babu KIUFUP ACHANA NAE MWACHE AENDE ZAKE KASHAAMUA HUENDA SIO TYPE YAKE ALKUEKTIA KUTMIZA HAJA ZAKE NA UMASKN WAKE
kwaio babu hapo kmbia aiseeee kmbia kmbia mbali izo mali sjui.nn ztatafutwa tu.na utapata muache akae nazo ili asje.kukuua babu
KIKUBWA FANYA MAISHA YAKO kaka kama watoto hudumia watoto wako tuu na huyo mwanamke ana hulka ya umalaya yan manake hatuachi kitu KWAIO.KAAA NAE MBALI JINI ILO KUNA UKMW NA MAGONJWA
ni ushaur ukikufaa fanya uspokufaaa endelea nmekaaa paleee nasubr majibu
 
Oya sep
 
Kwahyo ukiona Mimi kumzalisha nakumwacha nmekosea basi weendelea kupambana nae huenda Mimi nilikua namakosa ukaamua kumrisi wewe
 
Hustahili ushauri bali makofi ya kelbu mpaka akili yako izibuke.

Kila siku tunasisitiza, Kataa single Maza, hamuelewi na hamsikii.

Sasa tulia mjifunze kwa mifano.

Ukishakuta mwanamke ana mtoto, huyo ni kuachana naye mara moja.

Tatizo mnaendekeza nyege na mapenzi uchwara kuliko Akili and reasoning.
 
Kwa huyo usingepaswa uombe Ushauri tena bali ni kufanya maamuzi ya kumuacha

Una ushahidi zaidi ya mmoja ya kuwa anakusaliti
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…