Lipi ni bora, kuwa muhuni yani nitoke nje ya ndoa au kuachana na huyu mwanamke?

Tuanze na wewe kwanza. Ulimfanyia makosa gani?
 
Toka nje ya ndoa mtelee kaswende halafu mtaachana
 
Yaani me nikiona wanandoa wanenda kwa wazee kuekeana vikao kusuluhisha maugomvi yao me nakua siwaelewi kwa kweli

Yaani matatizo yenu mnashindwa kutatua wenyew mpk mkashirikishe watu wengine kwani nyinyi ni watoto wadogo?

Ulipaswa upigie chini uyo mwanamke na sio kwenda kuekana viako
 

Piga chini usubiri aolewe tena na wewe uanze kuchat naye ili
Piga chini ,usubiri aolewe upya halafu nawewe uanze kuchat naye kama kaka wa hiyari ili mwamba atayekuja baada yako ateseke pia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…