Mnondwe
JF-Expert Member
- Apr 10, 2015
- 4,013
- 3,679
Hiyo ndiyo ajira yake,kuyumbisha upinzani,special agent Lip-LipThat id the sad part....jitu somi zima linaburuzwa km toto dogo.... !!
Na hawa sirikali wanazidi kutia aibu, kwenda napolisi kufanya vurugu ktk mkutano na then kumsindikiza ofcn !!
Hv kwa CVyake hawezi kupata kazi hata consultancy akapata za kula kuliko kujivua nguo hivi...
Km ni dingi angu namchapa ngumi chap chap.... Acha ujinga kulazimisha wakati ulikimbia mwenyewe na umeshaona hawakutaki...
Hela za lumumba zinawazuzua sana..