mukaruka mzee
JF-Expert Member
- Jan 22, 2020
- 970
- 482
Ndio wale wale mkishindwa HOJA mnakimbilia matusi. Binafsi sina muda wa kujibizana matusi kwenye hili jukwaa lenye hadhi na heshima ya kimataifa. Kama una hoja zitoe ili wasomaji na wana JF wapate faida ya hii mijadala. Siyo matusi, I am very sorry for that. Bye.Niambie kwa mujibu wa sheria gani???? Kilaza mkubwa wa mataga wewe
ukiona adui yako anafurahia au kukuacha ufanye jambo fulani ujue lina madhara kwako, polisi kumsindikiza lisu na kuruhusu mikusanyiko na kumuacha aihutubie wakati anatafuta wadhamini ni kielelezo tosha alianza kampeni kabla,
Haki itendeke, kama kulikuwa na uvunjifu wa sheria na kanuni wahusika waadhibiwe kwa kanuni na sheria hizo.
Ikiwa mapingamizi ni ya kweli na ni kweli yanamhusu acha Awekewe atakuwa hafai kwa nafasi hiyo, na ikiwa ni uzushi atashinda kwani yeye ni mwanasheria msomi na mzuri na mzoefu.Mbio za kuwania urais wa Tanzania kwa Tundu Lissu, huenda zikafikia ukingoni siku chache baada ya kukabidhi fomu zake Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Lissu alipitishwa na chama chake, CHADEMA kugombea nafasi hiyo katika Uchaguzi wa mwaka huu, 2020 uliopangwa kufanyika Oktoba 28.
Read more > Urais 2020: Lissu kuwekewa vikwazo kimkakati - Imevuja!
Jamani, HOJA hapa ni kwamba kama mpiga kura una ushahidi wa kutosha kumuwekea mgombea yoyote PINGAMIZI, MUWEKEE; hiyo ni haki yako kisheria. Kama unao ushahidi utakao iridhisha Tume na Mahakama GO AHEAD AND DO IT. PERIODIsipokuwa yule:-
1. Aliyekusanya wanachama nchi nzima pale dodoma wakati anachukuwa form wakiwemo
- Mawaziri nk
2. Aliyetangaza kupitia television zote inchini
- uchukuwaji wake form
- mabarabara alojenga
- miradi mikubwamikubwa nk
Huyu yeye hakufanya kampeni ila alikuwa anatangaza tu!
Mbio za kuwania urais wa Tanzania kwa Tundu Lissu, huenda zikafikia ukingoni siku chache baada ya kukabidhi fomu zake Tume ya Taifa ya Uchaguzi (NEC).
Lissu alipitishwa na chama chake, CHADEMA kugombea nafasi hiyo katika Uchaguzi wa mwaka huu, 2020 uliopangwa kufanyika Oktoba 28.
Read more > Urais 2020: Lissu kuwekewa vikwazo kimkakati - Imevuja!
Kama kwa mawazo yako unadhani wamevunja Sheria ya Uchaguzi, GO AHEAD NA UWAWEKEE PINGAMIZI as long as umo kwenye Daftari ala Kudumu la Wapiga Kura. Siyo maneno tu humu JF jamani.Kama ni hivo mbona wote wanapingamizi maana wapo waliyofanya kampeni miaka yote 5 pekee yao,juzi wamewatumia viongozi wa dini na wassanii kuwapigia kampeni, wamegawa rushwa makanisani miaka yote. Kwa kigezo hicho wote wanakosa sifa
Ujui chochote zaidi ya mahabaKama kwa mawazo yako unadhani wamevunja Sheria ya Uchaguzi, GO AHEAD NA UWAWEKEE PINGAMIZI as long as umo kwenye Daftari ala Kudumu la Wapiga Kura. Siyo maneno tu humu JF jamani.
Alianzaje kampeni mapema wakati sio mgombea!!ukiona adui yako anafurahia au kukuacha ufanye jambo fulani ujue lina madhara kwako, polisi kumsindikiza lisu na kuruhusu mikusanyiko na kumuacha aihutubie wakati anatafuta wadhamini ni kielelezo tosha alianza kampeni kabla,
Jamani, HOJA hapa ni kwamba kama mpiga kura una ushahidi wa kutosha kumuwekea mgombea yoyote PINGAMIZI, MUWEKEE; hiyo ni haki yako kisheria. Kama unao ushahidi utakao iridhisha Tume na Mahakama GO AHEAD AND DO IT. PERIOD
Hivyo ndivyo Sheria inasema. Kama ni upumbavu, basi hiyo ni hoja nyingine na mpya.Ni upumbavu tu.
Mpira huchezwa uwanjani sio mezani kwa kamisaa
Watu wapige kura kwa uhuru, amani na matokeo yatolewe kwa haki.
Hizi hisia zakijinga kutaka kuzuwia wengine ni kuhatarisha usalama na amani ya Watanzania
Hayawi hayawi itafika wakati yatakuwa.
Majuto ni mjukuu
unajua kampeni wewe? kampeni ni nini? wapi lissu katoa sera za chama? wewe na lissu nani anajua anachokifanya lissu ni brain anajua tu mtaingia kichwa kwamba alifanya kampeni imekula kwenu pakubwaHata mimi, kama mpiga kura niliyejiandikisha kwenye Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, nafikiria very seriously, KUMUWEKEA LISSU PINGAMIZI kwani kaanza kampeni mapema. Ninashauriana na Mawakili wangu na kuzipitia CLIP TULIZOKUSANYA wakati akiwa kwenye hiyo misafara yake ya "kutafuta wadhamini". Pia tunajaribu kuangalia kutoka kona nyingine ya KUTUMIA LUGHA YA MATUSI kwenye hiyo misafara yake. Ninataka nione huyo Amsterdam atakacho kuja kufanya kumsaidia huyu mteja wake.
Siasa inahitaji science siku hizi.
Majibu ya hayo maswali atayajibu Lissu au Amsterdam siyo mimi. Tusubiri siku ya siku gTurn!unajua kampeni wewe? kampeni ni nini? wapi lissu katoa sera za chama? wewe na lissu nani anajua anachokifanya lissu ni brain anajua tu mtaingia kichwa kwamba alifanya kampeni imekula kwenu pakubwa
OK. Tusubiri. Hasira na mapovu ya nini gTurn!?juzi kwenye tamasha ilikua inawekwa audio ya magufuli akiomba kura tutaanzia hapo mwaga unga ni mwage mboga maji lazima muite mmma dadeki