Elections 2010 Lisa M Rockerffeller urge Tanzanians to reject Kikwete a 2nd Term

Status
Not open for further replies.
.... Kikwete plays too much, how can a president tell you something in the audience and when you see him he smiles at you like a little baby? Head of State? Please !!!!

... Nimesema mara nyingi ...Rais ni mgonjwa wa namna fulani... hakumaliza kukua toka ngazi ya utoto...kuwa mtu mzima... anyway! mtu makini hahitaji miujiza kujua tatizo la Mh!

.... Dada inawezekana... ana matatizo yake... Ni ujinga kuanza kumchambua ... na kuacha kuchambua alichosema kuhusu Jk... Kwa sasa sihitaji kumjua..zaidi ya alichosema... Amesema kilichotakiwa kusemwa na kila Mtz mwenye akili na ufahamu Timamu...LISA wewe ni shujaa wangu...Usichekeke na huyo jamaa ...utaonekana chizi!!
 

- Sawa sawa ndugu yangu, nimekusikia sana unaonekana uko serious saafi sana.


William.
 

Wakati wanafanya hivyo hapakuwa na sheria ya kuzuia kuhodhi lakini sheria ilipotungwa iligusa si tu Standard Oil bali kampuni zote. Ni kanuni ya sheria kuwa lazima iguse watu wote au tabia na vitendo fulani. Lakini hoja yangu ya msingi ni kuwa mazao au matawi ya Standard Oil yapo na ndiyo Chevron na Exxon Mobil. Na familia ya Rockeffelr bado ni huru na ina haki zote kama raia wa Marekani.

Bado hujajibu nukulu yangu ya Dr. Martin Luther King kuwa "Injustice Anywhere is Injustice Everywhere". Na hiyo ndiyo inatupa wewe, mimi, Lisa na wengine wote haki ya kukemea maovu sehemu yoyote ile duniani. Sasa kama Mtanzania anataka kuendelea kunyonywa hata pale watu wengine wa nje wanapomwambia kuwa achukue hatua dhidi ya kunyonywa kwake ilo ni suala lingine kwani huyo ama ni mtumwa au ana matatizo makubwa ya kiakili.

Kingine ni kuwa harakati za kupigania uhuru duniani si tu ya kwamba zilfanywa na watu wa koloni au nchi ile bali pia kwa msaada mkubwa wa watu wa nchi nyingine. Kama si hivyo nchi nyingi bado zingekuwa katika ukoloni. Ingekuwa vema ukakumbuka na kuzingatia hayo.
 
mie nimemuuliza swali rahisi tu kama anaona kikwete anafaa au hafai kutuongoza kaniambia nifungue thread ya swali hilo kwake lol.

Bwana malechela nimemuuliza aassume JK anashinda. Assume vile vile yeye kama rafiki yake wa karibu JK anamuuliza ni mambo gani alikosea for past five years amshauri. Amesema yeye atamwambia tatizo ni Sheria.

Imenipa picha ya inawezekana watu waliomzunguka kikwete ni kama kina Wiliam Malechela. wanaogopa kumwambia mambo magumu. wakati viongozi wapo madarakani kusikia mambo magumu na kufanyia maamuzi mambo magumu.
 
Jamani msisahau kupiga kura tu kesho mie leo silali nakesha baa na laptop yangu kesho alfajiri naamkia katika kituo changu cha kupiga kura na kikombe changu cha kahawa (wasije kudai nimechelewa kupiga kura bure maana hawa). Hapa naona sasa mnaanza kuzungumzia historia but ukweli unabakia palepale kuwa huyu mama ana haki ya kutukosoa kwani sie wenyewe hatukubali tuna udhaifu wetu.
 
Unlikely a$$ki$$3r showed himself up at the final day..naona 'anawekeza' huyuu..Lakini aina hii ya watu waongowaongo, na wenye kuuma na kupuliza ndio waliotufikisha hapa tulipo..they can't stand for what they believe., bali wanaangalia wapi upepo unaelekea ili wasiwe mbali na jikoni..so pathetic.
 
Ukimaliza kucheka mjibu Wenger basi mkulu..yes or no? as simple as that.

Tunataka tutoe conclusion leo hiihii.hakuna kujifichaficha kinafiki.

Mkuu hata kama ukimjua tabia yake itasaidia nini wewe kapige kura tu kaka nadhani ndio kuwa Great Thinker (Independence of opinion without looking into peoples attitude or beliefs) ndio maana saa zengine humu we agreed to disagree basi.
 
Mkuu hata kama ukimjua tabia yake itasaidia nini wewe kapige kura tu kaka nadhani ndio kuwa Great Thinker (Independence of opinion without looking into peoples attitude or beliefs) ndio maana saa zengine humu we agreed to disagree basi.

Mkulu, kuna mtego hapo kwene swali la Wenger..rudia kusoma vizuri..kupiga kura is another matter altogether, lakini lazima tuwajue watu na tabia zao vilevile kwa sababu maendeleo ni watu na watu wenyewe ndio sisi.
 
Nina wasi wasi sana na IQ ya baadhi ya wachangiaji wa JF!
 
Mkulu, kuna mtego hapo kwene swali la Wenger..rudia kusoma vizuri..kupiga kura is another matter altogether, lakini lazima tuwajue watu na tabia zao vilevile kwa sababu maendeleo ni watu na watu wenyewe ndio sisi.

Haya Mzee endelea tu mie najitoa katika hii thread (nahamia thread nyengine)maana leo nimekusudia kukesha kesho niwahi kituo cha kupiga kura wasije kusema nimechelewa kufika.
 
- Wa-Tanzania wengi tunataka mabadiliko, lakini sio ya kuambiwa na mkoloni.

William.

Sijawahi kuona jambo la kijinga kama hili!

Hivi kichaa hawezi kukufanya ukajua upuuzi na ujinga wako kama wewe ni mtu makini?

Hivi mtoto hawezi kukupa mafunzo ..kama uko open minded...?

Hivi kwa sababu mtu ni mlevi tu hawezi kukupa anaglizo ambalo linaweza kukuookoa wewe na famalia yako kwa namnafulani?

Hivi tunamwaga maji machafu tuliyomuogeshea mtoto na mtoto mwenyewe..?

Hapana!...Unamwaga maji unabakiza mtoto!

Huyu Dada anaweza akawa mchafu etc..au wakaoloni wanaweza kuwa wachafu etc...lakini kuna ukweli mkubwa sana tunaweza kujifunza na kusaidika toka kwao ..na bado tukaaacha uchafu wao!

Kusema nikatae alichosema Lisa kutokana na uchafu wa familia yake.. huo ni Uchizi.... Kikwete kafanya mambo ya Kitoto... hata mkoloni anaweza kuona..hata kichaa anaona...lakini kuona utoto wa Jk hakumfanyi kichaa asiwe kichaa!Au haimfanyi Mkoloni asiwe mkoloni lakini pia ..haimfanyi Jk awe sahihi! Na silazima ujipofue kwa kuwa ni kichaa na mkoloni ameona ... na wewe hutaki kujikuta ukiwa upande mmmoja nao!! jifunze kukubali na kuona kinachotakiwa kuonwa..objectively na simamia hapo bila kijichafuliwa na subjectivity!!

Tuamke!!!
 
This is classic
 
Thank you Lisa Rockefeller for your love and and deep care for our Tanzania, i don't know if you can follow these post and understand kiswahili but people here have appreciated you contribution on FB very much
Dont mind about peple like willium Malecela, they are part of Kikwete regime.

You are our hero dear... thank you very much. I will love if you launch campaign against Kikwete regime because it will help to get rid of CCM and all corrupt leaders.... but dont do so if Slaa wiln
 

This lady is my hero with her bravery
 

- Haya yote hayahusu, ninachosema ni hivi mzungu hawezi kutuchagulia nani anafaa na nani anafaa sisi Africa, na hasa Tanzania kuwa kiongozi kumsikiliza huyu mzungu ndio unaitwa utumwa acha kichaa, au uchizi maana ni bora kuliko utumwa wa kumsikiliza mzungu!

- Halafu hayo maneno mekundu mengi ni kichaa na uchizi, vipi muandishi are you okay bro?

William.
 
- Ndugu yangu Mtazamaji, nimeupata ujumbe wako ninautafakari kabla ya kuufanyia kazi, ninakushuru sana kwa ustaarabu wako mkubwa sana, na ubarikiwe sana.

Ahsante.


William.
 

....Mimi kipigo cha Lisa kimeniingia...sawa sawa....kama mwanaharakati hatuwezi kumnyima ku comment kwenye mambo ya nchi yetu.....kama sisi tunavyoweza kutoa maoni yetu kwenye blogs mbalimbali za nje juu ya viongozi wao au mambo yao!!!!

.........i usually tell people kuwa Americans are making fool of Kikwete and he thinks they like him....this is what people he meet in USA think of him......kuna rafiki zangu waliongea nae Washington last time wakasema "your president is not a serious man...."....sikupenda comment yao nikadhani wamemuona hivyo tu...but that is Jakaya since the age of foreign affairs todate.....he dont want to be the statesman!!
 
Du! CCM bana, yaani juzi juzi tu hata hatujasahau!

Soucrce: https://www.jamiiforums.com/uchaguzi-tanzania-2010/78312-habari-leo-mnatia-aibu.html


Habari leo leo ukurasa wa kwanza:

Sasa huku sijui ni kujipendekeza CCM au ni ulimbukeni just can't understand yaani mzungu kuvaa scarf ya CCM ni big deal?

Kweli hivyo vyombo vya habari vya serikali vimefilisika.





"Wakati kampeni za uchaguzi mkuu zikielekea ukingoni, baadhi ya watu wakiwemo wageni wameshindwa kuzuia hisia zao kama inavyoonekana kwa dada huyu wa kizungu akiwa amevaa skafu inayonadi Chama Cha Mapinduzi. (Picha na Frank Leonard)."

My Take:
Hizi zote dalili za kushindwa
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…