William J. Malecela
R I P
- Apr 27, 2006
- 26,584
- 10,400
....Mimi kipigo cha Lisa kimeniingia...sawa sawa....kama mwanaharakati hatuwezi kumnyima ku comment kwenye mambo ya nchi yetu.....kama sisi tunavyoweza kutoa maoni yetu kwenye blogs mbalimbali za nje juu ya viongozi wao au mambo yao!!!!
.........i usually tell people kuwa Americans are making fool of Kikwete and he thinks they like him....this is what people he meet in USA think of him......kuna rafiki zangu waliongea nae Washington last time wakasema "your president is not a serious man...."....sikupenda comment yao nikadhani wamemuona hivyo tu...but that is Jakaya since the age of foreign affairs todate.....he dont want to be the statesman!!
- Mkuu heshima yako sana, mambo ya ndani ya taifa letu hasa ya uongozi yanatakiwa kuamuliwa na sisi wananchi wa Tanzania, sio kuambiwa na mzungu, kuhusu maoni ya wananchi wa nje kuhusu viongozi wetu sidhani kama ni tija maana siamini kwamba Reagan alikuwa na maoni mema kuhusu Mwalimu, lakini haikubadili anything kuna watu huku US wanaamini Obama ana kichaa hasa kutokana na Health Care Plan, so what!
- Siasa za desparation haziwezi kuliokoa hili taifa, siasa za kulazimisha kuingia Ikulu haziwezi kuwa cure ya matatizo ya taifa letu ni kutafuta majibu rahisi rahisi tu kwamba tatizo la taifa letu ni Rais, aliyeshika nchi in olny Five years, unahitaji kwenda deep than that, tusikubali utumwa kwa sababu huenda utatusaidia kuingia Ikulu hata kama unaletwa na dada wa kizungu tukatae kwa kauli moja, damu ya kina Chief Mkwawa haikumwagika bure, walikuwa wakikataa kuamuliwa na wazungu what to do kama huyu dada anavyotaka kutuamulia!
William.







