Elections 2010 Lisa M Rockerffeller urge Tanzanians to reject Kikwete a 2nd Term

Status
Not open for further replies.
The sad tghing about this, is the denial Watanzania bear in their face. Leo eti mbona Bush, Watergate, sijui tunaingiliwa but the reality is tuna uongozi mbovu and if Mzungu, Mwarabu, Mhindi or any none Tanzanian has to open their mouths to tell us we are sinking, that is sad.

My question to us Watanzania is why are we in such denial?

Kampeni ya CCM imejaa ahadi ambazo ni misaada mitupu, which means CCM haiwezi kufanya kazi tena bila misaada. the question to Mtanzania is why are we allowing CCM to lead our country on kutuwekea uhuru wetu rehani?
 
Bwana William,

Lipumba, Dr. Slaa, Mzee Mwanakijiji, Rev. Kishoka, Mkandara, Kiranga, Masanilo, JMushi, Balantanda, Azimio Jipya, BCS, JF, Wanabudii, Zanzinet na kila sehemu ya mkusanyiko wetu, we are talking the same thing the "Lisa M. Rockefeller" stated.

Sasa iweje leo yeye azungumze lile lile tunalosema udai ni upuuzi? Je habari hiyo hiyo kutangazwa na mwingine ni upuuzi? Je tulipokuwa tukiizungumzia sisi nayo kumbe ilikuwa ni upuuzi au sisi ni wakoloni wa ndani tupuuzwe?
 
Mchungaji nakubaliana na wewe kabsia..again inabidi sasa Mkwere and his team watuambie hizi pesa wanazopewa na wawekezaji wanazitumiaje..

Mkuu william awakti mwingine kuna haja ya kuhoji na haya na tusisubiri hawa wawekezaji waje waseme juu yetu..afta all we have been speaking about this sh*t for so long..and you know..

come on willie..lets be realistic huyu mzungu kaongea ukweli na kawachana mbaya..
 
na hao rockfeller si ndio waanzilishi wa Illuminati wale washkaji wa Freemason?
Teh teh analo mkwele.
Leo nimepita chalinze kisha kuna kijana akaniletea mihindi ya kuchoma...
Loh mbona alinikoma...
Sheeenz typ
 
Bwana William,

Lipumba, Dr. Slaa, Mzee Mwanakijiji, Rev. Kishoka, Mkandara, Kiranga, Masanilo, JMushi, Balantanda, Azimio Jipya, BCS, JF, Wanabudii, Zanzinet na kila sehemu ya mkusanyiko wetu, we are talking the same thing the "Lisa M. Rockefeller" stated.

Sasa iweje leo yeye azungumze lile lile tunalosema udai ni upuuzi? Je habari hiyo hiyo kutangazwa na mwingine ni upuuzi? Je tulipokuwa tukiizungumzia sisi nayo kumbe ilikuwa ni upuuzi au sisi ni wakoloni wa ndani tupuuzwe?

Kwa mujibu wa mkwere misaada nayo ni achievement! So sad.....
 
- Siwezi kujadili hoja ya Mkoloni kunifundisha nani ananifaa kwua Rais wangu na hasa mkoloni ambaye ni proven mwizi huko kwao Ulaya.

William.

Haya ni mawazo ya Kizamani kabisa ambayo watu kama Robert Mugabe ama baba yake william ndio wangepaswa kuyaongelea, huu ni ulimwengu wa utandawazi, sio kila mzungu unayemwona ni mkoloni, haya ni mawazo ya kitumwa, hata hivyo kwa nini umhukumu huyu binti kwa makosa ambayo alifanya baba yake, tena zamani hasa.

Kuna kitu kimoja watu hawajui, hawa watoto wa mafisadi ni wajinga wa mwisho kabisa, hawajui kitu chochote halisi kuhusu maisha ya mtanzania, sababu wao wanaishi katika mahekalu yao , wanasoma ulaya kwenye elimu wanayoiita ya mkoloni na mambo mengine ambayo mwananchi kama mimi siwezi kupata, hivyo huyu jamaa sidhani kama ana lolote la maana analoongea hapa zaidi ya kuwaita wazungu wakoloni huku akisahau bado hapa kwetu tuna wakoloni waliovaa ngozi nyeusi, halafu unajiita Great thinker????? kwa kipi hasa . :A S-baby:
 
Ni kweli Kikwete huwa anacheka cheka hovyo, yaani ni rais asiyejua wakati gani acheke wakati gani awe serious, ndio maana anashindwa kufanya maamuzi magumu matokeo yake anafagilia mafisadi, eti mpka mahakama ithibitishe , ina maana ni msahaulifu kiasi cha kutokumbuka kwamba hata mahakama zake ni corrupt, ndio maana wa tz wamemsaidia kum-deal Mramba.
 
Bwana William,

Lipumba, Dr. Slaa, Mzee Mwanakijiji, Rev. Kishoka, Mkandara, Kiranga, Masanilo, JMushi, Balantanda, Azimio Jipya, BCS, JF, Wanabudii, Zanzinet na kila sehemu ya mkusanyiko wetu, we are talking the same thing the "Lisa M. Rockefeller" stated.

Sasa iweje leo yeye azungumze lile lile tunalosema udai ni upuuzi? Je habari hiyo hiyo kutangazwa na mwingine ni upuuzi? Je tulipokuwa tukiizungumzia sisi nayo kumbe ilikuwa ni upuuzi au sisi ni wakoloni wa ndani tupuuzwe?

- Mkuu unasema maneno mengi sana ambayo hayana anything to do na this topic, ninachosema ni simply kwamba mzungu akajali mambo ya viongozi wa taifa lake, taifa langu Tanzania aniachie mimi mwananchi wa Tanzania ndiye ninayeyajua mbona ninaongea kiswahili tu jamani!

William.
 
Haya ni mawazo ya Kizamani kabisa ambayo watu kama Robert Mugabe ama baba yake william ndio wangepaswa kuyaongelea, huu ni ulimwengu wa utandawazi, sio kila mzungu unayemwona ni mkoloni, haya ni mawazo ya kitumwa, hata hivyo kwa nini umhukumu huyu binti kwa makosa ambayo alifanya baba yake, tena zamani hasa.

Kuna kitu kimoja watu hawajui, hawa watoto wa mafisadi ni wajinga wa mwisho kabisa, hawajui kitu chochote halisi kuhusu maisha ya mtanzania, sababu wao wanaishi katika mahekalu yao , wanasoma ulaya kwenye elimu wanayoiita ya mkoloni na mambo mengine ambayo mwananchi kama mimi siwezi kupata, hivyo huyu jamaa sidhani kama ana lolote la maana analoongea hapa zaidi ya kuwaita wazungu wakoloni huku akisahau bado hapa kwetu tuna wakoloni waliovaa ngozi nyeusi, halafu unajiita Great thinker????? kwa kipi hasa . :A S-baby:

- Ifike mahali wenye akili nyingi wakija kusoma hapa waone tofauti ya mjinga na mwenye akili, kwa hiyo sitakujibu hiyo itasaidia mwenye akili kuelewa nani mzima na nani mjinga kati yangu na wewe! pole sana bro! ha! ha! ha! ha! ha!

William.
 
Haya ni mawazo ya Kizamani kabisa ambayo watu kama Robert Mugabe ama baba yake william ndio wangepaswa kuyaongelea, huu ni ulimwengu wa utandawazi, sio kila mzungu unayemwona ni mkoloni, haya ni mawazo ya kitumwa, hata hivyo kwa nini umhukumu huyu binti kwa makosa ambayo alifanya baba yake, tena zamani hasa.

Kuna kitu kimoja watu hawajui, hawa watoto wa mafisadi ni wajinga wa mwisho kabisa, hawajui kitu chochote halisi kuhusu maisha ya mtanzania, sababu wao wanaishi katika mahekalu yao , wanasoma ulaya kwenye elimu wanayoiita ya mkoloni na mambo mengine ambayo mwananchi kama mimi siwezi kupata, hivyo huyu jamaa sidhani kama ana lolote la maana analoongea hapa zaidi ya kuwaita wazungu wakoloni huku akisahau bado hapa kwetu tuna wakoloni waliovaa ngozi nyeusi, halafu unajiita Great thinker????? kwa kipi hasa . :A S-baby:

Shomari;

Kama umenifungua jambo kubwa hapa...

Na inanifanya nisichukue muda mwingi kuendelea kujadiliana na huyu Bwana !

Ni Kweli kabisa inawezekana ..haujui kabisa ulimwengu wa kweli wa Mtanzania wa Kawaida!!

Na pia inawezekana huyu Bwana anatumia hili jukwaa kutafutia umaarufu mrahisi kwa kupinga kila ukweli na jina lake kujitokeza kila page..! ...ataonwa kwa jina lake kamili na atafikiriwa na wakuu!

Vinginevyo kwanini iwe hivyo?
 
Shomari;

Kama umenifungua jambo kubwa hapa...

Na inanifanya nisichukue muda mwingi kuendelea kujadiliana na huyu Bwana !

Ni Kweli kabisa inawezekana ..haujui kabisa ulimwengu wa kweli wa Mtanzania wa Kawaida!![/SIZE]

Na pia inawezekana huyu Bwana anatumia hili jukwaa kutafutia umaarufu mrahisi kwa kupinga kila ukweli na jina lake kujitokeza kila page..! ...ataonwa kwa jina lake kamili na atafikiriwa wakuu!

Vinginevyo kwanini iwe hivyo?

- Nikikujibu kwa mwendo wako wenye akili nyingi watashindwa kujua tofauti yetu! ha! ha! ha! ha! ha!

William.
 
Mchungaji nakubaliana na wewe kabsia..again inabidi sasa Mkwere and his team watuambie hizi pesa wanazopewa na wawekezaji wanazitumiaje..

Mkuu william awakti mwingine kuna haja ya kuhoji na haya na tusisubiri hawa wawekezaji waje waseme juu yetu..afta all we have been speaking about this sh*t for so long..and you know..

come on willie..lets be realistic huyu mzungu kaongea ukweli na kawachana mbaya..

- Mzungu is good na mambo ya taifa lake la US, na mimi i am good na mambo ya taifa langu Tanzania naona mnasema maneno mengi ambayo sijayasema, again naomba kurudia ninachosema ni kwamba mzungu akaamue viongozi wa taifa lake USA, taifa langu Tanzania aniachie mimi mzawa wa Tanzania ndiye ninayejua kiongozi gani ananifaa na nani hanifai!

William.
 
- Mkuu unasema maneno mengi sana ambayo hayana anything to do na this topic, ninachosema ni simply kwamba mzungu akajali mambo ya viongozi wa taifa lake, taifa langu Tanzania aniachie mimi mwananchi wa Tanzania ndiye ninayeyajua mbona ninaongea kiswahili tu jamani!

William.

Ngugu Yangu WILLIUM

Salaam

Kwanza nikupe pole kwani inahitaji ujasiri wa hali ya juu kutetea unalolitetea hapa,very soon utawala wenu utakuwa historia,,Jifunze yaliyotokea MTERA
 
Una hakika wa ulichosema? Maana ukisoma maandiko yangu mengi humu yamekuwa ni kumpinga Kikwete an CCM an kutaka Watanzania wamchague mtu mwingne. Ukisoma huo "upuuzi" wa huyu "lisa" utakuta anaongelea kile kile cha udhaifu wa Kikwete kitu ambacho tunakizungumzia kwenye haya majukwaa tangu tukiwa BCS.

Then what is a difference? kisa yeye Mzungu? Common bwana Upiganaji hauna mipaka, rangi, kabila wala dini!
 
- Ninachotetea hapa ni uzalendo wangu na hauna anything to do na nani awe au nani asiwe Rais wetu mpya, naona unachanganya ishus, Mtera haihusiki kabisa hapa tunaongelea taifa, ha! ha! ha! ha! pole sana bro,

- Ninaongelea uzalendo na upendo kwa taifa langu, sijatetea anything else jaribu kusoma kwanza na kuelewa kabla hujajibu!
Naona wewe ndiye unahitaji pole sana bro! ha! ha! ah!

William.
 
Bwana William,

Una hakika wa ulichosema? Maana ukisoma maandiko yangu mengi humu yamekuwa ni kumpinga Kikwete an CCM an kutaka Watanzania wamchague mtu mwingne. Ukisoma huo "upuuzi" wa huyu "lisa" utakuta anaongelea kile kile cha udhaifu wa Kikwete kitu ambacho tunakizungumzia kwenye haya majukwaa tangu tukiwa BCS.

Then what is a difference? kisa yeye Mzungu? Common bwana Upiganaji hauna mipaka, rangi, kabila wala dini!

- Hivi jamani hii lugha ninayoandika hapa sio Kiswahili? Ni wapi nimeongelea udhaifu, rangi na dini? Where bro?

- Mimi ninasema hivi mzungu akajali mambo ya uongozi wa taifa lake USA, ya uongozi wa taifa langu Tanzania hayamuhusu aniachie mimi mwananchi wa Tanzania, hivi jamani hiki ninachoandika sio kiswahili?

William.
 
Bwana William,

Una hakika wa ulichosema? Maana ukisoma maandiko yangu mengi humu yamekuwa ni kumpinga Kikwete an CCM an kutaka Watanzania wamchague mtu mwingne. Ukisoma huo "upuuzi" wa huyu "lisa" utakuta anaongelea kile kile cha udhaifu wa Kikwete kitu ambacho tunakizungumzia kwenye haya majukwaa tangu tukiwa BCS.

Then what is a difference? kisa yeye Mzungu? Common bwana Upiganaji hauna mipaka, rangi, kabila wala dini!

agreed.....sasa kilichomtoa huyo mzungu leo hii kujadili fate ya Taifa letu ni nini?..........i think tuna uwezo kama Watanzania wa kuwaambia watanzania wenzetu ubovu wa uongozi wetu.......kama tulivyofanya tangu tukiwa enzi za Nyenzi, BCS et al.......au?
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom