Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
agreed.....sasa kilichomtoa huyo mzungu leo hii kujadili fate ya Taifa letu ni nini?..........i think tuna uwezo kama Watanzania wa kuwaambia watanzania wenzetu ubovu wa uongozi wetu.......kama tulivyofanya tangu tukiwa enzi za Nyenzi, BCS et al.......au?
whatever the case may be...................nimechukia sana huyu mzungu alivyom-compare JK na Mugabe.............JK atuachie sisi wenyewe tumkome nyani giladi.................
Mkulu Ogah za siku nyingi kaka?
Nina siku nyingi sana sijaingia jamvini..si unajua tena harakati za uchaguzi.
Unajua umeongea kitu kimoja ambacho kimenikuna lakini bado nikabaki na maswali. Mkuu uliyoyasema hapa ni kweli tupu..ubovu wa JK tuachiwe wenyewe tutajua la kufanya. lakini hiki kitu hakiwezekani wakati JK anaenda kuomba net za Mbu kwa hawa watu.....hatuna budi kukubali humiliation mkuu! Its sad ila ndo reality ya ulimwengu tunaoishi.....kama tunaenda kuomba vyandarua..basi hatuna budi kukubali tuulizwe maswali magumu na kuchambuliwa ni jinsi gani hivyo vyandarua vinavyotumika.
Nikutakie siku njema mkuu!.
whatever the case may be...................nimechukia sana huyu mzungu alivyom-compare JK na Mugabe.............JK atuachie sisi wenyewe tumkome nyani giladi.................
mbona kwenye shida zetu tuwahusisha? tukatae na misaada yao tuyatatue wenyewe matatizo yetu.
Kama tunapokea misaada yao basi tupokee na maoni yao kama hayo hakuna kutetea uzembe hata kidogo...
Tenda wema usingoje shukrani.. kama wameamua kusaidia wasaidia.. wasiingilie mambo ya ndani ya nchi yetu
Kipi kibaya alichosema huyu mama? katoa maoni yake na watu wameyasikia uamuzi wa kupiga kura tunao wenyewe kama akili zetu timamu tunajua cha kufanya.
Lisa is me Hero!!
Nimefurahishwa na coment yako LTC
hajakosea ana umuzi wa kutoa maoni yake anavyojisikia .. yeye! lakini SI KUMSEMA VIBAYA KIONGOZI WA NCHI YOYOTE , ATAKUWA NAWATUKANA HAO WANANCHI WALIOMUWEKA HUYO KIONGOZI
neways KAZI NZURI KOCHA WANGU!! GUNERZ MWAKA WETU HUU!!
- Hao wazungu wangetuachia mambo yetu ya ndani tutayaamua wenyewe, wao wazungu mabaya waliyotufanyia Africa sio madogo eti, huyu mdada anasahau kwamba ni wizi wa familia yake kwa taifa lake ndio uliopelekea kuanzishwa kwa sheria ya Standard Act, ili kuzuia monopoly za wizi wa familia yake kwa wananchi wa US, sasa kama yeye ni mkweli angeanza kuwarudishia serikali ya US na wananchi wake hela walizoiba huko mpaka kuanzishiwa sheria.
- Africa bwana tunakuaga so desparate na ushindi wa uongozi kwamba hata huwa hatuulizi maswali magumu, halafu baadaye ndio tutakuja kuanza kutafutana uchawi, huyu dada hana moral authority yoyote ya kutufundisha wa-Tanzania kuhusu uzuri na ubaya wa viongozi wetu, kwa sababu tunayajua vizuri matatizo yetu, yeye na familia yake warudishe zile hela zote walizowabia wananchi wenzao huko US through biashara zao za mafuta na ngano!
Ahsanteni.
William.
- Ninatetea taifa langu kutoingiliwa na Wazungu tuliowafukuza bila kupenda, kama for that heshima yngu kwako inashuka so be it,
ila wazungu watuachie taifa letu maana sasa tuko huru kuamua mambo yetu, maana ni hao hao ndio waliotuletea hizi political confusions in the first place!
William.
hahahahaha.........Mkuu nimefurahi sana kukusoma leo na saa hizi.............nilijua kuna mtu kama wewe ungekuja na hiyo challenge...........YES they can make us accountable from what they contractually give.........your analogy (i.e. tukubali humiliation) brings about slavery conditions/environment (i.e slap on our face?..........NO WAY)............tunapokwenda kuomba misaada/mikopo..........hatuombi hiyo misaada ili tuje kuwa watumwa wa misaada hiyo..(it is unfortunate jinsi tunavyoitumia hiyo misaada/mikopo though)............BUT............IT is our responsibility (sisi Wananchi) kuwa -challenge viongozi wetu..........kwa sababu ultimately its me and you who gonna pay the loan..................WE WILL PAY THEM (Wazungu).........hivyo wasituingilie..........sisi ni TAIFA................hiyo ni misimamo yetu tangu enzi zile.........au?
Nakutakia kila la kheri nawe pia
Mtu umeoa bado unakaa kwenye nyumba ya baba yako, baba yako ndiye anayekununulia chakula, nakukupa posho, anakununulia wewe, mkeo na watoto wako nguo, anawasomesha watoto wako, anakulipia umeme na maji na akiugua yeyote katika familia yako, yeye ndiye anayelipa. Wewe na mkeo hamfanyi kazi bali mnajisifia kuwa mzee wenu tajiri. Hivi siku baba akikuambia kuwa uache kulewa ovyo, usiwachape bila sababu watoto wako na usimpige mkeo utatanua kifua na kumwambia kuwa asikuiingilie katika himaya yako? Himaya gani hiyo!
Sisi tunapitisha kibakuli hata kuomba vyandarua, madawati, kuchimbiwa vyoo na visima n.k. Sisi tunapigiwa muziki ili hao mnaowaita wakoloni watusamehe madeni ambayo kweli tulikopa na tumeshindwa kurudisha ( ati.. we will pay them!)! Leo, miaka 50 baada ya uhuru, sehemu kubwa ya bajeti yetu wanaibeba hao tunaowaita wakoloni! Sasa hizo responsibility mnazojivunia ziko wapi? Mtu ambae ni responsible hata siku moja hataki kuwa tegemezi maana anajua athari zake. Utasemaje unapoenda kuomba misaada ( na sio mikopo) ati si kwa sababu mnataka kuwa watumwa! Mngejua hivyo basi mngehakikisha mnajitegemea na mnaweka mazingira ambayo wenyewe watawabembeleza kuwekeza. Hapo watawaheshimu. Hakuna mtu anayemheshimu mtembeza kibakuli! Tukubali makosa yetu na tujifunze kutokana nao. Tusipofanya hivyo tutabaki watu wakuonewa huruma na kudharauliwa.
Amandla.....