Elections 2010 Lisa M Rockerffeller urge Tanzanians to reject Kikwete a 2nd Term

Status
Not open for further replies.

- Mkuu heshima yako sana, mambo ya ndani ya taifa letu hasa ya uongozi yanatakiwa kuamuliwa na sisi wananchi wa Tanzania, sio kuambiwa na mzungu, kuhusu maoni ya wananchi wa nje kuhusu viongozi wetu sidhani kama ni tija maana siamini kwamba Reagan alikuwa na maoni mema kuhusu Mwalimu, lakini haikubadili anything kuna watu huku US wanaamini Obama ana kichaa hasa kutokana na Health Care Plan, so what!

- Siasa za desparation haziwezi kuliokoa hili taifa, siasa za kulazimisha kuingia Ikulu haziwezi kuwa cure ya matatizo ya taifa letu ni kutafuta majibu rahisi rahisi tu kwamba tatizo la taifa letu ni Rais, aliyeshika nchi in olny Five years, unahitaji kwenda deep than that, tusikubali utumwa kwa sababu huenda utatusaidia kuingia Ikulu hata kama unaletwa na dada wa kizungu tukatae kwa kauli moja, damu ya kina Chief Mkwawa haikumwagika bure, walikuwa wakikataa kuamuliwa na wazungu what to do kama huyu dada anavyotaka kutuamulia!

William.
 

So what about this William???? Hatukukusikia wakati tunaionggelea hii!!!!!!

Habari leo leo ukurasa wa kwanza:

Sasa huku sijui ni kujipendekeza CCM au ni ulimbukeni just can't understand yaani mzungu kuvaa scarf ya CCM ni big deal?

Kweli hivyo vyombo vya habari vya serikali vimefilisika.





"Wakati kampeni za uchaguzi mkuu zikielekea ukingoni, baadhi ya watu wakiwemo wageni wameshindwa kuzuia hisia zao kama inavyoonekana kwa dada huyu wa kizungu akiwa amevaa skafu inayonadi Chama Cha Mapinduzi. (Picha na Frank Leonard)."
 
Inocent Mungy thinks we dont know that it is his wife Susan that he should be grateful to.He is a nobody.And she is a someboby,particulaly where JK is concerned.Does he need me to spell it out for him ??
 

I used to think that you were a big pain in the neck. Now I have a much lower opinion of you.
 

huyu bwana malechela amaechanganyikiwa na maisha ya marekani ya kubeba boxi, na nyumbani baba kalosti. hapa familia ndo hivyo tena. william hacha kuleta frustration zako humu mkuu,
 
Bill Acha zako wewe,
Kikwete juzi kasema safari za nje ndo zinatufanya tusife njaa,Rais na Mwenyekiti wa CCM anajivunia kutembea na Bakuli kubwa kuliko lile la Matonya,Bill ulikaa kimya kama mshindo wa kivuli hukuthubutu kutoa neno. Leo wale ambao kikwete anawategemea wampe fedha wamemtolea uvivu unakuja na sela zako uchwara kwamba asituingilie. Hivi ninyi Watanganyika mnataka muingiliwe mara ngapi ndiyo mjue mmeingiliwa??

60% ya bajeti ya nchi inategemea wahisani, wahisani wenyewe ndo akina Lisa. fedha yao mnataka kisha mnataka wawe mabubu. Ovyoo!
Ni Ujuha wa hali ya juu rais wa nchi na Chama chake kujivunia wahisani. Ni Ujuha mkubwa zaidi kwako wewe mwananchi kumtetea Rais na chama chake kinachojivunia wahisani wanao toa dollar zenye thamani ya kunua gagulo na kuruhusu Mabilioni ya fedha kuibiwa na Makampuni makubwa kam Barrick Goldmine.


Nimepita State karibu 30 hapa Marekani sijaona kundi au mtu anaye tuonea huruma sisi Watanganyika sasa sijui hizo safari za Kikwete zinampa kula vipi?? Kujipendekeza??

Lisa kamfunua mkuu hadharani sasa wapambe mnajaribu kumfunika uchi na vikoi vyenu.

Kwa matokeo yeyote ya Uchaguzi huu msimamo wetu bado utakua uleule tunataka Rais anayewajibika mbele ya wananchi na kujali watu wake.Siyo kuchekacheka mbele ya mademu wa kizungu kama kijana wa miaka 17!!!
Tunata kuleta mageuzi yakuifanya Tanzania kuwa nchi ya kwanza kujenga viwanda vya kisasa vinavyoendeshwa na Watanzania wenyewe.
 
- Ukweli ni kwamba muajiri wangu hana anything to do na maisha yangu ya binafsi pamoja na kwamba ananilisha mimi na familia yangu kutokana na ujira anaonilipa kwa kumfanyia kazi.

William.

Kuajiriwa na kulishwa ni vitu tofauti. Muajiri wako anafanya hivyo kutokana na kazi unayomfanyia na hata siku moja hawezi kudai kuwa anakulisha. Mtu anayekulisha kwa fadhila tu basi atakuwa na haki kukuingilia maisha yako binafsi kama vile kukuambia upunguze ulabu, utafute kazi n.k. Ndivyo ilivyo. Sisi kama watanzania tunalishwa na hao unaowaita wakoloni.

Hivi huyu dada angetusifia na kutuambia kuwa uongozi wa sasa unastahili kupewa nafasi nyingine mngembeza kuwa anatuingilia? Ni sisi ambao tutaamua kama ushauri wake unafaa au sio maana ni sisi ambao tutapiga kura leo na sio yeye. Yeye anaweza kutushauri tu lakini usimngizie kuwa anaweza kutuchagulia maana uwezo wa kuingia kwenye kiboksi cha kupiga kura hana.

Amandla......
 

Kuna habari Membe aliongea na Maaskofu huko Mwanza kawaambia kuna Faida ya kuingia kwenye OIC tutafaidika na misaada, akufafanua masharti ya jumuia hiyo.

My take is this:

Ungekua so upset kwa kiongozi wa nchi kusearch jumuia kwa misaada, na unajua kuna sababu ya misaada, na sio private raia wa nchi nyingine kukomenti mambo ya TZ
 


Bill uamuzi unabaki kuwa ni wetu yeye ametoa maoni yake tu!!!!!
 
- Siwezi kumuita Rais wangu zero mbele ya watu wenye akili, maana nitawasaidia kunielewa kwa urahisi sana kwamba na mimi ni nani.

William.

kama raisi wako ni ziro na watu wanamjua ni ziro, lakini wewe huwezi kusema mbele yao kuwa raisi wako ni ziro basi na wewe watakuona ni ZIRO tu
 


kusifiwa ni lingine ...viongozi wetu hata wakisifiwa na mwendawazimu ulaya wanapita njia zote kusifu ..aah hata wageni wanatusifia......iweje tukikosolewa!!!!...........wazungu wanakiri mugabe is brilliant....na wanamuita rais wetu dummy.....!!..thats is how they may rate him....na pia ni lesson kwake arudi aangalia mikanda ya mwalimu nyerere na viongozi wengine wenye msimamo aone namna wanavyoongea na wazungu...wazungu bwana wakikuona huna akili ...watakufanya kituko....wanaweza hata kukuambia mambo ya kijinga kama mtego ...ukikubali wanajuwa huna msimamo...thats how they fish our president!!!.......from mwalimu aliyekuwa anaona misaada ni aibu to JK ambaye anaona misaada ni sifa.....anaita "faida za kuzunguka zunguka..."" ni vema aambiwe straight ..ni wazi atarudi tena [thanks to mtandao mpana wa chama"...lakini tumejifunza kuwa nchi hii inataka rais wa aina gani na yeye anajuwa kuwa nchi hii wanataka nini....."">>>akikosea ni wazi mwaka 2015 dola itaenda UPINZANI jumla jumla....sio reja reja kama sasa!
 

hjapo ndio kuna tofauti ya mzungu na mUAFRIKA
 
- Kutu-criticize ni one thing na kutuambia nani anafaa na nani hafai kuwa kiongozi wetu ni totally another story, ninaktaa mkoloni kutuambia nani hafai na nani anafaa kua kiongozi wetu, sijakaataa kuwa criticized!

william.

napata shida na uwezo wako wa kupambanua mambo ya kisiasa, au kwa kifupi naweza kukuita wewe ni Kaburu (kwa tafsiri ya JK Nyerere), wewe unachokiongea hapa ni ubaguzi wa rangi tu waLA hakuna lolote, KILONZO mWASIOKA ALIPOKUJA HATA TANZANIA HIVI KARIBUNI PALE ARUSHA, ALIZUNGUMZA NA KUKARIRIWA NA VYOMBO VINGI VYA HABARI AKISEMA WATANZANIA TUMCHAGUE JK KUONGOZA KWA MIAKA MINGINE MITANO, NA HATA THREAD YAKE ILIKUWA HUMU JF, LAKINI WEWE HUKUSEMA KITU KWA SABABU NI MTU WA RANGI YAKO NA KAMSEMEA RAISI WAKO UNAYEMPENDA,
LEO KASEMA MZUNGU NA KAMPINGA RAISI WAKO UNAYEMPENDA-Presha inapanda na kushuka

kama unavyoona Kilonzo ana haki basi na Lisa ana haki ya kusema hivyo
 
It's very sad reading the comments from my fellow Tzs on this topic ! It shows how backwards we still are. we are scared to speak the truth even when it stares at us right in the face. Where we suffer Tanzaniand can't afford medicine. People are still dying of malaria. Malaria?? Hundreds of thousands are yes!! People can't even afford tp buy paracetamel/ panadol to relieve pain. Women are dying during child birth still? Babies and young children are dying from easily treatable diseases. Why? Because there is no proper investments. Why? Because all the money that can be used to help here is used by a few for their own benefits. The good doctors we have won't work in villages in Govt hospitals. Why??... We know why.....
This is just a little example. But many of us still sit there and say CCM is the only solution. How could it be where in 50 yrs things are getting worse. Why or why are you so scared of change?? Look at Kenya, why do you think they are doing better than us??

Am I scared to call the president incompetent? Nooo! How did he get where he is that's my question. Are we so blind not to see through this? Come on Tanzania.... think of all your sufferings and let's do it!!
 

Hivi mkoloni akikuambia usinywe maji kwenye hiyo glass hapo ... kwa kuwa anafikiri yana sumu.... Utaonyesha ujeuri na kuyanywa ili kuonyesha ukomavu na uzalendo wa Kitanzania? ...

Au ukiacha kuyanywa hiyo sumu utakuwa mtumwa wake eh? ...

Give in ..., yield ..., submit yourself, uncondtionaly and objectively to the constructive critism given by Lisa.

Ni ukweli ambao Watanzania tunauhuitaji, na hasa viongozi wetu... na utalikoa Taifa hata kama umotolewa na mkoloni...tutaepuka sumu/kifo.. ingawa bado watabakia wakoloni ...na tutawachukulia wakoloni!

...What is all this Mkuu? ....Tuamke!
 
Achana na Wamarekani.Ni wajinga tu na wachonganishi.
Mjinga ni wewe mwenyewe. Waamerika wana tatizo gani? wao wanatuibia lakini hawaibiani wao wenyewe.Sisi tunaibiwana Kikwete na wenzake halafu tunamtukana Mwamerika. Ami una akili timamu?
 
Its hard to believe whether people who are praised to help Tanzania can be annoyed of the this funded corrupt leadership. Being the citizen of Tanzania shall be accountable for this fate. It would mean right were such leadership could be put aside so that so that we can build a new Tanzania. Am sure people do understand well wisher Lisa Rockfeller but are adamant to make changes. I wonder why Tanzania shouldn't adhear to this Voice of Us lady that Tanzania could be built anew! We sons&daughters of the poor lack quality education, poor health services and the like. It was better to fight corruption rather than emphasize silly politics. Tanzania is peaceful but fear,tourture,force and secret service always make activits perish,here dwells my dought.We shall be cursed by our forthcoming generations in the lament for having not exercised our electoral vote. I pray for citzens that today can make their Tanzania. God bless Tanzania.
 

Huyu maza ni noma.
 

- Mkuu vipi ulitaka mimi nijadili mzungu kuvaa skafu hapa kwenye uwanja wa Great Thinkers? Are you serious?

William.
 
Status
Not open for further replies.
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…