PreGE2025 Lissu aache kujitesa kwa ajili ya watanzania, ni watu wasio na shukrani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

jangoma

Senior Member
Joined
Sep 24, 2023
Posts
149
Reaction score
326
Kamanda lissu anawapambania watanzania kuondosha utawala mbovu na genge lao lakini naona anajisumbua tu kwa sababu hiyo vita ili aweze kushinda anahitaji watu ,hawezi kushinda peke yake.

Kwa bahati mbaya sana watanzania ni watu waoga na wasio aminika kabisa, ni wazuri sana wa kusifia na kuongea kwenye mitandao ya kijamii lakini wakiitwa kwenye real action hawatokei ,hovyo kabisa!

Lissu bora apambanie familia yake awaache watanzania wanyooshwe mpaka akili ziwakae sawa.
 
SISIS NI MBWA KOKO
 
Hawezi kwa maana ingredients za kuumbwa kwake zinamdai. Roho yake haiwezi kutulia ikiwa haki haijatamalaki sehemu alipo.

Hali hiyo ya Roho yake ndio imemfanya kumuondoa Mwamba (Mbowe) kwenye uenyekiti
 
Jamii tangu kunakucha mpaka kunakuchwa ni Simba na Yanga sijui manara kaachana na mkewe yaani ni ujinga ujinga tu wengine wanazungumza habari za mikeka ya ku-bet,yaani wengi hata anachokisema Lisu hawakielewi.

Watanzania sisi bado sana na wengi hatujielewi.
 
Kamanda lissu anawapambania watanzania kuondosha utawala mbovu na genge lao lakini naona anajisumbua tu kwa sababu hiyo vita ili aweze kushinda anahitaji watu ,hawezi kushinda peke yake.

Kwa bahati mbaya sana watanzania ni watu waoga na wasio aminika kabisa, ni wazuri sana wa kusifia na kuongea kwenye mitandao ya kijamii lakini wakiitwa kwenye real action hawatokei ,hovyo kabisa!

Lissu bora apambanie familia yake awaache watanzania wanyooshwe mpaka akili ziwakae sawa.
 
Attachments

  • e8615540-0dab-4066-8319-daf548b1cad5-1.jpg
    e8615540-0dab-4066-8319-daf548b1cad5-1.jpg
    195 KB · Views: 32
  • makangwane-2-use-.jpg
    makangwane-2-use-.jpg
    334.9 KB · Views: 34
  • 6026553-bf15b8f6f927c72fa16d6bb328a5e41f.mp4
    14.1 MB
Hawezi kwa maana ingredients za kuumbwa kwake zinamdai. Roho yake haiwezi kutulia ikiwa haki haijatamalaki sehemu alipo.

Hali hiyo ya Roho yake ndio imemfanya kumuondoa Mwamba (Mbowe) kwenye uenyekiti
Nini kifanyike sasa,au umeridhika na utawala wa kidhalimu wa hao jamaa
 
Da Mange hana hamu na 'watanzania"
siyo kweli. yanayofanywa na kina LISU na Mange yanafaida. ukitazama kwa macho ya kawaida unaweza usione lakini kidogo kidogo jamii inabadilika kimawazo na kifikra pia. hata mwl nyerere alipoanza kudai uhuru akishirikiana na wenziwe kina bi TITI kuna watu walimuona Nyerere kama kichaa. Lakini baadae ilikuja kuwezekana na uhuru ukapatikana. Hata tume ya Nyarari ilipoundwa ni 20% tu ya W atanzania walisema wanataka mfumo wa vyama vingi. lakini leo ikiundwa tume nyingine ya kuuliza maswali kama yale ya tume ya Nyalali unafikiri itakuwa asilimia ngapi?
NO REFORMS NO ELECTION
 
hapo unaposema maslahi ya watanzania wote unakosea sana hasa kwa wanasiasa wa hizi nchi masikini tanzania ikiwemo, wanapambana kwa ajili yao na wafadhili wao iwe tawala au wapinzani.
 
Back
Top Bottom