jangoma
Senior Member
- Sep 24, 2023
- 149
- 326
- Thread starter
- #21
Una upeo mdogo sana , ivi lissu anapoikaba serikali kwenye maswala ya rushwa , maslahi ya watumishi ,utoaji wa huduma kama maji ,umeme, ujenzi wa miundombinu nk faida ya hivyo vitu vyote huwa anapata yeye na familia yake peke yake? We ni mburukenge!hapo unaposema maslahi ya watanzania wote unakosea sana hasa kwa wanasiasa wa hizi nchi masikini tanzania ikiwemo, wanapambana kwa ajili yao na wafadhili wao iwe tawala au wapinzani.