SISIS NI MBWA KOKOKamanda lissu anawapambania watanzania kuondosha utawala mbovu na genge lao lakini naona anajisumbua tu kwa sababu hiyo vita ili aweze kushinda anahitaji watu ,hawezi kushinda peke yake.
Kwa bahati mbaya sana watanzania ni watu waoga na wasio aminika kabisa, ni wazuri sana wa kusifia na kuongea kwenye mitandao ya kijamii lakini wakiitwa kwenye real action hawatokei ,hovyo kabisa!
Lissu bora apambanie familia yake awaache watanzania wanyooshwe mpaka akili ziwakae sawa.
Hawezi kwa maana ingredients za kuumbwa kwake zinamdai. Roho yake haiwezi kutulia ikiwa haki haijatamalaki sehemu alipo.Kamanda lissu anawapambania watanzania kuondosha utawala mbovu na genge lao lakini naona anajisumbua tu kwa sababu hiyo vita ili aweze kushinda anahitaji watu ,hawezi kushinda peke yake.
Kwa bahati mbaya sana watanzania ni watu waoga na wasio aminika kabisa, ni wazuri sana wa kusifia na kuongea kwenye mitandao ya kijamii lakini wakiitwa kwenye real action hawatokei ,hovyo kabisa!
Lissu bora apambanie familia yake awaache watanzania wanyooshwe mpaka akili ziwakae sawa.
Lilimkuta jambo, hii jamii inahitaji overhaul totaly.Da Mange hana hamu na 'watanzania"
Sema ww ni mbwa koko, uwe na adabu we mburukengeSISIS NI MBWA KOKO
Kamanda lissu anawapambania watanzania kuondosha utawala mbovu na genge lao lakini naona anajisumbua tu kwa sababu hiyo vita ili aweze kushinda anahitaji watu ,hawezi kushinda peke yake.
Kwa bahati mbaya sana watanzania ni watu waoga na wasio aminika kabisa, ni wazuri sana wa kusifia na kuongea kwenye mitandao ya kijamii lakini wakiitwa kwenye real action hawatokei ,hovyo kabisa!
Lissu bora apambanie familia yake awaache watanzania wanyooshwe mpaka akili ziwakae sawa.
Nini kifanyike sasa,au umeridhika na utawala wa kidhalimu wa hao jamaaHawezi kwa maana ingredients za kuumbwa kwake zinamdai. Roho yake haiwezi kutulia ikiwa haki haijatamalaki sehemu alipo.
Hali hiyo ya Roho yake ndio imemfanya kumuondoa Mwamba (Mbowe) kwenye uenyekiti
siyo kweli. yanayofanywa na kina LISU na Mange yanafaida. ukitazama kwa macho ya kawaida unaweza usione lakini kidogo kidogo jamii inabadilika kimawazo na kifikra pia. hata mwl nyerere alipoanza kudai uhuru akishirikiana na wenziwe kina bi TITI kuna watu walimuona Nyerere kama kichaa. Lakini baadae ilikuja kuwezekana na uhuru ukapatikana. Hata tume ya Nyarari ilipoundwa ni 20% tu ya W atanzania walisema wanataka mfumo wa vyama vingi. lakini leo ikiundwa tume nyingine ya kuuliza maswali kama yale ya tume ya Nyalali unafikiri itakuwa asilimia ngapi?Da Mange hana hamu na 'watanzania"
WakiliAsipopambana kwenye siasa atakula nini sasa.
Siasa ni biashara kama zingine tu mtaji ni wajinga