Una upeo mdogo sana , ivi lissu anapoikaba serikali kwenye maswala ya rushwa , maslahi ya watumishi ,utoaji wa huduma kama maji ,umeme, ujenzi wa miundombinu nk faida ya hivyo vitu vyote huwa anapata yeye na familia yake peke yake? We ni mburukenge!hapo unaposema maslahi ya watanzania wote unakosea sana hasa kwa wanasiasa wa hizi nchi masikini tanzania ikiwemo, wanapambana kwa ajili yao na wafadhili wao iwe tawala au wapinzani.
Binafsi sijaridhika na utawala, na asilimia kubwa ya Watanzania hawaridhishwi na utawala.Nini kifanyike sasa,au umeridhika na utawala wa kidhalimu wa hao jamaa
I cant agree moresiyo kweli. yanayofanywa na kina LISU na Mange yanafaida. ukitazama kwa macho ya kawaida unaweza usione lakini kidogo kidogo jamii inabadilika kimawazo na kifikra pia. hata mwl nyerere alipoanza kudai uhuru akishirikiana na wenziwe kina bi TITI kuna watu walimuona Nyerere kama kichaa. Lakini baadae ilikuja kuwezekana na uhuru ukapatikana. Hata tume ya Nyarari ilipoundwa ni 20% tu ya W atanzania walisema wanataka mfumo wa vyama vingi. lakini leo ikiundwa tume nyingine ya kuuliza maswali kama yale ya tume ya Nyalali unafikiri itakuwa asilimia ngapi?
NO REFORMS NO ELECTION
Lissu anatupambaniaje bila kutushirikisha tupate consensus kwamba anachotupambania ndicho tunataka? Labda sisi tunataka maji, umeme, pembejeo, huduma za afya, lakini yeye akachagua vya kumpa faida kama tume ya uchaguzi.Kamanda lissu anawapambania watanzania kuondosha utawala mbovu na genge lao lakini naona anajisumbua tu kwa sababu hiyo vita ili aweze kushinda anahitaji watu ,hawezi kushinda peke yake.
Kwa bahati mbaya sana watanzania ni watu waoga na wasio aminika kabisa, ni wazuri sana wa kusifia na kuongea kwenye mitandao ya kijamii lakini wakiitwa kwenye real action hawatokei ,hovyo kabisa!
Lissu bora apambanie familia yake awaache watanzania wanyooshwe mpaka akili ziwakae sawa.
Hahaha pathetic, chanzo cha matatizo ya Tanzania unakijua kweli we mburukenge?Lissu anatupambaniaje bila kutushirikisha tupate consensus kwamba anachotupambania ndicho tunataka? Labda sisi tunataka making, umeme, pembejeo, huduma za afya, lakini yeye akachagua vya kumpa faida kama tume ya uchaguzi. Sasa tume inanihusu nini mimi mkulima wa mpunga? Bashe anamaliza shida yangu, Mwenywkiti wa Tume ya Uchaguzi wa nini mie mkazi wa Ng'wamagigisi?
Thats the problem, una short sighted vision. Bila hiyo tume kuwa right, utapataje viongoz wanaoweza ku deliver hivyo vitu kwa usawa?Lissu anatupambaniaje bila kutushirikisha tupate consensus kwamba anachotupambania ndicho tunataka? Labda sisi tunataka maji, umeme, pembejeo, huduma za afya, lakini yeye akachagua vya kumpa faida kama tume ya uchaguzi.
Sasa tume inanihusu nini mimi mkulima wa mpunga? Bashe anamaliza shida yangu, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi wa nini mie mkazi wa Ng'wamagigisi nikiangalia huku naona vituo vya afya, shule za sekondari hapa kijijini zimejaa, matoto yanapiga kingereza tu?
We mwalimu una matatizo , endelea kuwasaidia hao vibaka wa demokrasia kuiba kuraWe bwege kwl, ni mtanzania yupi amemtuma huyo lofa wenu. Huyo anapambania tumbo lake, ni kibaraka anataka kutuharibia nchi yetu. Mke na watoto wake wako Marekani anampambania nani, anataka akinukishe halafu akimbilie kwa mabwana zake. Mwanaharamu yule
HUNA AKILI WEWE KWANI KWENYE TUME YA WARIOBA SI WATU WOTE WALITOA MAONI YAO? LISU ANAFANYA KITU GANI KIPYA NJE YA KILE KILICHOMO KWENYE KATIBA YA WARIOBA AMBAYO WEWE NA WAKOLA WENZIO WA CCM MLIKIPIGA MATEKE PALE DODOMA MKIONGOZWA NA JK?Lissu anatupambaniaje bila kutushirikisha tupate consensus kwamba anachotupambania ndicho tunataka? Labda sisi tunataka maji, umeme, pembejeo, huduma za afya, lakini yeye akachagua vya kumpa faida kama tume ya uchaguzi.
Sasa tume inanihusu nini mimi mkulima wa mpunga? Bashe anamaliza shida yangu, Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi wa nini mie mkazi wa Ng'wamagigisi nikiangalia huku naona vituo vya afya, shule za sekondari hapa kijijini zimejaa, matoto yanapiga kingereza tu?
Ilo jamaa ni mburukenge kweliHUNA AKILI WEWE KWANI KWENYE TUME YA WARIOBA SI WATU WOTE WALITOA MAONI YAO? LISU ANAFANYA KITU GANI KIPYA NJE YA KILE KILICHOMO KWENYE KATIBA YA WARIOBA AMBAYO WEWE NA WAKOLA WENZIO WA CCM MLIKIPIGA MATEKE PALE DODOMA MKIONGOZWA NA JK?
KAMA HUJUI KAA KIMYA
Kama yepi hayo?Kwa ajili ya watz au kwa ajili ya maslai yake
Mimi ni chiembe, sio Mburukenge, umechanganya majina.Hahaha pathetic, chanzo cha matatizo ya Tanzania unakijua kweli we mburukenge?
Ni kweli ukitaka kuamini nenda kwenye mbio za mwenge huko kasikie yanayojiri watu wanakesha wanasifia mpaka viatu alivyovaaKamanda lissu anawapambania watanzania kuondosha utawala mbovu na genge lao lakini naona anajisumbua tu kwa sababu hiyo vita ili aweze kushinda anahitaji watu ,hawezi kushinda peke yake.
Kwa bahati mbaya sana watanzania ni watu waoga na wasio aminika kabisa, ni wazuri sana wa kusifia na kuongea kwenye mitandao ya kijamii lakini wakiitwa kwenye real action hawatokei ,hovyo kabisa!
Lissu bora apambanie familia yake awaache watanzania wanyooshwe mpaka akili ziwakae sawa.
Ujumbe upo Safi....watanzania tamaa mbele...hivyo ni bora tuendelee kuumia tuUjumbe umekaa poa kimtindo.Hebu ngoja tuone.
Hahaha bado ina mapungufu makubwa tu.mwenyekiti wa tume ya uchaguzi ya Kenya IEBC anateuliwa na rais, unadhani rais anashindwa nini kuinfluence maamuzi ya tume hiyo kufit interest zake?Mimi ni chiembe, sio Mburukenge, umechanganya majina.
Kuna nchi yenye Katiba na Tume nzuri ya uchaguzi kama Kenya? Uzuri wa Tume hiyo mbona haujaifanya Kenya iendelee au ufisadi uishe? Fantastic comparative analysis uje na findings hapa