PreGE2025 Lissu aache kujitesa kwa ajili ya watanzania, ni watu wasio na shukrani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Maneno ya Kenyata yanaishi. Nyerere anaongoza maiti.
Yaani polisi wanakuja kumchukua mbele ya umati? Umati hata kelele tu za "Haondoki" hamna?
 
Ilo jamaa ni mburukenge kweli
asikukatishe tamaa. hawa ni watu maalumu wapo hapa ili kufanya na kujenga picha kwamba kila kinachofanywa na wakosoaji wa serikali basi hakina maana yoyote na kinakosewa. siyo kweli.
kuna watu wamezishauri mamlaka zimkamate TL ili tu iwe njia ya kuwakatisha watu tamaa kuunga mkono REFORMS lakini jiulize ni watu wangapi walikuwa hawajui leo wanajua malengo ya CHADEMA kwasababu Lisu yupo NDANI?
 
Warioba ndiye alikuwa mtunzi wa sheria za hovyo pamoja na katiba ya hovyo enzi ya Nyerere, hiyo dhambi inamtesa ndio maana anatuharakisha, anatafuta toba
 
Warioba ndiye alikuwa mtunzi wa sheria za hovyo pamoja na katiba ya hovyo enzi ya Nyerere, hiyo dhambi inamtesa ndio maana anatuharakisha, anatafuta toba
inajulikana. hata ukiwa na PhD Ukiwa ccm unakuwa CHAWA TU. Unafikiri kila anayewaza tofauti ni HAINI.
 
Kwani familia yake si Watanzania?
 
Mabadiliko huletwa na mtu mmoja tu aliyeamua kuyaleta bila kujali kitakachompata
Bila support ya wananchi mkuu, of course lazima mtu mmoja au kundi la watu wachache liongoze mapambano lakini bado support ya wananchi kwa vitendo na sio maneno inahitajika.
 
Mkuu ukisema hivyo kila mmoja awe mbinafsi ,wengi watakufa sana kwa kuwa hata wewe hapo ulipo ungeachwa ujipambanie huenda hata hii post yako isingekuwepo Leo
 
Una upeo mdogo sana , ivi lissu anapoikaba serikali kwenye maswala ya rushwa , maslahi ya watumishi ,utoaji wa huduma kama maji ,umeme, ujenzi wa miundombinu nk faida ya hivyo vitu vyote huwa anapata yeye na familia yake peke yake? We ni mburukenge!
siku ukijitambua utajua kuwa ulichelewa sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…