CCM ni jeshi la miguu linafikia kila mpiga kura, inaoneka hamkujipanga kwa uchaguzi kama mpaka leo hamjui mode of transport ya mgombea weniu basi ni hatareeeeeeeeeeee. Magu anawakalisha mapema sana bado mna siku 46, kampeni gani hii ya kwenu mnajazana kwenye mkutano mmoja viongozi wote. Mbowe alitakiwa kuwa kivyake, Salum Mwalimu kivyake n.k. POLENI WAGENI WETU KWENYE SIASASafi, Stratergy iwe ni kwenye miji midogo midogo, na vitongoji vyake huko ndo kuna kura.
Magufuli anatumia usafiri wa barabara hivyo basi anafanikiwa kuongea na watu wengi njiani
Matumizi Mabaya ya pesa. KUTOKA DAR HADI KIBAHA KWA GARI NI MWENDO WA DAKIKA 40 MTU ANATUMIA HELKOPTA USHAMBA.
Lissu ndo Raisi mtarajiwa wa Tanzania ambaye anabeba maono ya kuivusha Tanzania. Jiwe anaweza kuwa ndo Raisi kwanza kuongoza kwa miaka mitano ajiandae kurudi kijijini kwake Chato huko alipojenga hekalu madikteta wengi wakipata madaraka huwa vitisho vingi sana kama ambavyo Jiwe anavyo tarehe 28-09-2020 tutamrudisha chato hii nchi si mali ya kikundi cha wahuni
Iko wazi kuwa atashinda kwa kishindo maana wenye magumu ya maisha niwengi na yeye ndo mwenye sera za kupunguza magumu najua hata wewe unajisemesha tu ila kura utampigiaWanaoamini kwamba atashinda urais ni wanachadema wa mitandaoni tu.
Endeleeni kuomba kura kwa kisukuma huko kwenuMbowe kapunga mkono wananchi hawapungi wanaiangalia HELKOPTA tu
Wanafurahia Helikopta tu kuiona
Endelea kumfatilia vizuri ana mipango kabambr ya kukomboa makundi yote ya kijamii. Wavuvi hawajawekwa mbali.Nimekusikia lakini kurayangu bado Hewani hatayeye lisu zijamsikia akisema chochote kwenye huu ubabe tuliofanyiwa wavuvi anaturudishaje kimaisha
Hivi kama Magufuli kawa Rais unadhani ni yupi mwingine wa kushindwa ?Lissu angekuwa hata waziri angejua uongozi sio lele mama. Uraisi sio mchezo! Hoja zake ni kuponda tu! Ina maana akibahatika kuwa raisi, nchi jirani ikimkosoa ni kuponda tu! Hatutaki shari, kapumzika usubiri kazi kulingana na fani yako
Kukuonesha kuwa huna akili subili 28 October. Magufuli anavyoshindaaaπππππππππππππ. Hupendi jinyonge.
Wengi hawamjui watakuja kushangaa helicopter yeye kule anahutubia watu waniangalia helikopta
Wengi hawamjui watakuja kushangaa helicopter yeye kule anahutubia watu waniangalia helikopta
Mkuu, mi nipo Shinyanga. Wakati anaingia hapa, aliingia na magari zaidi mia moja, wakati huo huo angani kulikuwa na helkopta inazunguka huku ikikatiza kushoto na kulia.Usafiri pekee usiotumika kwenye kampeni za magu ni ndege.
Baiskel zipo
Bodaboda zipo
Helicopter zipo
Magari mengi tu
Mabasi ya wasanii
Malori ya kubeba wajaza vichwa
Pia kuna matumizi mabaya ya muda.Matumizi Mabaya ya pesa. KUTOKA DAR HADI KIBAHA KWA GARI NI MWENDO WA DAKIKA 40 MTU ANATUMIA HELKOPTA USHAMBA.
Darubini yako inaonyeshaje huko?Waoh karibu nyumbani Rais mtarajiwa.
Sasa HIVI watu wana pesa kuliko zamani ulitaka bei zibaki hivyo hivyo?
Kweli kabisa! Kwenye runinga, Kisutu Mahakamani, Ubelgiji hospitalini na mihadhara aliyokuwa akilipwa "handouts"!CCM mbona mnanadi mgombea wenu kwa gharama kubwa sana? Kila nguzo ya umeme mijini ina bango lake wakati miaka yote mitano alikuwa akifanyia kazi zake kwenye runinga.
V8 zile vipMatumizi Mabaya ya pesa. KUTOKA DAR HADI KIBAHA KWA GARI NI MWENDO WA DAKIKA 40 MTU ANATUMIA HELKOPTA USHAMBA.