Lu-ma-ga
JF-Expert Member
- Sep 21, 2010
- 4,780
- 3,227
CCM ni jeshi la miguu linafikia kila mpiga kura, inaoneka hamkujipanga kwa uchaguzi kama mpaka leo hamjui mode of transport ya mgombea weniu basi ni hatareeeeeeeeeeee. Magu anawakalisha mapema sana bado mna siku 46, kampeni gani hii ya kwenu mnajazana kwenye mkutano mmoja viongozi wote. Mbowe alitakiwa kuwa kivyake, Salum Mwalimu kivyake n.k. POLENI WAGENI WETU KWENYE SIASASafi, Stratergy iwe ni kwenye miji midogo midogo, na vitongoji vyake huko ndo kuna kura.
Magufuli anatumia usafiri wa barabara hivyo basi anafanikiwa kuongea na watu wengi njiani