Chopa ni sera ya mda mrefu Sana ya Chadema,
Kila mgombea nafasi ya Urais lazima aitumie.
Nadhani wakichukua dola Usafiri maalum wa viongozi na watendaji wa serikali itakua Chopa.
Mtajifanyia wenyeweKwa chopa ni chini ya dk 10 huoni hizo 30minutes zilizookolewa
Ila tu tupo macho msije kufanya kama mlivyomfanyia Deo
Ndege zinazobeba raia 100 na zaidi siyo za muhimu lakini chopper inayobeba VIPs ni ya muhimu. Sidhani kama kweli ile michango ya kupitisha karai kwenye mikutano ndiyo imeleta chopper hiyo.Tundu Antipas Lissu, Mgombea Urais kupitia CHADEMA anayeaminiwa na wengi kushinda Urais mwaka huu leo anaanza rasmi kuruka angani kwa kutumia Chopa maalum.
Baada ya mapumziko ya siku 2 mgombea huyo leo anatarajiwa kuingia mkoani Pwani kwa kishindo ambapo atafanya mikutano mikubwa ya kampeni katika miji ya Kibaha, Chalinze na Bagamoyo
Mara baada ya awamu ya kwanza kuzindua kampeni kwenye kanda zote 10 kwa sasa lengo kubwa ni kufanya mikutano mingi ya kukutana na wananchi kwa kila mkoa na kila Jimbo la Uchaguzi.
#Niyeye2020
Msisahau kutuletea picha za mafuliko.Tundu Antipas Lissu, Mgombea Urais kupitia CHADEMA anayeaminiwa na wengi kushinda Urais mwaka huu leo anaanza rasmi kuruka angani kwa kutumia Chopa maalum.
Baada ya mapumziko ya siku 2 mgombea huyo leo anatarajiwa kuingia mkoani Pwani kwa kishindo ambapo atafanya mikutano mikubwa ya kampeni katika miji ya Kibaha, Chalinze na Bagamoyo
Mara baada ya awamu ya kwanza kuzindua kampeni kwenye kanda zote 10 kwa sasa lengo kubwa ni kufanya mikutano mingi ya kukutana na wananchi kwa kila mkoa na kila Jimbo la Uchaguzi.
#Niyeye2020
Mkuu stroke mie nadhani ni bora chopa kuliko kusimamisaha shughuli za uzalishaji Mali kwa maelfu ya watu kwa manufaa ya wa chacheChopa ni sera ya mda mrefu Sana ya Chadema,
Kila mgombea nafasi ya Urais lazima aitumie.
Nadhani wakichukua dola Usafiri maalum wa viongozi na watendaji wa serikali itakua Chopa.
Akili za mtu maskini, hujui mda ni pesa?Matumizi Mabaya ya pesa. KUTOKA DAR HADI KIBAHA KWA GARI NI MWENDO WA DAKIKA 40 MTU ANATUMIA HELKOPTA USHAMBA.
Wamefikia mpaka kubandika picha za mgombea wao kwenye majumba ya watu bila hata kuomba. Unaamka asubuhi unakuta nyumba yote imejaa picha za mgombea wao.CCM mbona mnanadi mgombea wenu kwa gharama kubwa sana? Kila nguzo ya umeme mijini ina bango lake wakati miaka yote mitano alikuwa akifanyia kazi zake kwenye runinga.
Ha ha ha hawa jamaa michango kwao ajenda namba Moja.Mtaendelea kuomba michango kwa wananchi?
Labda pale jamhuri ya watu wa chato....CCM itashinda kwa 100%
Mafisadi haya na yanatumia resources zote za serikaliHuu ni msafara wa Magufuli unaijua gharama yake... na chopa ya jeshi juu.
View attachment 1564859
View attachment 1564858
Mzinza anaogopa kupandaMatumizi Mabaya ya pesa. KUTOKA DAR HADI KIBAHA KWA GARI NI MWENDO WA DAKIKA 40 MTU ANATUMIA HELKOPTA USHAMBA.
kweli kabisa maana ameuza raslimali zote kwa wzungu na mikataba yote ya kinyonyaji yenye maslahi binafsi ya mwenyekiti yeye LISSU ndio kasaini....Ni yeye wakala wa beberu