Chopa ni sera ya mda mrefu Sana ya Chadema,
Kila mgombea nafasi ya Urais lazima aitumie.
Nadhani wakichukua dola Usafiri maalum wa viongozi na watendaji wa serikali itakua Chopa.
Heri wakawa wanasafiri kwa Chopa. Mabarabani magari 100, watu kama 500 na helikopta juu kwenye misafara ya mzee baba ni matumizi mabaya sana ya pesa na usumbufu mkubwa kwa watumia barabara wengine.