Uchaguzi 2020 Lissu aanza kutumia Chopa. Kutikisa Bagamoyo, Kibaha na Chalinze leo

Labda pale jamhuri ya watu wa chato....

Hivi jamaa ameanza kula mahindi?
Chato ataongoza ila sio zaidi ya 68
Zaidi ya hapo ni uchakachuzi.

Hivi unazani kwa ubinafsi wake hajawakera hata Dada zake?

Sembuse majirani.

Utakuta wengne wamenyang'anywa mashamba
 
Haogopi kifo mpaka baada ya uchaguzi atawadanganya mafala anaogopa na kukimbia kesi yake. Kaja kukusanya ruzuku tu lol.
 
Aiseee, hahaaaa
Piga magoti na muulize Mungu wako, jee baba Muumba hivi Mimi uliniumba kichwani na ubongo au kitu gani? Mbona Niko tofauti na binadamu wengine? Au mie ngedere kwenye umbo la mtu?
Atakujibu maana anajibu maombi
 
That's very good then....

Na wewe tatizo lako ni nini kwani kama wanaamini hivyo?...
Maalim Seif kushinda Hilo Sina Shaka , ila huyu Tundu Lissu hawezi hata kidogo maana idadi ya kura atakazopata hawezi mzidi Membe chaguo lenu la awali.
 
Kibaya zaidi huyo Tobo alimtusi Hayati Mwal Nyerere live, atakwendaje pale?
 
Daaa mtakufa na chemba moyo bure.
Nyie munaona rahisi wakati yeye anaona haiwezekani.
Kumbe na nyinyi ni wajumbee eee.
Kwa vile CCM nao wanaamini kuwa Lissu ndio mshindi hakuna wa kufa na chembe ya moyo kwa kuwa wauaji nao wako kwenye kundi la ushindi wa Lissu.
 
Habari bure.
 
Chato ataongoza ila sio zaidi ya 68
Zaidi ya hapo ni uchakachuzi.

Hivi unazani kwa ubinafsi wake hajawakera hata Dada zake?

Sembuse majirani.

Utakuta wengne wamenyang'anywa mashamba
Anajiita bulldozer...... Jinga kweli jamaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…