Uchaguzi 2020 Lissu aanza kutumia Chopa. Kutikisa Bagamoyo, Kibaha na Chalinze leo

Uchaguzi 2020 Lissu aanza kutumia Chopa. Kutikisa Bagamoyo, Kibaha na Chalinze leo

Labda pale jamhuri ya watu wa chato....

Hivi jamaa ameanza kula mahindi?
Chato ataongoza ila sio zaidi ya 68
Zaidi ya hapo ni uchakachuzi.

Hivi unazani kwa ubinafsi wake hajawakera hata Dada zake?

Sembuse majirani.

Utakuta wengne wamenyang'anywa mashamba
 
Haogopi kifo mpaka baada ya uchaguzi atawadanganya mafala anaogopa na kukimbia kesi yake. Kaja kukusanya ruzuku tu lol.
 
Aiseee, hahaaaa
Piga magoti na muulize Mungu wako, jee baba Muumba hivi Mimi uliniumba kichwani na ubongo au kitu gani? Mbona Niko tofauti na binadamu wengine? Au mie ngedere kwenye umbo la mtu?
Atakujibu maana anajibu maombi
 
That's very good then....

Na wewe tatizo lako ni nini kwani kama wanaamini hivyo?...
Maalim Seif kushinda Hilo Sina Shaka , ila huyu Tundu Lissu hawezi hata kidogo maana idadi ya kura atakazopata hawezi mzidi Membe chaguo lenu la awali.
 
Bagamoyo wanapaogopa sio utani

Uhuru wa Tanzania ulitokea pale mti wa uhuru bagamoyo na udongo ule ambao nyerere na Karume waliuchanganya kuunda muungano wa sasa huu wa serikali mbili ambao ulichukuliwa Zanzibar na Tanganyika udongo uliotumika kufunga huo muungano ulichotwa bagamoyo ukasomewa dua nzito na wazee wa bagamoyo akapewa Nyerere akachanganye na ule wa Zanzibar uliosomewa madua na wazee wa Zanzibar

Mvunja muungano au mwenye nia ya kubomoa muungano huu wa serikali mbili kiboko yake imo bagamoyo ndio maana Lowasa alikimbia anapajua
Kibaya zaidi huyo Tobo alimtusi Hayati Mwal Nyerere live, atakwendaje pale?
 
Daaa mtakufa na chemba moyo bure.
Nyie munaona rahisi wakati yeye anaona haiwezekani.
Kumbe na nyinyi ni wajumbee eee.
Kwa vile CCM nao wanaamini kuwa Lissu ndio mshindi hakuna wa kufa na chembe ya moyo kwa kuwa wauaji nao wako kwenye kundi la ushindi wa Lissu.
 
Kwa kutumia Nguvu ya Taasisi za Serikali inayotokana na CCM mtashinda ndio manaa maeneo mengine mmesha pita bila ya kupingwa.IGP kaenda kuweka kambi Zanzibar Pemba huko ,na Majeshi ni kama yame hamia huko kwa sasa kuhakikisha lao linatimilizwa.

View attachment 1565005
Habari bure.
 
Chato ataongoza ila sio zaidi ya 68
Zaidi ya hapo ni uchakachuzi.

Hivi unazani kwa ubinafsi wake hajawakera hata Dada zake?

Sembuse majirani.

Utakuta wengne wamenyang'anywa mashamba
Anajiita bulldozer...... Jinga kweli jamaa
 
Back
Top Bottom