mugah di matheo
JF-Expert Member
- Jul 28, 2018
- 6,307
- 12,410
Chato ataongoza ila sio zaidi ya 68Labda pale jamhuri ya watu wa chato....
Hivi jamaa ameanza kula mahindi?
Zaidi ya hapo ni uchakachuzi.
Hivi unazani kwa ubinafsi wake hajawakera hata Dada zake?
Sembuse majirani.
Utakuta wengne wamenyang'anywa mashamba