Uchaguzi 2020 Lissu aanza kutumia Chopa. Kutikisa Bagamoyo, Kibaha na Chalinze leo

Wengi hawamjui watakuja kushangaa helicopter yeye kule anahutubia watu waniangalia helikopta
 
CCM mbona mnanadi mgombea wenu kwa gharama kubwa sana? Kila nguzo ya umeme mijini ina bango lake wakati miaka yote mitano alikuwa akifanyia kazi zake kwenye runinga.
Ndugu yangu mgombea wao nmerudi juzi nyumbani naona bango lake lipo chooni limebandikwa hadi sasa nmeshindwa kuelewa mtu kafanya kampeni miaka mitano na bado anahangaika hadi chooni matangazo...
 
Wanaoamini kwamba atashinda urais ni wanachadema wa mitandaoni tu.
Mku kuamini ni jambo litarajiwalo na Binadamu yeyote mwenye malengo hai.
Kama tunavyoamini Mwenyekiti wetu stashinda tena nao wanaimani ndo maana naye anaomba ridhaa tena kwa hiyo watoa ridhaa ambao niwapiga kura wanamajibu kwa mwenye Ilani itakayowavusha hao wapigakura
 
Aisee...kumbe ina maana CHADEMA haijaishiwa pesa?
 
Wanaoamini kwamba atashinda urais ni wanachadema wa mitandaoni tu.
Hata mm sio CHADEMA ni CCM naamini Lissu kwa sanduku anatushinda serekali yangu imefilisi watu sana kama vile wavuvi tumechomewa nyavu zetu na kutekwa mageneretor engine za boat ambazo tulikuwa tumia kama usafiri kwa kisingizio cha nyavu haram lakini sasa waziri karuhusu kutumia generetor tukiangalia nyavu zinazouzwa leo nizilezile walizozichoma na wanataka tukazinunue engine zetu walizoziteka mpaka leo inatuuma sana.
 
Mungu ambariki sana huyu kiongizi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…