Uchaguzi 2020 Lissu aanza kutumia Chopa. Kutikisa Bagamoyo, Kibaha na Chalinze leo

Uchaguzi 2020 Lissu aanza kutumia Chopa. Kutikisa Bagamoyo, Kibaha na Chalinze leo

Magu 2020 to infinity[emoji3][emoji3][emoji3]
Lissu ndo Raisi mtarajiwa wa Tanzania ambaye anabeba maono ya kuivusha Tanzania. Jiwe anaweza kuwa ndo Raisi kwanza kuongoza kwa miaka mitano ajiandae kurudi kijijini kwake Chato huko alipojenga hekalu madikteta wengi wakipata madaraka huwa vitisho vingi sana kama ambavyo Jiwe anavyo tarehe 28-09-2020 tutamrudisha chato hii nchi si mali ya kikundi cha wahuni
 
Tundu Antipas Lissu, Mgombea Urais kupitia CHADEMA anayeaminiwa na wengi kushinda Urais mwaka huu leo anaanza rasmi kuruka angani kwa kutumia Chopa maalum.

Baada ya mapumziko ya siku 2 mgombea huyo leo anatarajiwa kuingia mkoani Pwani kwa kishindo ambapo atafanya mikutano mikubwa ya kampeni katika miji ya Kibaha, Chalinze na Bagamoyo

Mara baada ya awamu ya kwanza kuzindua kampeni kwenye kanda zote 10 kwa Sasa lengo kubwa ni kufanya mikutano mingi ya kukutana na wananchi kwa kila mkoa na kila Jimbo la uchaguzi.
Mungu
Hata mm sio chadema ni ccm naamini lisu kwa sanduku anatushinda serekali yangu imefirisi watu sana kama vile wavuvi tumechomewa nyavu zetu nakutekwa mageneretor .engine za boat ambazo tulikuwa tumia kama usafiri kwakisingizio cha nyavu haram lakini sasa waziri karuhusu kutumia generetor tukiangalia nyavu zinazo uzwa leo nizilezile walizo zichoma na wanataka tukazinunue engine zetu walizo ziteka mpaka leo inatuuma sana
Tunaomba kura yako na za wenzako kwa Mh Tundu Lissu anaejali maisha ya watu mpenda haki na amani achana na hawa wahuni wa ccm
 
Huwezi kuwa CCM wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Chopa .......deni la DJ la kukodisha edikopta litapanda kwa kasi.... maskini ruzuku..Viva DJ
Heil JPM
Mngekuwa na nia ya dhati ya kuwasaidia Watanzania ingewasaidia sana, hivi mlipoingia madarakani sukari ilikua bei gani na sasa hivi ni bei gani?
 
Safi, Stratergy iwe ni kwenye miji midogo midogo, na vitongoji vyake huko ndo kuna kura.
Magufuli anatumia usafiri wa barabara hivyo basi anafanikiwa kuongea na watu wengi njiani
Kampeni za Chadema ziko more strategic, zinamfanya mgombea kupita eneo moja zaidi ya mara moja.

Ukiangalia baada ya uzinduzi wa kampeni kwenye kanda zote ( mikoa 10) atarudi tena kwenye maeneo hayo kwa maana ya kila jimbo, hiyo itampa nafasi ya kufanya 'clear the air campaign' kwenye maeneo ambayo mgombea wa ccm alishapita na hana nafasi ya kurudi tena.

Namna hii ya kampeni inamuwezesha kufuta 'sumu' iliyomwagwa na mpinzani wake na kuacha 'madini' yake kwa wapiga kura kuelekea oct 28, just brilliant strategy.
 
Wanaoamini kwamba atashinda urais ni wanachadema wa mitandaoni tu.
Kama hawa....
045001A4-485F-4615-875B-E4963E70A070.jpeg
 
Matumizi Mabaya ya pesa. KUTOKA DAR HADI KIBAHA KWA GARI NI MWENDO WA DAKIKA 40 MTU ANATUMIA HELKOPTA USHAMBA
Si mnasema Chadema hawana hela ya kampeni, hizo mnazosema zinazotumiwa vibaya zimetoka wapi tena?
 
Mungu

Tunaomba kura yako na za wenzako kwa Mh Tundu Lissu anaejali maisha ya watu mpenda haki na amani achana na hawa wahuni wa ccm
Nimekusikia lakini kurayangu bado Hewani hatayeye lisu zijamsikia akisema chochote kwenye huu ubabe tuliofanyiwa wavuvi anaturudishaje kimaisha
 
Wanaoamini kwamba atashinda urais ni wanachadema wa mitandaoni tu.

Wapuuzi kama wewe ndo mnaamini hata kupora KOROSHO yalikuwa maamuzi halali

Hata kuita watengeneza ndege ikulu na kuagiza anazozitaka yy bila kufuata sheria za manunuzi wala kujua kapata % ngapi ni shujaa
Hata kuuza nyumba za umma kwa mahawala zake nao ni mzalendo?

Kutoongeza mishahara kwa watumishi wa umma ambayo ni takwa la kisheria huku alipata huku na huko akiwadhalilisha watumishi nao ni shujaa?

Punguani
 
Jana Kijani walifurahi kuona jamaa akiongea na wanahabari na waliamua kuleta propaganda eti CDM hela zmekata!! Lissu alivosmama kampeni zilipoa na wengine tuliona kama vile tumerudi utumwani. Sasa Jembe linamuusha watu wa Kijani simu ztakuwa viganjani huku wakiweweseka...!!!ukomboz kama sio leo basi ni kesho!!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom