Uchaguzi 2020 Lissu aanza kutumia Chopa. Kutikisa Bagamoyo, Kibaha na Chalinze leo

Magu 2020 to infinity[emoji3][emoji3][emoji3]
 
Mungu
Tunaomba kura yako na za wenzako kwa Mh Tundu Lissu anaejali maisha ya watu mpenda haki na amani achana na hawa wahuni wa ccm
 
Huwezi kuwa CCM wewe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Chopa .......deni la DJ la kukodisha edikopta litapanda kwa kasi.... maskini ruzuku..Viva DJ
Heil JPM
Mngekuwa na nia ya dhati ya kuwasaidia Watanzania ingewasaidia sana, hivi mlipoingia madarakani sukari ilikua bei gani na sasa hivi ni bei gani?
 
Safi, Stratergy iwe ni kwenye miji midogo midogo, na vitongoji vyake huko ndo kuna kura.
Magufuli anatumia usafiri wa barabara hivyo basi anafanikiwa kuongea na watu wengi njiani
Kampeni za Chadema ziko more strategic, zinamfanya mgombea kupita eneo moja zaidi ya mara moja.

Ukiangalia baada ya uzinduzi wa kampeni kwenye kanda zote ( mikoa 10) atarudi tena kwenye maeneo hayo kwa maana ya kila jimbo, hiyo itampa nafasi ya kufanya 'clear the air campaign' kwenye maeneo ambayo mgombea wa ccm alishapita na hana nafasi ya kurudi tena.

Namna hii ya kampeni inamuwezesha kufuta 'sumu' iliyomwagwa na mpinzani wake na kuacha 'madini' yake kwa wapiga kura kuelekea oct 28, just brilliant strategy.
 
Matumizi Mabaya ya pesa. KUTOKA DAR HADI KIBAHA KWA GARI NI MWENDO WA DAKIKA 40 MTU ANATUMIA HELKOPTA USHAMBA
Si mnasema Chadema hawana hela ya kampeni, hizo mnazosema zinazotumiwa vibaya zimetoka wapi tena?
 
Mungu

Tunaomba kura yako na za wenzako kwa Mh Tundu Lissu anaejali maisha ya watu mpenda haki na amani achana na hawa wahuni wa ccm
Nimekusikia lakini kurayangu bado Hewani hatayeye lisu zijamsikia akisema chochote kwenye huu ubabe tuliofanyiwa wavuvi anaturudishaje kimaisha
 
Wanaoamini kwamba atashinda urais ni wanachadema wa mitandaoni tu.

Wapuuzi kama wewe ndo mnaamini hata kupora KOROSHO yalikuwa maamuzi halali

Hata kuita watengeneza ndege ikulu na kuagiza anazozitaka yy bila kufuata sheria za manunuzi wala kujua kapata % ngapi ni shujaa
Hata kuuza nyumba za umma kwa mahawala zake nao ni mzalendo?

Kutoongeza mishahara kwa watumishi wa umma ambayo ni takwa la kisheria huku alipata huku na huko akiwadhalilisha watumishi nao ni shujaa?

Punguani
 
Ni vizuri, ajitahidi na kutua vijijini ndani ndani huko.
 
Jana Kijani walifurahi kuona jamaa akiongea na wanahabari na waliamua kuleta propaganda eti CDM hela zmekata!! Lissu alivosmama kampeni zilipoa na wengine tuliona kama vile tumerudi utumwani. Sasa Jembe linamuusha watu wa Kijani simu ztakuwa viganjani huku wakiweweseka...!!!ukomboz kama sio leo basi ni kesho!!!

Sent from my SM-G920F using JamiiForums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…