Uchaguzi 2020 Lissu aanza kutumia Chopa. Kutikisa Bagamoyo, Kibaha na Chalinze leo

Uchaguzi 2020 Lissu aanza kutumia Chopa. Kutikisa Bagamoyo, Kibaha na Chalinze leo

Bagamoyo kwa Kikwete hilo atawajua watu wa bagamoyo

Lisu kaona aanzie bagamoyo na chalinze ngome ya Kikwete nyumbani kwake

Huko Lisu hapati kitu wala watu huko ndiko nyumbani kwa Kikwete alikozaliwa na kukulia na anakoishi
Hadi muda huu hajaja!!
Hii inataka kujirudia, hata Kipindi kile tangazo la ujio wa Lowasa lilisikika, Ila Lowasa hakutokea Bagamoyo
 
Hadi muda huu hajaja!!
Hii inataka kujirudia, hata Kipindi kile tangazo la ujio wa Lowasa lilisikika, Ila Lowasa hakutokea Bagamoyo
Bagamoyo wanapaogopa sio utani

Uhuru wa Tanzania ulitokea pale mti wa uhuru bagamoyo na udongo ule ambao nyerere na Karume waliuchanganya kuunda muungano wa sasa huu wa serikali mbili ambao ulichukuliwa Zanzibar na Tanganyika udongo uliotumika kufunga huo muungano ulichotwa bagamoyo ukasomewa dua nzito na wazee wa bagamoyo akapewa Nyerere akachanganye na ule wa Zanzibar uliosomewa madua na wazee wa Zanzibar

Mvunja muungano au mwenye nia ya kubomoa muungano huu wa serikali mbili kiboko yake imo bagamoyo ndio maana Lowasa alikimbia anapajua
 
Bagamoyo kwa Kikwete hilo atawajua watu wa bagamoyo

Lisu kaona aanzie bagamoyo na chalinze ngome ya Kikwete nyumbani kwake

Huko Lisu hapati kitu wala watu huko ndiko nyumbani kwa Kikwete alikozaliwa na kukulia na anakoishi
Huko keshachemka. Tangu sasa bado anapima upepo.
 
Wanaoamini kwamba atashinda urais ni wanachadema wa mitandaoni tu.
Chief hili umenena kweli, tunaona mikutano yake inapwaya kwa kukosa watu, mwingine huyu hapa naye anaaminishwa kua kawe ataichukua
JamiiForums444750100.jpg
 
CCM mbona mnanadi mgombea wenu kwa gharama kubwa sana? Kila nguzo ya umeme mijini ina bango lake wakati miaka yote mitano alikuwa akifanyia kazi zake kwenye runinga.
Bila kusaha mapicha mengine wamebandika mpaka sehemu sizo sijui wanawapa mateja wazibandike
 
CCM mbona mnanadi mgombea wenu kwa gharama kubwa sana? Kila nguzo ya umeme mijini ina bango lake wakati miaka yote mitano alikuwa akifanyia kazi zake kwenye runinga.
Kwa sababu Magufuli ndiye atakayeshinda, Sasa wee unanadi garasa la kazi gani?
 
Matumizi Mabaya ya pesa. KUTOKA DAR HADI KIBAHA KWA GARI NI MWENDO WA DAKIKA 40 MTU ANATUMIA HELKOPTA USHAMBA.
Halafu wanakodi helikopta kwa hela za kutembeza mabakuli mikutanoni, usalama wa hiyo ndege ya hela za mashaka ukoje? Wasije singizia nati zimetolewa kumbe bovu.
 
Kwani hujui maana ya kampaign kaa kimya, kupanga ni kuchagua fedha yachama chenu mlimpa mwenyekiti katafuna sasa mnalialia nini , wao ccm walipanga fedha yao kutumika kumnadi mgombea. Hamjataka kuomba poo??????????????????????
Rubbish
 
Lissu ndo Raisi mtarajiwa wa Tanzania ambaye anabeba maono ya kuivusha Tanzania. Jiwe anaweza kuwa ndo Raisi kwanza kuongoza kwa miaka mitano ajiandae kurudi kijijini kwake Chato huko alipojenga hekalu madikteta wengi wakipata madaraka huwa vitisho vingi sana kama ambavyo Jiwe anavyo tarehe 28-09-2020 tutamrudisha chato hii nchi si mali ya kikundi cha wahuni
Kati ya CCM na chadema kipi ni kikundi Cha wahuni/saccos?
 
Back
Top Bottom