paul sylvester
JF-Expert Member
- Mar 18, 2020
- 3,503
- 3,499
Hadi muda huu hajaja!!Bagamoyo kwa Kikwete hilo atawajua watu wa bagamoyo
Lisu kaona aanzie bagamoyo na chalinze ngome ya Kikwete nyumbani kwake
Huko Lisu hapati kitu wala watu huko ndiko nyumbani kwa Kikwete alikozaliwa na kukulia na anakoishi
Hii inataka kujirudia, hata Kipindi kile tangazo la ujio wa Lowasa lilisikika, Ila Lowasa hakutokea Bagamoyo