Lissu aanza ziara kuaga "watu wake" ughaibuni, muda si mrefu anarudi

Hakukuwa na draw.. Matokeo unayajua yako wazi, ukinichezea rough nikaumia lakini nikaendelea na mchezo mimi ndio mshindi
 
Hawana haja ya kumleta lissu maana hata aliyepo wameshaanza kula keki yetu ya taifa
 
Karibu nyumbani shujaa
Shujaa alikuwa na msongo wa mawazo sana huko ubeleji akawa anafakamia sana Brandi.....nadhani kamaliza kanselingi. Si unajua half kick haipo tena, alikuwa anaangalia jinsi gani wazungu watamsaidia kuiwasha kama bajaji
 
Shujaa alikuwa na msongo wa mawazo sana huko ubeleji akawa anafakamia sana Brandi.....nadhani kamaliza kanselingi. Si unajua half kick haipo tena, alikuwa anaangalia jinsi gani wazungu watamsaidia kuiwasha kama bajaji
Dingi ako ndiyo yupo huko
 
Kwa hiyo ulitaka asirudi ?
 
Uwendawazimu ni kama huu uliouandika. Eti Wajerumani waliacha mali zao nyingi sana. Ebu zitaje chache.

Ninyi ndio wale wajinga wanaobomoa trigonometric reference survey points zilizowekwa kwenye vilele vya milima wakati kulipokuwa kukifanyika regional mapping, mkidai ni alama zinazoonesha chini kumefichwa madini enzi za Wajerumani. Very stupid. Unadhangaa hata walioenda shule wanashabikia huo uwendawazimu.

Kama huna kazi ya kufanya kazibomoe kama wanavyofanya wajinga wenzio, halafu uje utuambie umepata mali kiasi gani.

Uwendawazimu na ujinga ni mzigo, na ukiwa na watu wengi wendawazimu na wajinga katika Taifa, nchi haiwezi kwenda popote. Tumejenga shule na vyuo vingi lakini wajinga na wendawazimu wanazidi kuongezeka, tena wengine ni wale waliovishwa majoho ya graduation.
 
Chuki, Uoga na Ujinga vimekutawala. Utateseka sana.
 
Awamu ya 5 ilikuwa ni ya utawala wa watu wendawazimu, washamba, wajinga wa siasa za uchumi wa kisasa, wasioelewa chochote, zaidi ta kutumia nguvu.

Nyati ana nguvu sana kuliko mwanadamu, ana uzito zaidi ya kilo 500 lakini kwa sababu ya udogo wa ubongo, anaweza kuuawa na mwanadamu mwenye kilo 50.

Ni vema tukaweka mwongozo kama Taifa, iwe ni marufuku kwa wagonjwa wa akili, watu washamba, wanaopenda kutumia zaidi nguvu kuliko akili, kupewa nafasi za uongozi.

Mtawala mwovu hayupo, lakini madhara yake ni kutuzalishia wajinga wa kudumu kama huyu mleta mada. Madhara haya yatachukua muda, hadi kuyaondoa kwa 100%.
 
Magufuli alitaka kumuua Lissu, Mungu akamgomea - alitakiwa atubu mapema akagoma ndiyo maana leo hatuko naye. Mungu anaishi ndani yetu ogopeni saana enyi wanadamu wenye viburi na roho ngumu.

GOD is with us today !! Wewe ni nani ??
 
Huyo mwamba ana roho ya paka, risasi 16 hazikumdondosha, wengine covid 19 tu chali six feet under.
Sidhani kama kitisho kimeisha kwa 100%. Shetani huwa na wafuasi, huwa na shetani wadogo. Japo shetani mkuu hayupo, lakini hawa wadogo bado wapo. Ni vema akirudi achukue tahadhari.
 
Kuna wakati wowote ambapo Mtanzania yeyote aliwahi kutamka kuwa tunataka kiongozi muuaji, mtekaji na mpotezaji watu wanaomkosoa?

Kuna wakati wowote, kuna mtanzania aliwahi kutamka kuwa anahitaji kiongozi atakayekuwa anapora pesa za watu na kuziweka mfukoni mwake kama alivyofanya marehemu?

Kuna wakati wowote kuna mwananchi aliwahi kusema anatamani kumpata kiongozi atakayetumia rasilimali za Taifa kujenga kijijini kwake?
 
Lakini si tuliambiwa Lissu na Lema watakuwa kwenye Mkutano ule wa Kihuni?
 
Chadema haiwezi tena kurudi kwenye reli,
Limebaki kuwa genge la wahuni kama walivyo wahuni wengine...
Tunahitaji chama pinzani imara sio CDM.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…