PreGE2025 Lissu achaguliwa kuwa sehemu ya jopo la Makamu Wenyeviti IDU akiwa gerezani

PreGE2025 Lissu achaguliwa kuwa sehemu ya jopo la Makamu Wenyeviti IDU akiwa gerezani

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Uteuzi wa Lissu katika nafasi ya juu ndani ya IDU unaashiria kuungwa mkono kimataifa kwa juhudi zake za kutetea demokrasia na haki za binadamu nchini Tanzania, hasa wakati huu mgumu wa kisiasa kwake binafsi na kwa chama chake.📌🔨💪🏿✌🏿
 
Mfumo wa kushinda teuzi ukiwa gerezan upo 😏😏😏 tuma advansi
Hata sikifanyika reform TAL akiwa kolokoloni lakini akawekwa kwa Ballot paper anachukua asubuhi mapema kabisa hata bila kufanya kampeni wewe lisha ubwabwa wape watu pesa yeye mpe kipaza na sikio ndio utajua haujui😅
 
Back
Top Bottom