Earthmover
JF-Expert Member
- Sep 28, 2012
- 26,000
- 25,342
Hahaha mutu anapasuka mashavu huko alipo...
Sio Bure Bure ..tutalipa over 20TUnajua tunapewa kila mwaka over 10T.
Hilo unazungumziaje?
mropokaji mwingine, tuliza mihemko gentleman 🐒Bora unyamanze tu,wewe ni ling'ombe mkuu.
Kuna mbowe wangapiMbowe yupi? Wa baada au kabla ya kulamba?
Kuna mbowe wangapi
Acheni usengerema
Mavijana mengi ya tz ni kubeti, ngono, gambe, simba na yanga TU! Bulshit!Mh. Tundu Lissu ni mwalimu na zana halisi kwa vijana wa Tanzania na Afrika kwa jumla.
Hongera kaka umekuwa kalamu ya kuandika nchi yako duniani.
Tatizo la vijana watanzania ni wanafiki na waoga. Wakiamua maandamano nchi nzima mbona serikali na dola watapiga magoti fasta.
Mavijana mengi ya tz ni kubeti, ngono, gambe, simba na yanga TU! Bulshit!
Umesema kweli sana! Big up!Mkuu wapo washikaji ni bakabaka tunakaa nao sehemu wanamkubali sana Lisu ni vile tu jeshini huruhusiwi kuilonyesha hisia za wazi za kisiasa na kwa vile wakubwa wao wanakula milungula ya CCM ila ipo siku watu watakacha haya.
Mkuu, mbona leo una makasiriko sana?mropokaji mwingine, tuliza mihemko gentleman 🐒
CHADEMA mbona hawaja update taarifa za viongozi wao ngazi ya juu juu huko IDU?Wakuu,
Mama anapata usingizi vizuri kweli? Unatoka kutoa boko unapa taarifa ya kukuchapa kibao🥲😂😂 Yaani ni bandika bandua, kila ukijaribu kumkandamiza ndio kama unamuweka kwenye spotlight ili aonekane vizuri😂.
====
TAARIFA KWA UMMA
KUCHAGULIWA KWA MHE. TUNDU LISSU KUWA MAKAMU MWENYEKITI WA IDU
Muungano wa vyama vya kidemokrasia duniani (IDU) umehitimisha mfululizo wa mikutano yake Jijini Brussels, Ubelgiji kwa kufanya uchaguzi wa safu mpya ya uongozi.
Katika mkutano huo ambako chama kiliwakilishwa na Makamu Mwenyekiti wa Democracy Union of Africa (DUA) Kanda ya Afrika Mashariki, Mheshimiwa Deogratias Munishi, wajumbe walimchagua Waziri Mkuu mstaafu wa 22 wa Canada Mheshimiwa Stephen J Harper kuendelea kuwa Mwenyekiti kwa miaka mitatu ijayo.
Aidha, mkutano mkuu kwa kauli moja ulimchagua Mwenyekiti wa chama Taifa Mhe. Tundu Antiphas Lissu kuwa sehemu ya jopo la Makamu Wenyeviti wa umoja huu.
Rekodi ya msimamo usioyumba katika kupigania haki, utawala bora na demokrasia Tanzania licha ya mazingira hatarishi ikiwemo jaribio la kutolewa uhai kama ilivyoelezwa kwenye mkutano mkuu ndiyo iliyowapa imani wajumbe kutoka mataifa mbali mbali ulimwenguni kumchagua Mhe Lissu katika wadhifa huu.
Zaidi, wajumbe wa mkutano mkuu wa IDU walitanabaisha kuwa, kwa uzoefu wake katika mapambano ya kutafuta demokrasia ya kweli, haki na uhuru wa kweli, Mh Lissu atatoa mchango mkubwa ndani ya IDU hasa katika kumulika maeneo yanayokabiliwa na changamoto za kuporomoka au kudorora kwa demokrasia na kuibuka kwa tawala za kihimla husani bara la Afrika.
Imetolewa leo Jumamosi, 24 Mei 2025.
Brenda Rupia
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi
nimeona ni vyema kwanza kuwatuliza waropkaji maana mijadala yenye mihemko ni sawa na fujo baina ya waropkaji na malofa 🐒Mkuu, mbona leo una makasiriko sana?
Tulikubaliana hoja ipingwe kwa hoja.
Bado utaendelea na kesi dhidi ya bosi wako mpya, au utawasilisha mahakamani nia ya kutoendelea na shauri hilo?nimeona ni vyema kwanza kuwatuliza waropkaji maana mijadala yenye mihemko ni sawa na fujo baina ya waropkaji na malofa 🐒
Ispokuwa waarabu sindio?Wazungu hawawezi wakakupenda "ngozi nyeusi" burebure...tafakari
Hv we bwege unajua maana ya Rais wa nchi? Anaweza kuhangaika na vt vya kipuuzi km hivyo? IDU itamsaidia nini ktk kutimiza wajibu wake? Nyie kwl ni mazombie.Wakuu,
Mama anapata usingizi vizuri kweli? Unatoka kutoa boko unapa taarifa ya kukuchapa kibao🥲😂😂 Yaani ni bandika bandua, kila ukijaribu kumkandamiza ndio kama unamuweka kwenye spotlight ili aonekane vizuri😂.
====
TAARIFA KWA UMMA
KUCHAGULIWA KWA MHE. TUNDU LISSU KUWA MAKAMU MWENYEKITI WA IDU
Muungano wa vyama vya kidemokrasia duniani (IDU) umehitimisha mfululizo wa mikutano yake Jijini Brussels, Ubelgiji kwa kufanya uchaguzi wa safu mpya ya uongozi.
Katika mkutano huo ambako chama kiliwakilishwa na Makamu Mwenyekiti wa Democracy Union of Africa (DUA) Kanda ya Afrika Mashariki, Mheshimiwa Deogratias Munishi, wajumbe walimchagua Waziri Mkuu mstaafu wa 22 wa Canada Mheshimiwa Stephen J Harper kuendelea kuwa Mwenyekiti kwa miaka mitatu ijayo.
Aidha, mkutano mkuu kwa kauli moja ulimchagua Mwenyekiti wa chama Taifa Mhe. Tundu Antiphas Lissu kuwa sehemu ya jopo la Makamu Wenyeviti wa umoja huu.
Rekodi ya msimamo usioyumba katika kupigania haki, utawala bora na demokrasia Tanzania licha ya mazingira hatarishi ikiwemo jaribio la kutolewa uhai kama ilivyoelezwa kwenye mkutano mkuu ndiyo iliyowapa imani wajumbe kutoka mataifa mbali mbali ulimwenguni kumchagua Mhe Lissu katika wadhifa huu.
Zaidi, wajumbe wa mkutano mkuu wa IDU walitanabaisha kuwa, kwa uzoefu wake katika mapambano ya kutafuta demokrasia ya kweli, haki na uhuru wa kweli, Mh Lissu atatoa mchango mkubwa ndani ya IDU hasa katika kumulika maeneo yanayokabiliwa na changamoto za kuporomoka au kudorora kwa demokrasia na kuibuka kwa tawala za kihimla husani bara la Afrika.
Imetolewa leo Jumamosi, 24 Mei 2025.
Brenda Rupia
Mkurugenzi wa Mawasiliano na Uenezi
Wamechagua kwa kuwa ni kibaraka wao ingawa kwa hp kwetu hatafanikisha misheni yakeWakuu,